Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.

Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.

Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
Hakuna chuki ni tofauti tu za kimitazamo, mfano hao mashahidi wa Yehova wameona sio sahihi Yesu kuwa Mungu, hao wasabato kama unavyo jua siku hiyo ni muhimu kwao, maana ipo kimaandiko, kwahiyo wana hoja nzito lazima wapuuzi wawachukie badala ya kujifunza nini wanaamini
 
Mkuu kafiri ni mpingaji, hawa ni watu walio kuwa wanampinga mtume na kumfanyia vitimbi ili imani isiwafikie watu, kwahiyo wala sio jina baya wala sio tusi ni uelewa mbovu tu ,, mbona hata wapagani linatumika sana kwa wakristo
🙏
 
Sidhani kama waislam wana shida na wasabato, kwanza wote hawali nguruwe, so ukimwambia muislam mimi sili nguruwe anakuona ndugu yake.

Hata hivyo, chuki za kiimani ni za nini, kwa faida ya nani?
Eti hawali nguruwe .vichekesho kweli
 
Lini? Mbona unakurupa nyie na sisi nan wanafundishwa chuki kuita wenzao magaid, mara majini
Hatuwaiti magaidi, mnafanya vitendo vya mauaji eti in defense of religion, mnataka muitwaje? Hilo jina limewakaa kwasababu ya matendo yenu. Nitajie mkristo anaejivika mabomu kwenda kulipua kadamnasi.

Sisi wenzenu hatupati thawabu hivyo!
 
Bujibuji Shikamoo.
Anyways , Mmoja wa hao jehovah's witness alikuja gonga mlango wangu nikafanya kosa la kumkaribisha ndani na kumuhudumia kahawa.

yaani ikawa kero kila kukicha anakuja nyumbani kwangu. akinikosa asubuhi anakuja jioni.

Kero ikazidi nikamuomba sana asiwe anakuja nyumbani kwangu tena. akaanza kumtuma mkuu wao na wakawa wanakuja wawili au watatu. Ilibidi nihame.

Wasumbufu sana na wanapenda kung'ang'anizia watu dini yao.
 
Uzuri hata tukibishana, bado tunajua nani atavuka nguo. Urehemiwe tu na Muumba wangu ambae hanifundishi kuua ili nikalale na mabikra 72 mbinguni, excessively pathetic!
Wapi wanasema watu wnaua au uliona hapa Tanzania.

Acha ujinga wa kufuatilia nchi za watu Wana mapigano ya maslahi yao binafsi sio dini kaaa kwa kutulia.

Ukileta vurugu unapigwa !

Endelea na ukafiri wako
 
Wapi wanasema watu wnaua au uliona hapa Tanzania.

Acha ujinga wa kufuatilia nchi za watu Wana mapigano ya maslahi yao binafsi sio dini kaaa kwa kutulia.

Ukileta vurugu unapigwa !

Endelea na ukafiri wako
Uzuri mi huwa nawachukulia kama hamnazo.
 
Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.

Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.

Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issuDim

Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.

Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.

Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
Dini(religion)ni njia aliyotemgeneza mtu Ili kumfikia Mungu,ila nyingi zimejaa mambo ya kijinga sana,watu wanaenda kanisani kuomba "Mungu wa Israel"awape mvua!wakati Israel yenyewe,watu ha wa endi kuomba Mungu awape mvua,wanaomba Mungu awape akili na busara,na uwezo wa akili,then wanaenda shule,wanapiga sayansi na tekinolojia,wanayatawala mazingira yao ya jangwani kwa kuchimba visima,na kuendesha skimu za umwagiliaji wa mazao,hawana mito mingi ya kufsnya hydroplant,wanavuna nguvu za jua,na nuclia kuzalisha umeme.
Watu wanasafiri kutoka mikoani,wanakuja kwa Mwamposa "kuombewa"Ili wapate wachumba,kazi,watoto wafaulu mitiani,kipato kiongezeke.
Pesa haipatikani kwa kuomba kanisani,pesa ni kwa kufanya kazi tu.
 
Hiyo ni kulingana na biblia au nini
Weka na mstari tuone
Jehovah witnesses sio wakristo

Ukristo ni kuamini Mungu Baba mwana na Roho mtakatifu kinyume chake sio ukristo
 
Wasabato ndio Wana chuki na madhehebu ya jumapili hasa ukatoliki ndio adui wao mkuu.
Hakuna dhehebu lolote la Kikristo lenye chuki na wasabato hata mashahidi wa Yehova.
Hao mashahidi ni watu wa amani Wana maadili hawana shida na mtu kabisa ni SAwa na rastafarian.
 
Back
Top Bottom