Asema yeye hawezi, anawategemea wateule wake kubaini ubadhirifu
Umeongea vitu vya msingi sana mkuu, nami huwa naona katka nchi za kiafrica karibu zote ukiondoa za kiarabu hawako tayari kuwa na maendeleo ya kweli na siku tukireact ipasavyo ndipo tutapata maendeleo ya kweli, utashangaa watu wanaandamana kumfurusha mwenyekiti wa kijiji aliyekula mln 3 za kijiji lakn alikula 1bln kutoka hazina hawana habari naye na watakwambia huyo wa bilioni hatuhusu.Kwani mfumo ndio nini, na mfano wa mfumo ni upi ambao ni tofauti na uliopo, kwamba Rais anakuwa wasaidizi toka juu kabisa Hadi Hadi ngazi ya kitongoji?...
Mkuu kunywa soda nakuja kulipa!Kwani mfumo ndio nini, na mfano wa mfumo ni upi ambao ni tofauti na uliopo, kwamba Rais anakuwa wasaidizi toka juu kabisa Hadi Hadi ngazi ya kitongoji?...
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.
Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?
Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee aliyetengeneza mifumo ambayo kuja ku temper nayo kutahitaji kazi ngumu sana.
Kwa sasa naona mama kaanza zile misele za mtangulizi wake mara Kariakoo mara sijui anawaomba wasaidizi wake wawe wanahesabu bati na tofali.
Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele.
Mfumo ni nini?Maslahi ya watawala pamoja na chama chao hawawezi kukubali kuweka mifumo imara. Mifumo imara inaondoa ubabaishaji, udhulumaji na uonevu.
Mfano mfumo wa kuendesha Mashtaka ya makosa ya jinai hauwezi kuwekwa wazi ili kila raia ajue siku akikamatwa polisi anatakiwa atende nini, ushahidi uwepo, apewe dhamana na kama hakuna dalili ya kuhakiki ushahidi aachiwe. Huo uliwekwa wazi mpelelezi, karani wa mahakama, na wengineo watakosa ulaji .
Mfano tuko uchumi wa kati lakini Trafiki barabarani kila akiona gari ya mzigo lazima aisimamishe apate ya chai sababu hakuna uwazi ni kwanini kila likionekana canter, fuso, lorry ni lazima lisimamishwe na likutwe na kosa . Hakuna uwazi watu ili wapate pesa lazima wafinyange mifumo.
Angalia mwendokasi hakuna mfumo wa ticket makusudi ili wahusike wapate cha juu tucketi zinachanwa tuu.
Tumeshindwa nini kuweka Parking toll machine kwenye desgnated parking na sio kudandia vibaraza vya watu kuweka mtu anakatisha ticket na kimashine kiko offline au anakuwa na ticket nyingi kashazikata yeye anapachika tuu. Hawataki mfumo hawa ili waendelee kupata ukwasi wa bure
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.
Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?
Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee aliyetengeneza mifumo ambayo kuja ku temper nayo kutahitaji kazi ngumu sana.
Kwa sasa naona mama kaanza zile misele za mtangulizi wake mara Kariakoo mara sijui anawaomba wasaidizi wake wawe wanahesabu bati na tofali.
Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele.
Kiongozi atakaye vunja Katiba/Sheria na Kiapo chake apigwe risasi hasharani...Mifumo imara kama ipi?
Hebu ainisha ni mifumo ipi imekosekana hapa nchini?
Kama kuna mifumo Imara Raisi anaenda kukagua nini? Hata waziri tu hapaswi kwenda kukagua,Kwani mfumo ndio nini, na mfano wa mfumo ni upi ambao ni tofauti na uliopo, kwamba Rais anakuwa na wasaidizi toka juu kabisa Hadi ngazi ya kitongoji??
Kuna kipi kinachokosekana hapo, kuna Bunge, Mahakama na Ile Taasisi ya Uraisi, ni mfumo gani huo mwengine
Maana kila mtu, anaongelea Mfumo, mfumoo, bila kuongoza mjadala wa Hilo Neno mfumo,
Mfumo ndio kitu gani Hilo na linafanaje??
Shida siyo mfumo, shida ni wananchi wenyewe,
Kwanza ni wachezea mfumo, lakini pili, Wapo tayari kutetea waharifu wa mfumo,
Nchi yangu hii, iko tofauti Sana pengine na watu wote wa Dunia hii, ni nchi pekee ambayo, watu wake wanaweza kushirikiana na wahamiaji haramu kuwaficha majumbani mwao na kuwasafitisha Kutokea makwao Kwa kutumia magari Yao, ni nchi pekee ambayo watu wake hawajali pindi Mali na utajiri wa nchi Yao unaposombwa na kina Manji, ni nchi pekee inayo walilia wauza dawa za kulevya wake kuwekeza nchini Kwa madai eti walionewa
Ni nchi pekee ambapo watu wake hukaa kimya mafuta ya serikali yanapoibiwa waziwazi huku wananchi wake hawatoi tarifa hata kama nyumba inayofanya uharifu huo imepakana na Watanzania
Ni nchi pekee ambapo mapolisi wanaweza kusindikiza mwizi wa Tanzanite Kwa ulinzi na vingora kumvusha mipakani na bado asikari huyo akapandishwa cheyo
Nchi yangu ya ajabu hii,
Ikipata Raisi wa kukomesha hayo, ataitwa mnyanyasaji na eti hapendi wawekezaji, ni nchi pekee ambapo wakubwa wake, wanauhuru wa kufanya biashara na wasilipe Kodi eti tu wamekuwa viongozi, unajiuliza, ni kivipi Kodi za wananchi zinatumika kuwalipa?
Nenda US, Trampo alichunguzwa Kwa kampuni yake ilipoonekana kuna kipindi ilitaka kukwepa kulipa kodi, tofauti na kwetu ambapo kiongozi anaweza kuwa imma Muuza ngada ama fam...! Yake na bado Watanzania wakaendelea kupiga makofi na kusifia
Mungu wangu..!
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.
Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?
...
Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele. ...
Kukiwa na mifumo imara uwezekano wa viongozi kuwaandaa na kurithisha madaraka kwa vizazi vyao utayeyuka ( power elite model )Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.