Sawa nini?
Mimi sikubali kutofautiana. Nataka mpambano wa kimantiki wa fikra mpaka tujue hoja ipi imeshinda.
Mbowe ame ovestay kwenye uongozi, kachoka. Ni wakati sasa ang'atuke.
Hakuna hoja ya maana ya kulazimisha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti.
Ukisikiliza press conference waliyofanya Mbowe na Lissu 2-3 weeks ago, kama unajua kuwasikiliza watu, utasikia Mbowe kaanza anakwenda kwa autopilot anabumbabumba tu.
Tundu Lissu alivyomfuatia Mbowe kusema unaona huyu mtu anajua kupanga hoja kimantiki. Unaona kuwa Tundu Lissu kusoma sheria kumemsaidia kupanga hoja kwa namna ambayo Mbowe hawezi.