Kwanini kuweka mifumo imara nchini kunaogopwa?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.

Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?

Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee aliyetengeneza mifumo ambayo kuja ku temper nayo kutahitaji kazi ngumu sana.

Kwa sasa naona mama kaanza zile misele za mtangulizi wake mara Kariakoo mara sijui anawaomba wasaidizi wake wawe wanahesabu bati na tofali.

Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele.

FB_IMG_1622627509003.jpg
 
RAIS SAMIA: SINA UWEZO WA KUHESABU MATOFALI KAMA HAYATI MAGUFULI, NAWATEGEMEA MUWE JICHO LANGU

Rais Samia amesema Dkt. Magufuli alihesabu matofali na bati kujua ubadhirifu ktk miradi

Asema yeye hawezi, anawategemea wateule wake kubaini ubadhirifu

Hii ni #SPEECH nzuri sana ametoa Rais wa Nchi. #Hajamanisha Matofali real amemanisha mambo mengi sana #yanayotendeka Hasa yanayohusu Fedha za Serikali wahakikishe #wanazisimamia vizuri.

#UapishoMaKatibuTawala
 
Kwani mfumo ndio nini, na mfano wa mfumo ni upi ambao ni tofauti na uliopo, kwamba Rais anakuwa na wasaidizi toka juu kabisa Hadi ngazi ya kitongoji??

Kuna kipi kinachokosekana hapo, kuna Bunge, Mahakama na Ile Taasisi ya Uraisi, ni mfumo gani huo mwengine

Maana kila mtu, anaongelea Mfumo, mfumoo, bila kuongoza mjadala wa Hilo Neno mfumo,

Mfumo ndio kitu gani Hilo na linafanaje??

Shida siyo mfumo, shida ni wananchi wenyewe,

Kwanza ni wachezea mfumo, lakini pili, Wapo tayari kutetea waharifu wa mfumo,

Nchi yangu hii, iko tofauti Sana pengine na watu wote wa Dunia hii, ni nchi pekee ambayo, watu wake wanaweza kushirikiana na wahamiaji haramu kuwaficha majumbani mwao na kuwasafitisha Kutokea makwao Kwa kutumia magari Yao, ni nchi pekee ambayo watu wake hawajali pindi Mali na utajiri wa nchi Yao unaposombwa na kina Manji, ni nchi pekee inayo walilia wauza dawa za kulevya wake kuwekeza nchini Kwa madai eti walionewa

Ni nchi pekee ambapo watu wake hukaa kimya mafuta ya serikali yanapoibiwa waziwazi huku wananchi wake hawatoi tarifa hata kama nyumba inayofanya uharifu huo imepakana na Watanzania

Ni nchi pekee ambapo mapolisi wanaweza kusindikiza mwizi wa Tanzanite Kwa ulinzi na vingora kumvusha mipakani na bado asikari huyo akapandishwa cheyo

Nchi yangu ya ajabu hii,

Ikipata Raisi wa kukomesha hayo, ataitwa mnyanyasaji na eti hapendi wawekezaji, ni nchi pekee ambapo wakubwa wake, wanauhuru wa kufanya biashara na wasilipe Kodi eti tu wamekuwa viongozi, unajiuliza, ni kivipi Kodi za wananchi zinatumika kuwalipa?

Nenda US, Trampo alichunguzwa Kwa kampuni yake ilipoonekana kuna kipindi ilitaka kukwepa kulipa kodi, tofauti na kwetu ambapo kiongozi anaweza kuwa imma Muuza ngada ama fam...! Yake na bado Watanzania wakaendelea kupiga makofi na kusifia

Mungu wangu..!
 
Kwani mfumo ndio nini, na mfano wa mfumo ni upi ambao ni tofauti na uliopo, kwamba Rais anakuwa wasaidizi toka juu kabisa Hadi Hadi ngazi ya kitongoji?...
Umeongea vitu vya msingi sana mkuu, nami huwa naona katka nchi za kiafrica karibu zote ukiondoa za kiarabu hawako tayari kuwa na maendeleo ya kweli na siku tukireact ipasavyo ndipo tutapata maendeleo ya kweli, utashangaa watu wanaandamana kumfurusha mwenyekiti wa kijiji aliyekula mln 3 za kijiji lakn alikula 1bln kutoka hazina hawana habari naye na watakwambia huyo wa bilioni hatuhusu.
 
Kwani mfumo ndio nini, na mfano wa mfumo ni upi ambao ni tofauti na uliopo, kwamba Rais anakuwa wasaidizi toka juu kabisa Hadi Hadi ngazi ya kitongoji?...
Mkuu kunywa soda nakuja kulipa!

Machadema yanapotamka neno mfumo yanafikiri sijui ni lidude gani hilo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Angalia sasa hivi Samia hata afanye kosa gani wako tayari kumtetea eti ili kumkomoa marehemu!

Watz ina watu wajinga sana mkuu
 
Binafsi nataka kujua nini maana ya mfumo? je ni kweli Tanzania Hakuna mfumo au hatuna wasimamizi wa mifumo? mfano Takururu, Mahakama, etc ni mifumo au laa, maana tunaweza kuongea kitu albacore tuko nacho na tuna sema hakipo.
 
Ubinafsi ukiotokana na hofu ndio tatizo letu waafrika, tumekulia katika mazingira ya hofu ya kila kitu kwa hio tukiwa watu Wazima na/au kuwa viongozi tunakuwa wabinafsi sana,sababu tunaogopa kuwa watu wa chini ya mwengine, tunabakia kupiga kelele za kuwa wazalendo tu vitendo vyetu ni tafauti. Mzalendo halisi ni mtu anaejali watu wake badala ya makundi anayotokana nayo,Tanzania haijawahi kupata kiongozi mzalendo ambae angejenga mifumo imara kwa ajili ya watu, bali huishia kujali vyama na makundi wanayotokana.
 
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.

Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?

Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee aliyetengeneza mifumo ambayo kuja ku temper nayo kutahitaji kazi ngumu sana.

Kwa sasa naona mama kaanza zile misele za mtangulizi wake mara Kariakoo mara sijui anawaomba wasaidizi wake wawe wanahesabu bati na tofali.

Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele.

Naona kila mmoja anaongelea, mifumo, mifumo. lkn mnaelewa maana ya mifumo? Na mnaelewa ya kuwa mifumo bila ya usimamizi thabiti ni sawa na buree?
 
Maslahi ya watawala pamoja na chama chao hawawezi kukubali kuweka mifumo imara. Mifumo imara inaondoa ubabaishaji, udhulumaji na uonevu.

Mfano mfumo wa kuendesha Mashtaka ya makosa ya jinai hauwezi kuwekwa wazi ili kila raia ajue siku akikamatwa polisi anatakiwa atende nini, ushahidi uwepo, apewe dhamana na kama hakuna dalili ya kuhakiki ushahidi aachiwe. Huo uliwekwa wazi mpelelezi, karani wa mahakama, na wengineo watakosa ulaji .

Mfano tuko uchumi wa kati lakini Trafiki barabarani kila akiona gari ya mzigo lazima aisimamishe apate ya chai sababu hakuna uwazi ni kwanini kila likionekana canter, fuso, lorry ni lazima lisimamishwe na likutwe na kosa . Hakuna uwazi watu ili wapate pesa lazima wafinyange mifumo.

Angalia mwendokasi hakuna mfumo wa ticket makusudi ili wahusike wapate cha juu tucketi zinachanwa tuu.

Tumeshindwa nini kuweka Parking toll machine kwenye desgnated parking na sio kudandia vibaraza vya watu kuweka mtu anakatisha ticket na kimashine kiko offline au anakuwa na ticket nyingi kashazikata yeye anapachika tuu. Hawataki mfumo hawa ili waendelee kupata ukwasi wa bure
 
Mfumo ni nini?
 
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.

Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?

Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee aliyetengeneza mifumo ambayo kuja ku temper nayo kutahitaji kazi ngumu sana.

Kwa sasa naona mama kaanza zile misele za mtangulizi wake mara Kariakoo mara sijui anawaomba wasaidizi wake wawe wanahesabu bati na tofali.

Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele.

Naona kila mmoja anaongelea, mifumo, mifumo. lkn mnaelewa maana ya mifumo? Na mnaelewa ya kuwa mifumo bila ya usimamizi thabiti ni sawa na buree?
 
Mifumo imara kama ipi?

Hebu ainisha ni mifumo ipi imekosekana hapa nchini?
Kiongozi atakaye vunja Katiba/Sheria na Kiapo chake apigwe risasi hasharani...
 
Kwani mfumo ndio nini, na mfano wa mfumo ni upi ambao ni tofauti na uliopo, kwamba Rais anakuwa na wasaidizi toka juu kabisa Hadi ngazi ya kitongoji??

Kuna kipi kinachokosekana hapo, kuna Bunge, Mahakama na Ile Taasisi ya Uraisi, ni mfumo gani huo mwengine

Maana kila mtu, anaongelea Mfumo, mfumoo, bila kuongoza mjadala wa Hilo Neno mfumo,

Mfumo ndio kitu gani Hilo na linafanaje??

Shida siyo mfumo, shida ni wananchi wenyewe,

Kwanza ni wachezea mfumo, lakini pili, Wapo tayari kutetea waharifu wa mfumo,

Nchi yangu hii, iko tofauti Sana pengine na watu wote wa Dunia hii, ni nchi pekee ambayo, watu wake wanaweza kushirikiana na wahamiaji haramu kuwaficha majumbani mwao na kuwasafitisha Kutokea makwao Kwa kutumia magari Yao, ni nchi pekee ambayo watu wake hawajali pindi Mali na utajiri wa nchi Yao unaposombwa na kina Manji, ni nchi pekee inayo walilia wauza dawa za kulevya wake kuwekeza nchini Kwa madai eti walionewa

Ni nchi pekee ambapo watu wake hukaa kimya mafuta ya serikali yanapoibiwa waziwazi huku wananchi wake hawatoi tarifa hata kama nyumba inayofanya uharifu huo imepakana na Watanzania

Ni nchi pekee ambapo mapolisi wanaweza kusindikiza mwizi wa Tanzanite Kwa ulinzi na vingora kumvusha mipakani na bado asikari huyo akapandishwa cheyo

Nchi yangu ya ajabu hii,

Ikipata Raisi wa kukomesha hayo, ataitwa mnyanyasaji na eti hapendi wawekezaji, ni nchi pekee ambapo wakubwa wake, wanauhuru wa kufanya biashara na wasilipe Kodi eti tu wamekuwa viongozi, unajiuliza, ni kivipi Kodi za wananchi zinatumika kuwalipa?

Nenda US, Trampo alichunguzwa Kwa kampuni yake ilipoonekana kuna kipindi ilitaka kukwepa kulipa kodi, tofauti na kwetu ambapo kiongozi anaweza kuwa imma Muuza ngada ama fam...! Yake na bado Watanzania wakaendelea kupiga makofi na kusifia

Mungu wangu..!
Kama kuna mifumo Imara Raisi anaenda kukagua nini? Hata waziri tu hapaswi kwenda kukagua,
 
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.

Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?
...
Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele. ...

Ni hoja dhaifu kudai hakuna mifumo, labda kama una tafsiri tofauti.

Kwa tafsiri ninayoifahamu Mfumo ni Sera na Sheria zikisimamiwa na kutekelezwa na Taasisi zilizoanzishwa kisheria. Hizo Taasisi zinaongozwa na watu ambao kimsingi baadhi huziendesha kwa maslahi binafsi.

Alichokuwa anafanya Hayati ni kurudisha heshima ya dhamana ya uongozi. Aliwatumbua bila kusubiri uchunguzi pale alipothibitisha kutokuwajibika, na mifano iko mingi.
 
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.

Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?

Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee aliyetengeneza mifumo ambayo kuja ku temper nayo kutahitaji kazi ngumu sana.

Kwa sasa naona mama kaanza zile misele za mtangulizi wake mara Kariakoo mara sijui anawaomba wasaidizi wake wawe wanahesabu bati na tofali.

Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele.

Kukiwa na mifumo imara uwezekano wa viongozi kuwaandaa na kurithisha madaraka kwa vizazi vyao utayeyuka ( power elite model )
 
Back
Top Bottom