MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.
Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?
Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee aliyetengeneza mifumo ambayo kuja ku temper nayo kutahitaji kazi ngumu sana.
Kwa sasa naona mama kaanza zile misele za mtangulizi wake mara Kariakoo mara sijui anawaomba wasaidizi wake wawe wanahesabu bati na tofali.
Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele.