Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

Oman
 
Mbunge wa Kenya atoa mfano bungeni kuhusu matukio ya utekaji na mauaji Tanzania
Duh. Hadi Kenya wanasema hawawezi kufikia viwango vya Tanzania kwa utekaji. Anasema hakuna mtu atapenda kuishi kwenye nvhi kama hiyo.
 

Hata wake wenza hatuwajui, watoto wa wake wenza, familia za wake wenza.
 
Taarifa za ndugu na wazazi wa Rais zinafichwa kwa sababu ya madhambi anayofanya anaogopa wananchi wenye hasira wasije wakawavamia ndugu na kuwaua kwa hasira.
 
Wazazi wa Nyerere, Mkapa, Kikwete na Magufuli walijulikana wazi. Wazazi wa Mwinyi na Samia imekuwa mtihani kuwajua. Au huko Zanzibar ni haram umma kujua wazazi wa viongozi wao? Na kwa nini hao wa kutokea Visiwani tu ndiyo iwe shida kujua wazazi wao?
Baba wa Shujaa Magufuli unamjua?

Baba wa Freeman je?

Mambo mengine hayataki chimbachimba πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zitatusaidia nini?
 
Ungeanzia awamu ya kwanza kama Nia Yako ni Njema 🐼
Nyerere Ni mtoto wa Chief Burito na Ukoo wake unafahamika Ni ukoo wa Machief,
MWINYI ndo kabisa mkapa Nafikiri sina hata Haja ya Kuelezea Kwa sababu ukienda Kusini mpaka alipoishi bibi ake panafahamika..

Sitaki Kuendelea Zaidi maana Wajukuu zangu bado wako Shule ya Msingi
 
Nenda Kizimkazi utawaona shangazi zake na wajombo zake

Wapemba hawanaga mambo mengi


 
Taarifa za wazazi wa Benjamin Mkapa unazo?
 
Iwekwe wazi historia ya Kiongozi wa Nchi ikionyesha na wazazi wake na walipotokea ili watanzania wajue ukweli ulivyo kwa uwazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…