Kwanini Magufuli aliwaogopa sana Nape na January Makamba?

Mkristo safi anasemaje wazi kwamba anataka kuuvunja kabisa upinzani, na kuukataza usifanye mikutano ya hadhara inayokubaliwa kikatiba?

Magufuli alikuwa anatumia hizi nafasi kujisafisha kwamba yeye ni mtu Mkristo safi.

Lakini ukiangalia mengi aliyofanya, inaonekana kama hakuamini uwepo wa Mungu, aliamini yeye ndiye Mungu.

They were there to kiss the Pope's ring, and Magufuli was the Pope.

It's a power consolidation move.

Keep your friends close, and your enemies closer.
Mkristo alisema ukweli kuwa atahakikisha by 2020 upinzani hamna na kweli Bungeni hakuna wapinzani sasa.RIP msema kweli.
 
Sioni sababu kwanini unawasifu hao waliojipambanua kama walafi wa madaraka, wanaodhani wao na familia zao ndio wenye hati miliki ya kuwa viongozi serikalini hata wakikosea, Magufulu atleast aliwaonesha wao sio kitu.

Kitendo cha Makamba kumchora Magufuli kwa vikatuni twitter kisa alikosa "shavu" alilotarajia kwa sababu anaamini alimuwezesha Magufuli kuingia ikulu, ule ulikuwa ni ubinafsi uliopitiliza.

Na ndio maana kwa sababu ya ubinafsi huo, sasa amejaa kiburi akijiona yeye ndie mwenye nchi, asieguswa hata akiharibu, anavimba kichwa kwa sababu ya kuongozwa na mjinga kwenye serikali yake, asiyejua kupima performance ya watendaji wake sasa anajiona genious.

Kumbe kwa Magufuli aliyekuwa na standard zake, alimuona zero kule wizara ya Muungano aliyompa ndio maana akamtumbua, lakini yeye kwa ujinga wake akadhani ameonewa, hili ndio tatizo la mitoto inayodekezwa na wazazi.
Magufuli licha ya Makamba kumchora vikatuni bado alimteua
Na alimuacha hadi pale sauti za kumtukana zilipovuja, sio sababu ya utendaji
 
Ni memba wa ka sindiketi ka wapiganaji na wahuni wanaodhani uongozi wa nchi hii ni urithi kutoka kwa baba zao.

BTW, hakuwaogopa, aliwahurumia. Alishawatia nyavuni, angeamua kuwamaliza walikuwa hawana pa kukimbilia. Moyo wake wa huruma ulimponza, leo wanakenua kenua meno na kuongea upuuzi juu yake.
Kwa nini alikuwa akiua wapinzani kama alikuwa na huruma kweli?
 
Sioni sababu kwanini unawasifu hao waliojipambanua kama walafi wa madaraka, wanaodhani wao na familia zao ndio wenye hati miliki ya kuwa viongozi serikalini hata wakikosea, Magufulu atleast aliwaonesha wao sio kitu.

Kitendo cha Makamba kumchora Magufuli kwa vikatuni twitter kisa alikosa "shavu" alilotarajia kwa sababu anaamini alimuwezesha Magufuli kuingia ikulu, ule ulikuwa ni ubinafsi uliopitiliza.

Na ndio maana kwa sababu ya ubinafsi huo, sasa amejaa kiburi akijiona yeye ndie mwenye nchi, asieguswa hata akiharibu, anavimba kichwa kwa sababu ya kuongozwa na mjinga kwenye serikali yake, asiyejua kupima performance ya watendaji wake sasa anajiona genious.

Kumbe kwa Magufuli aliyekuwa na standard zake, alimuona zero kule wizara ya Muungano aliyompa ndio maana akamtumbua, lakini yeye kwa ujinga wake akadhani ameonewa, hili ndio tatizo la mitoto inayodekezwa na wazazi.
Kunywa maji katekista wangu utulie! Una hali ngumu........sumu kutoka mwilini mwako inakutafuna vibaya. Neema za samia, makamba na nape zinatoka kwa Mungu ikiwa ni majibu dhidi ya chuki, fitna na wivu kama hivi!
 
Wote waliohusika kumsema Magufuli kwenye zile sauti zilizovuja, wote walipotezwa kisiasa kasoro Nape na Makamba

Ngelejea japo hakuwa mshiriki mkubwa na kuwa wa kwanza kuomba msamaha lakini alipotezwa kwenye ubunge baada ya Magufuli kumfadhili mshindani wake

Membe alifukuzwa, Kinana nae akawa suspended kwenye chama(hata hivyo baadae Magufuli alimrudisha licha ya Kinana kutoomba msamaha rasmi),

Lakini Nape na Makamba japo ndio walikuwa viongozi wakuu wa uasi ule, Magufuli aliwaacha wakapita kwenye kura za maoni ndani CCM na majina yao hakuyakata na wakarudi bungeni na sasa ni mawaziri wenye nguvu kwenye serikali ya Samia

Sasa nauliza kwa nini Magufuli alikuwa anaogopa kuwaadhibu hawa watu?

Leo hii wafuasi wa Magufuli wanateseka sana wakiona Nape na Makamba wanavyotesa na kuvimba huku wakiwatupia vijembe
Acha chuki. Magufuli hakuwa mtu wa kuogopa hao watu wako. Kama aliwaogopa mbona aliwatumbua na wasimfanye kitu? Magufuli asingeogopa watu wanaoishi kwa kutegemea majina ya baba zao. Kweli 'panya' akiondoka 'mapaka' hujitawala
 
Mkristo safi anasemaje wazi kwamba anataka kuuvunja kabisa upinzani, na kuukataza usifanye mikutano ya hadhara inayokubaliwa kikatiba?

Magufuli alikuwa anatumia hizi nafasi kujisafisha kwamba yeye ni mtu Mkristo safi.

Lakini ukiangalia mengi aliyofanya, inaonekana kama hakuamini uwepo wa Mungu, aliamini yeye ndiye Mungu.

They were there to kiss the Pope's ring, and Magufuli was the Pope.

It's a power consolidation move.

Keep your friends close, and your enemies closer.
Ushamba ni mzigo mkubwa sana, kwani ukitumia lugha 1 tu kutufikishia Hadhira ujumbe hutaeleweka?

Ujuaji mwingi mbele giza.
 
Acha chuki. Magufuli hakuwa mtu wa kuogopa hao watu wako. Kama aliwaogopa mbona aliwatumbua na wasimfanye kitu? Magufuli asingeogopa watu wanaoishi kwa kutegemea majina ya baba zao. Kweli 'panya' akiondoka 'mapaka' hujitawala
Sasa kumtoa mtu kwenye uwaziri kwani kuna shida gani? Walibaki kwenye chama na wakaendelea kuwa wabunge na sasa ni mawaziri
 
Ushamba ni mzigo mkubwa sana, kwani ukitumia lugha 1 tu kutufikishia Hadhira ujumbe hutaeleweka?

Ujuaji mwingi mbele giza.
Bila mimi mshamba kulima wewe wa mjini ungeweza kula?

Kwani lazima unisome na kunielewa?

Unataka kunipongia lugha ya kuandika na jinsi ya kuandika?

Kuna options hapo ya kunipeleka ignore list, kama hupendi ninavyoandika nipeleke ignore list hutaona tena ninachoandika.

Mimi nina watu wengi sana nawafanyia hivyo, kila wiki lazima nimpeleke mtu ignore list.

Fuckouttahere.
 
Sasa kumtoa mtu kwenye uwaziri kwani kuna shida gani? Walibaki kwenye chama na wakaendelea kuwa wabunge na sasa ni mawaziri
Kama angewaogopa wasingetemeshwa uwaziri. Wamerejeshwa kwa mlango wa nyuma baada ya Simba mwenyewe kuitwa kwao.
 
Wote waliohusika kumsema Magufuli kwenye zile sauti zilizovuja, wote walipotezwa kisiasa kasoro Nape na Makamba

Ngelejea japo hakuwa mshiriki mkubwa na kuwa wa kwanza kuomba msamaha lakini alipotezwa kwenye ubunge baada ya Magufuli kumfadhili mshindani wake

Membe alifukuzwa, Kinana nae akawa suspended kwenye chama(hata hivyo baadae Magufuli alimrudisha licha ya Kinana kutoomba msamaha rasmi),

Lakini Nape na Makamba japo ndio walikuwa viongozi wakuu wa uasi ule, Magufuli aliwaacha wakapita kwenye kura za maoni ndani CCM na majina yao hakuyakata na wakarudi bungeni na sasa ni mawaziri wenye nguvu kwenye serikali ya Samia

Sasa nauliza kwa nini Magufuli alikuwa anaogopa kuwaadhibu hawa watu?

Leo hii wafuasi wa Magufuli wanateseka sana wakiona Nape na Makamba wanavyotesa na kuvimba huku wakiwatupia vijembe
What if kama mtu akiwaza hivi:'

Kwanini huyo aliye mwema kwa mujibu wa Mgosi Yusufu aliwaogopa Salim Ahmed na Mark Mwandosya?
 
Bila mimi mshamba kulima wewe wa mjini ungeweza kula?

Kwani lazima unisome na kunielewa?

Unataka kunipongia lugha ya kuandika na jinsi ya kuandika?

Kuna options hapo ya kunipeleka ignore list, kama hupendi ninavyoandika nipeleke ignore list hutaona tena ninachoandika.

Mimi nina watu wengi sana nawafanyia hivyo, kila wiki lazima nimpeleke mtu ignore list.

Fuckouttahere.
Povu jiiingi kama jinsi ile, kweli jiwe gizani [emoji1787]
 
Makamba ndiye aliyeingilia mfumo wa tume ya uchaguzi na kupunguza kura za Lowasa ili za jiwe zitoshe.

Nape ndiye aliyepiga kampeni mpk akavunja mkono huko vijijini kabisa ili watu wampigie kura jiwe maana by then ccm ilikuwa imekanwa kabisa na watanzania.

In short ,these two guys are smarter by far than jiwe, hence jiwe was haunted by unspeakable fear for them.
Kama kuna ushahidi wa kutosha kwamba ali-hack kura za EL basi kuna haja gani ya kumjadili mwizi aliyehatarisha usalama wa taifa na anayestahili muda huu kuwa Ukonga?
 
Back
Top Bottom