Kwanini kuna juhudi kubwa za kuhakikisha kuwa Mbowe haendelei kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Kwanini kuna juhudi kubwa za kuhakikisha kuwa Mbowe haendelei kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Ripoti za CAG hazijadiliki kwa sababu ukoo wote wa panya unahusika na sasa mnaishi kwa hofu.

Zinahesabika siku
Sio tuu kuzijadili Bali kuchukua na hatua.

Hawa ni nyie vibaraka mnawahukumu? 👇👇
Screenshot_20240322-180921.jpg
Screenshot_20240321-232524.jpg
Screenshot_20240601-083037.jpg
Screenshot_20240604-182900.jpg
 
Mimi swali langu ni kwa rafiki yangu Fundi Mfundo au kwa jina la utani Fundi utumbo...ndugu yangu, je ni kweli huoni tatizo lolote na tunakoelekea kama taifa?

Na kama unaona tatizo, je unakiri kwamba muda muafaka sasa umefika wa kuchukua maamuzi mazito yatakayohitaji mabadiliko makubwa katika uendeshaji wa siasa nchini?
 
Jambo ambalo naona watu wanaoangazia Chama cha Chadema hawalitendei haki ni kutokutambua mchango wa Dk Slaa katika kukijenga Chama hicho.
Ni Dk Slaa ndiyo aliyewafundisha viongozi wote hao ambao baadaye wamekuwa wajenga hoja bora kabisa wakiwa Chadema au wakiwa wamehamia CCM.Kwa mfano,Lusinde aka Kibajaji huwa anasema kabisa kuwa yeye amefundishwa na Chadema.
Lakini Chama hicho kisingekuwa imara kiasi hicho bila uhusika wa Dk Slaa.
Mbowe alichofanya ni kuingiza vijana wengi na walipojiunga na Chadema Dk Slaa ndiyo alifanya kazi ya kuwafundisha na kuwafunda.
 
Hii ni ndefu kwa hiyo kwa wale ambao kusoma para zaidi ya moja ni mtihani wala wasianze kuisoma.

Kuna wanachama na wafuasi wa CHADEMA pamoja na wapinzani wengine wa chama tawala ambao wanaamini kwa dhati kuwa ni wakati muafaka wa kubadilisha approach ya kuleta mabadiliko kwa sababu inayotumika sasa hivi kwa kiasi kikubwa haijafanikiwa.

Wanaamini hii ni kwa sababu Mbowe hawezi kumudu tactics ambazo ni aggresive na confrontational za wakati huo. Na chachu ya tactics hizo itatokana nje ya taratibu za kawaida kama tulivyoona vijana wa nchi jirani walivyotumia tik tok n.k.

Mambo haya yote hayaendani na hulka ya Mbowe ambayo kwa kiasi fulani ni ya traditional politics. Hawa walihitaji kiongozi ambae hana uvumilivu kama wao. Kiongozi ambae yuko tayari kwenda "mano a mano" na serikali bila kujali consequences.

Kwa mtazamo wao Lissu ndio kiongozi anaewafaa. Kwa sababu walimwona Mbowe kama kizingiti kwao wakatumia tactics za kumuaibisha na kumbeza ili aone hahitaji hizo fedheha ajitoe. Bahati mbaya kwao walikuwa hawajamsoma Mbowe vizuri. Hawakujua tactics hizo ndio zitamfanya aone chama chake kinataka kuwa hijacked kihuni.

Kitu vingine ambacho hawakuzingatia ni kuwa watanzania wengi hawapendi confrontation na hivyo kuna uwezekano mdogo wa wao kujitokeza kwa wingi kujiunga nao. Kingine ni kuwa tactic kama hizi hazileti matokeo ya kudumu na mara nyingi zinakuwa hijacked na wana siasa na kufa kifo cha kimya kimya. Tumeona Kenya. Tumeona Malawi. Hata Tunisia na Misri.

Ubaya mwingine ni kuwa ni vigumu ku control ili vurugu zisitawale. Picha za vijana wakiwa wana warushia mawe hazina tija.

Amandla...
Wanaofanya juhudi hizo ni akina nani?

Swali hilo hilo tukuulize wewe mCCM kuna siri gani kwa empty heads wote wa CCM kumpambania Mbowe. Ana faida gani kwenu?
 
Jaribu kutafakari upya.

Mbowe anagombea kwa sera zipi? Kuna kipya gani anachikileta CHADEMA?
Uamuzi wa kutangaza sera zake ni wa kwake peke yake. Anaweza kuamua kuzitangaza wakati anaomba kura kwa wapiga kura wake. Aidha, anaweza kuamua kwenda kwa rekodi yake. Wanaopiga kura wataamua.

Amandla....
 
Wanaofanya juhudi hizo ni akina nani?

Swali hilo hilo tukuulize wewe mCCM kuna siri gani kwa empty heads wote wa CCM kumpambania Mbowe. Ana faida gani kwenu?
Juhudi hizo ziko wazi. Kuna mabandiko mengi humu yanayomtaka asigombee. Wengine wanaenda mbali mpaka kumtukana.

Hilo la uCCM wangu sitalijibu. Na ukilirudia naku ignore.

Amandla..
 
Uamuzi wa kutangaza sera zake ni wa kwake peke yake. Anaweza kuamua kuzitangaza wakati anaomba kura kwa wapiga kura wake. Aidha, anaweza kuamua kwenda kwa rekodi yake. Wanaopiga kura wataamua.

Amandla....
Ni jambo binasi kumbe.

Basi anagombea kwa maslahi binafsi na tunayapiga vita
 
Juhudi hizo ziko wazi. Kuna mabandiko mengi humu yanayomtaka asigombee. Wengine wanaenda mbali mpaka kumtukana.

Hilo la uCCM wangu sitalijibu. Na ukilirudia naku ignore.

Amandla..
Hujajibu swali
KWA NINI AGOMBEE?
 
Sawa nini?

Mimi sikubali kutofautiana. Nataka mpambano wa kimantiki wa fikra mpaka tujue hoja ipi imeshinda.

Mbowe ame ovestay kwenye uongozi, kachoka. Ni wakati sasa ang'atuke.

Hakuna hoja ya maana ya kulazimisha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti.

Ukisikiliza press conference waliyofanya Mbowe na Lissu 2-3 weeks ago, kama unajua kuwasikiliza watu, utasikia Mbowe kaanza anakwenda kwa autopilot anabumbabumba tu.

Tundu Lissu alivyomfuatia Mbowe kusema unaona huyu mtu anajua kupanga hoja kimantiki. Unaona kuwa Tundu Lissu kusoma sheria kumemsaidia kupanga hoja kwa namna ambayo Mbowe hawezi.
Ni haki yako kujiona kuwa una hoja. Kwangu mimi sioni mantik yeyote katika unayosema. Unanipotezea muda tu. Kwa mfano. Unadai watu tunalazimisha Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati tunachotaka ni ushindani katika hiyo nafasi. Mbowe akishindwa ni sawa tu na machoni mwangu ataonyesha ukomavu wa kwa kukubali kushindwa. Ni watu kama nyie ndio mnataka mtu wenu apite bila kupingwa kama taifa letu lilivyozoea. Washindane, wajenge hoja zao kiungwana na atakae shindwa akubali kushindwa. Kwa hizo sifa mnazompa Lissu ni dhahiri kuwa atashinda. Sasa uoga unatoka wapi?

Amandla...
 
Ni jambo binasi kumbe.

Basi anagombea kwa maslahi binafsi na tunayapiga vita
Nani kasema maslahi binafsi? Tunazungumzia uamuzi wa kugombea au kutogombea. Yeye ndie mwenye haki ya kuamua kama kwa kufanya hivyo ni kwa maslahi ya chama au la. Una haki ya kupiga vita uamuzi wake lakini hauna haki ya kumzuia kugombea. Uoga wa nini wakati Lissu alitangaza wazi kuwa hamuogopi Mbowe?

BOTs
 
Neil Kinnock naye alivyojiuzulu alikuwa PM?

Ukishindwa hata kwa figisu miaka 20 ndiyo umeshindwa, achia wengine wajaribu kuzikabili figisu.

Sasa Mbowe leo atafanya kipi kipya ambacho hajafanya miaka 20 iliyopita? Maridhiano na Samia?
Kwaheri. Umekataa kukubaliana kutofautiana kwa heshima kwa hiyo najitoa katika mjadala na wewe. Unataka ubishani, sio mjadala. Kwaheri isio ya kuonana.

Amandla...
 
Lazima iniume kuona Nchi inataka kufanywa shamba la bibi la Mabeberu Kupitia vibaraka kama wewe na Lisu
Dogo unatumia akili kufikiria?
Labda nikukumbishe tu hujui au unajua ila imelambishwa asali

1. Ccm Kuanzia 1995 walibinafsisha mashirika yote na mabank kwa mabeberu na magabacholi

2 ccm waliwapa bure mabeberu migodi ya dhahabu

3. Mwaka 2012:ccm waliwapa buru mabeberu gas yote ya mtwara na lindi

4.Mwaka huu ccm wamewapa bure waarabu bandari ya dar na bandari zote nchini

Kati ya lisu na ccm nani ambaye uhusiano wake na mabeberu unaiathiri na kuiumiza nchi kiuchumi

Dogo usiwe unashabikia vitu usivyovojua kisa tu unalipwa na kitengo Cha propaganda za jinga Cha lumumba
 
CCM Kufanya yote hayo ni Kwa maslahi ya Nchi.

Ila haiwezekani na haitakuja kutokea vibaraka wa Mabeberu kuingia Ikulu hiyo sahau.
 
Ni lini na wapi CAG alimtaja Mwigulu?

Kama una shida zako binafsi na Mwigulu yupo mpeleke unakotaka,usinijumuishe kwenye ujinga wako.
Huwezi kushindana na saikolojia yako mwenyewe

Unakuwa mwepesi mno
 
Ni haki yako kujiona kuwa una hoja. Kwangu mimi sioni mantik yeyote katika unayosema. Unanipotezea muda tu. Kwa mfano. Unadai watu tunalazimisha Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati tunachotaka ni ushindani katika hiyo nafasi. Mbowe akishindwa ni sawa tu na machoni mwangu ataonyesha ukomavu wa kwa kukubali kushindwa. Ni watu kama nyie ndio mnataka mtu wenu apite bila kupingwa kama taifa letu lilivyozoea. Washindane, wajenge hoja zao kiungwana na atakae shindwa akubali kushindwa. Kwa hizo sifa mnazompa Lissu ni dhahiri kuwa atashinda. Sasa uoga unatoka wapi?

Amandla...
Kama unataka ushindani sasa Mbowe si kashachukua fomu za kugombea uenyekiti, unataka ushindani gani zaidi, ushindani wa kupita bila kupingwa?

Wapi nimekataa ushindani?
 
Back
Top Bottom