Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

Inawezekana kaka na dada wako Oman,wanauziwa Ngorongoro creater na Kilimanjaro international airport kimya kimya. Tunaambiwa ni mwekezaji
Huoni kama unachanganya mada? Ngorongoro na wazazi. Hebu tulia acha kujichanganya
 
Haisaidii KuinuA uchumi au kuongezA pato kwa MtanzaniA mmoja mmojA!!
 
Sa ukishamjua inaongeza nini au isipokua inakupunguxia nini fanya kazi achana na maisha ya watu
 
Kichaa wewe.
 
nitajieni kaka au dada wa baba wa taifa Nyerere
Julius Nyerere alikuwa na mdogo wake aliyeitwa Joseph Nyerere. Jamaa alifanana sana na kaka yake Julius kwa wajihi na alikuwa kiongozi mkuu wa TANU YOUTH LEAGUE (TYL) miaka ya 60s na alifariki miaka ya sabini kama nakumbuka vizuri.
 
Babake ni yule aliyemzawadia gari ya thamani ya sh milioni 450 kwenye birthday yake
 
Umeongea point sana mkuu. Sema unachokitafuta sasa unaweza ukapotea
Ila wakati mwingine ufipa wana akili za ajabuajabu!
Familiya ya mtu inakuhusu nini weye?
Ukitoka familiya utahamia Samia ni kabila gani?
Upumbavu na ushenzi kabisa!
 
Mkuu, we tambua tu ya kwamba baba yake anaitwa Hassan na alikuwa ni mwalimu.
 
Mzee wa miaka hiyo unataka bado waongelewe wazazi wake? Hiyo waachie kina January kwasababu wanatembelea jina la Mzee
 
Baba mwana wa kiume na mwana wa kike wote marais.

mzee Mwinyi alisema NI RUKSA
 
Ungeanzia awamu ya kwanza kama Nia Yako ni Njema 🐼
Wazazi wa Nyerere, Mkapa, Kikwete na Magufuli walijulikana wazi. Wazazi wa Mwinyi na Samia imekuwa mtihani kuwajua. Au huko Zanzibar ni haram umma kujua wazazi wa viongozi wao? Na kwa nini hao wa kutokea Visiwani tu ndiyo iwe shida kujua wazazi wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…