Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Bongo ukiwa na nyumba na kigari watu wanakuona kana tajiri haha funnyNimefuatilia huu uzi nimebaki kushangaa , mtu anasema wapo makahaba matajiri afu anasema eti kuna kahaba kajenga nyumba anaishi vizuri
Nawasihi nendeni mkasome who is called a rich person
Kuwa na nyumba si utajiri huo maana kama huo ndiyo utajiri basi Tz si nchi maskini kabisa