Kwanini kuna juhudi kubwa za kuhakikisha kuwa Mbowe haendelei kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

1. Shida ya demokrasi ni kuwa haiko perfect. Kama 2/3 ya wajumbe hawana ubavu wa kupingana na Mwenyekiti huwezi kumlaumu Mwenyekiti. Kila kiongozi anapenda kuwa na watu anaoweza kufanya kazi nae. Ni wajibu wa wapiga kura kuchagua watu ambao ni Independence.
Unadhani Ndugai angetishika? Hasa baada ya kupewa immunity? Mtu aliyemtoa mtu rumande halafu akamuapisha. Aidha, pamoja na Kigogo kuelezea mchoro wote wengi hatukuamini kuwa Halima Mdee anaweza kufanya alivyofanya.
Kwa sababu " Join the Chain exercise" lilijulikana na kila mtu CAG ana haki ya kuulizia makusanyo yake. Ingawa ingekuwa vyema kama wangeziweka wazi.
CAG anakagua hesabu zilizopo. Ikiwa fedha za join the chain hazikuingia katika System ya CDM, CAG atakagua vipi?
Kwanini watu hawatoki na kueleza join the chain pesa ziko wapi ili kumaliza hii hoja once and for all
Rose Mayemba alikosea kumuunga mkono Msigwa. Nadhani alifanya hivyo kutokana na misplaced loyalty. Alitakiwa ajirekebishe baada ya ukweli kujulikana. Tusisahau kuwa CDM imesalitiwa sana na wale ambao iliwaamini sana. Baada ya wakina Halima kila mmoja ataangaliwa kwa jicho la pili. Ndio maana hawa vijana wanaojitokeza kuunga mkono upande mmoja au mwingine wanachukua risk kubwa.
Mbowe sio muongeaji. Nimesema ana say kubwa katika KK lakini sidhani kama yuko tayari kusema kuwa watendaji wake ni corrupt. Ni wajibu wa wagombea kuweka pressure ili pawe na Uchaguzi huru kwa kutoa proposal. Anachofanya Lissu sio sawa maana inaonekana kama anatayarisha grounds za kukataa matokeo hata kama atashindwa kihalali.
Hawa waheshimiwa siwajui kwa hiyo siwezi kusema kama ni corrupt au la.
Hili nimeshauri sana na ndilo litaisaidia CDM! Kigaila na Wenzake hawana hata sifa ya kushika karatasi ya kura
Ni corrupt, compromised na wahuni.

Amandla...
 
Unarudia makosa yale yale. Mazingira ya UK sio ya Bongo. Tuzungumzie CCM na CDM.

Amandla...
 
Unarudia makosa yale yale. Mazingira ya UK sio ya Bongo. Tuzungumzie CCM na CDM.

Amandla...
Kwanza ulianza kusema namlinganisha mpinzani Mbowe si rais.

Nimekuletea mpinzani Neil Kinnock alivyong'atuka, unahamisha goli tusijilinganishe na Uingereza.

Sasa tunataka demokrasia halafu unataka tujilinganishe na wapi? North Korea?
 
Unaleta ubishi tu katika majadiliano. Unamlinganisha vipi Prime Minister na kiongozi wa chama cha upinzani?

Neil Kinnock alijiuzuru kwa sababu ulizozitaja. Na bila shaka alilazimishwa na wanachama wenzake.

Ninachopingana na nyie ni ile kufanya Mbowe kutaka kugombea tena kuwa kosa la jinai wakati ni haki yake. Kama viongozi wenzake watakuwa wamemchoka watamtema. Na kama wanachama wenzake watakuwa wamemchoka basi watachagua watu watakaoweza kumtoa katika nafasi yake. Hilo jukumu ni lao na sio la watu ambao sio wanachama.

CCM inabadilisha Mwenyekiti kila baada ya miaka 10 kwa sababu tu marais wote mpaka sasa wanatokwa kwao. Hawataki kuwa na centre mbili ndio maana wakaweka huo utaratibu. Hoja yako itakuwa na mantik wakikaa katika upinzani.

Amandla...
 
Wapi nimesema Mbowe kugombea uenyekiti ni kosa la jinai? Unajua kusoma kwa ufahamu?

CCM ikibadilisha wenyeviti kila baada ya miaka 10 kwa sababu yoyote itakuwa imemzidi Mbowe katika hilo.

Kwa sababu Mbowe hajaachia uenyekiti kwa miaka 20.
 
Kwanza ulianza kusema namlinganisha mpinzani Mbowe si rais.

Nimekuletea mpinzani Neil Kinnock alivyong'atuka, unahamisha goli tusijilinganishe na Uingereza.

Sasa tunataka demokrasia halafu unataka tujilinganishe na wapi? North Korea?
Nilisema usimlinganishe Mbowe ambae hajawahi kuwa Rais wa JMT na Rais wa JMT. Mlinganishe na Mwenyekiti wa CCM na sio Rais wa JMT.

UK mfumo wao wa utawala ni tofauti na wa kwetu. Prime Minister sio tu ni kiongozi wa serikali bali ni mbunge pia. PM akionekana ana vurunda anaadhibiwa mara moja kama tulivyoona Conservatives wakifanya. Aidha, vyayama vyao vimekuwa vikipokezana kijiti kwa muda mrefu na wana imani kubwa na mfumo wao wa uchaguzi.

Kwetu sisi watu wote tunajua figisu figisu zinazofanywa wakati wa uchaguzi kiasi kuwa kushindwa kwa chama cha upinzani sio ishara ya udhaifu wa uongozi wake.

Amandla...
 
Wapi nimesema Mbowe kugombea uenyekiti ni kosa la jinai? Unajua kusoma kwa ufahamu?

CCM ikibadilisha wenyeviti kila baada ya miaka 10 kwa sababu yoyote itakuwa imemzidi Mbowe katika hilo.

Kwa sababu Mbowe hajaachia uenyekiti kwa miaka 20.
Sawa.

Tukubali tu kutofautiana.

Amandla.
 
Neil Kinnock naye alivyojiuzulu alikuwa PM?

Ukishindwa hata kwa figisu miaka 20 ndiyo umeshindwa, achia wengine wajaribu kuzikabili figisu.

Sasa Mbowe leo atafanya kipi kipya ambacho hajafanya miaka 20 iliyopita? Maridhiano na Samia?
 
Sawa.

Tukubali tu kutofautiana.

Amandla.
Sawa nini?

Mimi sikubali kutofautiana. Nataka mpambano wa kimantiki wa fikra mpaka tujue hoja ipi imeshinda.

Mbowe ame ovestay kwenye uongozi, kachoka. Ni wakati sasa ang'atuke.

Hakuna hoja ya maana ya kulazimisha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti.

Ukisikiliza press conference waliyofanya Mbowe na Lissu 2-3 weeks ago, kama unajua kuwasikiliza watu, utasikia Mbowe kaanza anakwenda kwa autopilot anabumbabumba tu.

Tundu Lissu alivyomfuatia Mbowe kusema unaona huyu mtu anajua kupanga hoja kimantiki. Unaona kuwa Tundu Lissu kusoma sheria kumemsaidia kupanga hoja kwa namna ambayo Mbowe hawezi.
 
We specialize in contradictions.

Mbowe anaongoza chama ambacho jina lake linasisitiza neno Demokrasia, lakini kashindwa kufuata kanuni za demokrasia za kupishana madarakani.
 
Mabwana wa Vibaraka wanafanya juhudi kubwa sana Ili kuweka mtu wao.

Chadema,Mbowe na Nchi isikubaki kuweka Taifa reheni Kwa maslahi ya kina Amsterdam

View: https://www.instagram.com/p/DEAXfvVIWoV/?igsh=bHNkdG1sb2xpYjFy
 
Jaribu kutafakari upya.

Mbowe anagombea kwa sera zipi? Kuna kipya gani anachikileta CHADEMA?
 
Yericko na wewe wote mnaishi kwa pesa haramu zinazokwapuliwa HAZINA.

Lazima mjitutumue kujitia aibu ili kumridhisha hangaya
Na wewe na Lisu mnaishi Kwa pesa haramu zinazoingizwa na Mabeberu Kupitia kibaraka wake Lisu Ili Kuharibu Nchi.
 
Na wewe na Lisu mnaishi Kwa pesa haramu zinazoingizwa na Mabeberu Kupitia kibaraka wake Lisu Ili Kuharibu Nchi.
Hii ndiyo kimbilio la majuha na wauaji mliojazana CCM

Mimi ninaiona hofu yenu ndo maana hamlali hafi muahakikishe mzoa vinyesi wenu aendelee kukamata madaraka ili awasaliti Watanzania
 
Hii ndiyo kimbilio la majuha na wauaji mliojazana CCM

Mimi ninaiona hofu yenu ndo maana hamlali hafi muahakikishe mzoa vinyesi wenu aendelee kukamata madaraka ili awasaliti Watanzania
Mbona wewe punguani unakimbilia kusingizia hela za Hazina?

Hopeless ,Tanzania hakuna nafasi ya vibaraka
 
Lazima iniume kuona Nchi inataka kufanywa shamba la bibi la Mabeberu Kupitia vibaraka kama wewe na Lisu
Ripoti za CAG hazijadiliki kwa sababu ukoo wote wa panya unahusika na sasa mnaishi kwa hofu.

Zinahesabika siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…