Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unapotosha. Waislamu wengi tuu tunagonga nao chairfire mtaani na wakimaliza wanawahi sala ya maghribSidhani kama waislam wana shida na wasabato, kwanza wote hawali nguruwe, so ukimwambia muislam mimi sili nguruwe anakuona ndugu yake.
Hata hivyo, chuki za kiimani ni za nini, kwa faida ya nani?
Wachoyo sana wa connectionSubiri kwanza tumalizane na issue ya Kikatiba, Nilijua Wazanzibar tuko pamoja, kumbe wenzetu Wana connection tangu mwaka Jana Hadi 2023 ndio Bara tunapata connection ya Askari
Haina maana ya kuwa na muunganoWachoyo sana wa connection
Mnilipe aiseeKwhy buji hutaki kuitwa kafir?
😂😂😂Wewe huna Dhambi kabisaMnilipe aisee
Wanaomba chai?Kuna dhehebu moja hapo wazee wa kugonga mageti ya watu na vinganganizi kweli kweli [emoji1]
Ova
Mimi huwa siwaelewi kabisa wale nadhifu ambao wanavaa suruali nyeusi, shati jeupe na tai. Wanaitwa Mormon au The Church of Jesus Christ of Latter - Day Saints..(LDS), Kanisa la Watakatifu wa siku za mwisho.Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.
Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.
Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
Wana makanisa yao Morocco na Mabibo kama unataka kuoa wake wengi, jiunge na lile kanisa. Kitabu chao kitakatifu kinaitwa The Book Of MormonsMimi huwa siwaelewi kabisa wale nadhifu ambao wanavaa suruali nyeusi, shati jeupe na tai. Wanaitwa Mormon au The Church of Jesus Christ of Latter - Day Saints..(LDS), Kanisa la Watakatifu wa siku za mwisho.
Nao naona USA hawawapendi kabisa walimbania Mitty Romney sababu tu ni muumini.