dafram power
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 434
- 660
Kuna dokta uchwara mwingine anaitwa lizy😅anapenda kula kuliko chochote
imefika hatua Uzi unasema weka sura yako yeye anaweka kiporo Cha wali maharage au makande.sasa najiuliza huyu sura yake ni chakula au?