Tena umekosea sana kuandika mungu, Wakatoliki wanaamini Yesu ni Mungu, atakayekuhubiria kuwa hawaamini ana lengo lake la kutaka usijue ukweliNakuuliza tena,,, kwani wakatoliki wanaamini yesu ni mungu?
Jehovah witnesses sio wakristoYaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.
Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.
Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
ndio soma hii,salamu mariya mama wa mungu umejaa neema na sisi wakosefu utuombee milele na milele ameen(mama wa mungu)Nakuuliza tena,,, kwani wakatoliki wanaamini yesu ni mungu?
hiyo ni kweli waisilamu wa kweli nchii hawafiki hata m 5000,000 wengi wao hawana tofaoti na wakirisitoWaislamu kibao wanakula kitimoto kimyakimya.. mwezi wa Ramadan mauzo ya kiti moto yanashuka dunia nzima
Wakatoliki tunasadiki kwa Mungu Mmoja katika nafsi zake tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hata ishara yetu ya msalaba unatamka maneno hayo, Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Madhehebu karibu yote ya Kikristu yameichukua hii phenomenon katika Ukatoliki.ndio soma hii,salamu mariya mama wa mungu umejaa neema na sisi wakosefu utuombee milele na milele ameen(mama wa mungu)
hacha uongo imani kuu ya ukirisito ni kukkili kwa moyo na kutamka kuwa yesu ni mungu mkuu na likufa msalabani ndio maana kila kanisa lina msalaba baadhi ya mialaba inasanamu ya yesuJehovah witnesses sio wakristo
Ukristo ni kuamini Mungu Baba mwana na Roho mtakatifu kinyume chake sio ukristo
hiyo misalaba yenye sanamu ya kazi gani?Wakatoliki tunasadiki kwa Mungu Mmoja katika nafsi zake tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hata ishara yetu ya msalaba unatamka maneno hayo, Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Madhehebu karibu yote ya Kikristu yameichukua hii phenomenon katika Ukatoliki.
Anayekuambia tunamuabudu Bikira Maria anafanya propaganda; actually kwa lengo la kibiashara zaidi
Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.
Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.
Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
Acha upimbihacha uongo imani kuu ya ukirisito ni kukkili kwa moyo na kutamka kuwa yesu ni mungu mkuu na likufa msalabani ndio maana kila kanisa lina msalaba baadhi ya mialaba inasanamu ya yesu
masanamu ya kazi gani kanisani?hiyo misalaba yenye sanamu ya kazi gani?View attachment 2535735
Kamwe giza haliwezi kuchangamana na nuru kila pqlipo na giza nuru hujitenga na kila palipo na nuru basi giza hujitenga. Bibilia inasema jia ya kwenda mbinguni ni nyembamba tena imejaa miba na niwachache tu wanaoipita njia hiyo. Ni matumaini yangu nimeelewekaYaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.
Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.
Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
Ukiweza kujibu ya Suleimani muislamu na masanamu kwenye Koran utakuwa umejijibuhiyo misalaba yenye sanamu ya kazi gani?View attachment 2535735
kwani kubusu ndio kuabudu?au ujui maana ya sanamuAcha upimbi
Imani ya kikristo nakiri kila Leo , unajifanya mbusu jiwe unajua zaidi
lete andiko hilo linlo sema suleimani alikuwa akiabudu sanamu au tuma picha ya msikiti wenye sanamuUkiweza kujibu ya Suleimani muislamu na masanamu kwenye Koran utakuwa umejijibu
Unajua umuhimu wa jiwe au unajifanya kichaakwani kubusu ndio kuabudu?au ujui maana ya sanamu
naomba ufute waislamu hapo juu kwani unawaingiza kwenye Vita ambayo sio ya kwaoYaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.
Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.
Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
Leta andiko wakristo wanaabudu sanamu ?lete andiko hilo linlo sema suleimani alikuwa akiabudu sanamu au tuma picha ya msikiti wenye sanamu
Kwanza nakupongeza kwa kusema misalaba yenye sanamu, logically unamaanisha pia huwa kuna misalaba isiyo na sanamu. Pengine tafsiri ya sanamu inahitaji ufahamu wako ulivyo. Sasa kama unaikubali misalaba ambayo imechongwa kwa mbao, una tofauti gani na anayeitumia misalaba iliyochongwa kwa mbao na juu ikawekwa sanamu? Otherwise uniambie hata misalaba yenyewe tu hukubaliani nayo kuwapo kama alama yoyote katika kanisa lako, iwe ndani, nje au kwenye paa.hiyo misalaba yenye sanamu ya kazi gani?
Suleiman muislamu aliweka masanamu msikitini, aliyaweka kwa sababu gani? Na kwa Nini Allah ambae ndie aliyajenga masanamu badae akaamua kuyatoa?lete andiko hilo linlo sema suleimani alikuwa akiabudu sanamu