Kwanini machangudoa, makahaba, mashoga na malaya hawatajiriki kwa biashara ya kuuza mwili?

Bongo ukiwa na nyumba na kigari watu wanakuona kana tajiri haha funny
 
U
Unamzungumziaje bobrisky, Uwoya ,Mobeto nk?
 
Waambie hawa.
 
Uwoya na Mobeto watoe muweke Huddah Monroe
Huddah's net worth as of 2020 is $3 million. Her successful career has led to everything that has happened. Monroe is a well-known Kenyan model and a well-known farmer with a 10-acre piece of land that she farms
 
Hujui uongeacho.
 
Bongo ukiwa na nyumba na kigari watu wanakuona kana tajiri haha funny
[emoji1787][emoji1787] yaani inachekesha sana , watu wanajadili utajiri humu wakati hawajui ili uitwe tajiri lazima uwe na vitu vingi kiasi gani na level zipi

Umejenga nyumba ya vyumba vitatu tu unaitwa tajiri [emoji1787][emoji1787]
 
Huwezi tajirika ukiwa gerezani lazima uwe huru ndipo utajirike, hao unaowasema wapo magerezani wanafanya yale Bwana gereza anataka, ukiuliza utashangaa hata wao hawapendi wala hawaitak ila watafanyaje ndio wako gerezani?
 
Spiritual penitentiary
 
Kuna kahaba mmoja hapa mtaani kwangu nimeanza kumfahamu kama miaka 10 iliyopita
Mpaka sasa amejenga anausafiri, hachuji kila siku anaingiza wateja .... ile kitu haichakai kwa kutiwa sana
 
Dolce and Gabbana-Wanamitindo maarufu na tajiri duniani

Tim Cook- CEO wa Apple

Elton John - Mwanamuziki maarufu na tajiri duniani

Elen Degeneres - Tv Talk Show Host maarufu na tajiri duniani

Tuendelee ama tusiendeleeeeeeeee
Ulio wataja watafutaji pia, na wana fanya sio kwa ajili ya kujiuza au shida, bobu kapata Mali kwa kazi ya ung'ese tu na alishawai kusifia ung'ese umempa Mali yeye katokea kwenye shida na tabu.
 
Wanatumikia mapepo
 
Ulio wataja watafutaji pia, na wana fanya sio kwa ajili ya kujiuza au shida, bobu kapata Mali kwa kazi ya ung'ese tu na alishawai kusifia ung'ese umempa Mali yeye katokea kwenye shida na tabu.
Mleta mada kasema hakuna Mashoga wala Makahaba matajiri mmepewa list ndio hiyo,
Bob Risky alitengeneza vipodozi, aliuza nguo, akaja kua host wa kipindi cha mapishi, ukahaba aliufanya kumpatia pesa ya mtaji na kuendeleza biashara yake na ndio hao Makahaba wengine wanavyofanya, wakina Huddah wana biashara zao, n.k
 
Kuna kahaba mmoja hapa mtaani kwangu nimeanza kumfahamu kama miaka 10 iliyopita
Mpaka sasa amejenga anausafiri, hachuji kila siku anaingiza wateja .... ile kitu haichakai kwa kutiwa sana
Ni tajiri?
 
[emoji1787][emoji1787] yaani inachekesha sana , watu wanajadili utajiri humu wakati hawajui ili uitwe tajiri lazima uwe na vitu vingi kiasi gani na level zipi

Umejenga nyumba ya vyumba vitatu tu unaitwa tajiri [emoji1787][emoji1787]
Tutafika tu mkuu si unajua bongo tupo nyuma kwenye kila kitu,hadi kutofautisha tajiri na middle class hatujui [emoji28][emoji28]
 
Haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…