Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.

Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.

Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
Jehovah witnesses sio wakristo

Ukristo ni kuamini Mungu Baba mwana na Roho mtakatifu kinyume chake sio ukristo
 
ndio soma hii,salamu mariya mama wa mungu umejaa neema na sisi wakosefu utuombee milele na milele ameen(mama wa mungu)
Wakatoliki tunasadiki kwa Mungu Mmoja katika nafsi zake tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hata ishara yetu ya msalaba unatamka maneno hayo, Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Madhehebu karibu yote ya Kikristu yameichukua hii phenomenon katika Ukatoliki.

Anayekuambia tunamuabudu Bikira Maria anafanya propaganda; actually kwa lengo la kibiashara zaidi
 
Jehovah witnesses sio wakristo

Ukristo ni kuamini Mungu Baba mwana na Roho mtakatifu kinyume chake sio ukristo
hacha uongo imani kuu ya ukirisito ni kukkili kwa moyo na kutamka kuwa yesu ni mungu mkuu na likufa msalabani ndio maana kila kanisa lina msalaba baadhi ya mialaba inasanamu ya yesu
 
Wakatoliki tunasadiki kwa Mungu Mmoja katika nafsi zake tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hata ishara yetu ya msalaba unatamka maneno hayo, Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Madhehebu karibu yote ya Kikristu yameichukua hii phenomenon katika Ukatoliki.

Anayekuambia tunamuabudu Bikira Maria anafanya propaganda; actually kwa lengo la kibiashara zaidi
hiyo misalaba yenye sanamu ya kazi gani?
1677745042204.jpg
 
Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.

Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.

Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue

Kuna Lecturer mmoja wa udsm, alikuwa ni muumini wa mashahidi wa Jehova alifariki sababu alikataa kuongezewa damu!
 
hacha uongo imani kuu ya ukirisito ni kukkili kwa moyo na kutamka kuwa yesu ni mungu mkuu na likufa msalabani ndio maana kila kanisa lina msalaba baadhi ya mialaba inasanamu ya yesu
Acha upimbi
Imani ya kikristo nakiri kila Leo , unajifanya mbusu jiwe unajua zaidi
 
Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.

Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.

Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
Kamwe giza haliwezi kuchangamana na nuru kila pqlipo na giza nuru hujitenga na kila palipo na nuru basi giza hujitenga. Bibilia inasema jia ya kwenda mbinguni ni nyembamba tena imejaa miba na niwachache tu wanaoipita njia hiyo. Ni matumaini yangu nimeeleweka
 
Ukiweza kujibu ya Suleimani muislamu na masanamu kwenye Koran utakuwa umejijibu
lete andiko hilo linlo sema suleimani alikuwa akiabudu sanamu au tuma picha ya msikiti wenye sanamu
 
Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.

Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.

Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
naomba ufute waislamu hapo juu kwani unawaingiza kwenye Vita ambayo sio ya kwao
 
lete andiko hilo linlo sema suleimani alikuwa akiabudu sanamu au tuma picha ya msikiti wenye sanamu
Leta andiko wakristo wanaabudu sanamu ?

Msikitini wote mnageukia jiwe lenye umbo la uke na mnasujudia
 
hiyo misalaba yenye sanamu ya kazi gani?
Kwanza nakupongeza kwa kusema misalaba yenye sanamu, logically unamaanisha pia huwa kuna misalaba isiyo na sanamu. Pengine tafsiri ya sanamu inahitaji ufahamu wako ulivyo. Sasa kama unaikubali misalaba ambayo imechongwa kwa mbao, una tofauti gani na anayeitumia misalaba iliyochongwa kwa mbao na juu ikawekwa sanamu? Otherwise uniambie hata misalaba yenyewe tu hukubaliani nayo kuwapo kama alama yoyote katika kanisa lako, iwe ndani, nje au kwenye paa.

Tukirudi kwenye swali lako, msalaba kwetu ni alama ya ukombozi maana imani yetu inasema kwamba Kristu alikufa, akazikwa na akafufuka siku ya tatu, na kupitia kifo chake, sisi tulikombolewa. Kwa hiyo tunaendelea kuitumia alama ya msalaba wenye sanamu ya aliyeubeba na kuteswa na kisha kufa juu yake (Yesu Kristu) kama alama ya kutukumbusha kuwa kupitia visakramenti hivyo ukombozi wetu ulipatikana
 
lete andiko hilo linlo sema suleimani alikuwa akiabudu sanamu
Suleiman muislamu aliweka masanamu msikitini, aliyaweka kwa sababu gani? Na kwa Nini Allah ambae ndie aliyajenga masanamu badae akaamua kuyatoa?
 
Back
Top Bottom