Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

Mara kwa Mara!? Unamaanisha ziwe zinarudiwa rudiwa sio?
 
Ila watanzania mna nongwa,wazazi wake wana impact gani kwenye maendeleo ya taifa?
 
Acha umbea, kwani kuona taarifa za wazazi wake mara kwa mara zitakusaidia nini? We taarifa za wazazi wako unazipitia mara kwa mara?
 
Ikulu T tunaomba majibu pls
 
 
hani amefika hapo Kwa bahati mbaya

Kama unadhani katika hapo Kwa mbaya la hasha, ana mizizi imara fuatilia tu safari yake Hadi kufika hapo, Fuatilia historia ya Vladimir Putin
 
Mbunge wa Kenya atoa mfano bungeni kuhusu matukio ya utekaji na mauaji Tanzania
 

Attachments

  • 5828950-b7ac3d2104911c3dabe203672d384ff9.mp4
    15.2 MB
Wahenga walisema, "ukifuatilia mkia wa mnyama ulipoanzia, utagusa mavi. Shauri yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…