Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

Badilisha kichwa Cha Uzi wako.....Waislamu hawana chuki na watu wa dini nyingine (waliopewa kitabu). SEMA madhehebu mengine ya kikristo. Hao mashaidi wa Jehova hawajulikani kabisa labda kwa mbali wasabato

Na chanzo ni ukosoaji wa wasabato wenyewe kwa madhehebu mengine kama vile wakatoliki wanaowasema kuwa wanaabudu sanamu na freemasons.
 
Quran 17:70 says it all.

Human dignity must be respected, regardless of his/her faith, race ethnic origin, gender or social status

Also 6:109

Do not abuse whom they worship other than Allah (SW).

In short Islam does not condemn other religions.
 
Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.

Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.

Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
Mimi huwa siwaelewi kabisa wale nadhifu ambao wanavaa suruali nyeusi, shati jeupe na tai. Wanaitwa Mormon au The Church of Jesus Christ of Latter - Day Saints..(LDS), Kanisa la Watakatifu wa siku za mwisho.

Nao naona USA hawawapendi kabisa walimbania Mitty Romney sababu tu ni muumini.
 
Wana makanisa yao Morocco na Mabibo kama unataka kuoa wake wengi, jiunge na lile kanisa. Kitabu chao kitakatifu kinaitwa The Book Of Mormons
 
Back
Top Bottom