Kwanini Magufuli aliwaogopa sana Nape na January Makamba?

Kwanini Magufuli aliwaogopa sana Nape na January Makamba?

Mbona we mwenyewe hujathibitisha uwepo wa nguvu inayokufanya uishi (roho/hewa) iwe visible na tangible zaidi ya kuhisi tu?

Sauti je?

Akili je?
Mkuu,

Unaelewa "logical non sequitur" ni nini?

Unaelewa kwamba mimi kushindwa kuthibitisha hayo uliyoyasema hakuthibitishi Mungu yupo?

Unaelewa kwamba mimi ninaweza kushindwa kuthibitisha hayo yote, kwa sababu Mungu hayupo?

Unaelewa kwamba, katika ulimwengu ambao Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, watu kushindwa kuthibitisha vitu na kuwa na majibu ya uhakika si kitu cha ajabu, kwa sababu hakuna Mungu wa kuwapa majibu na wao inabidi wachambue mambo na kupata majibu, na hawana uwezo wa kupata majibu yote mara moja.

Kwa hiyo, kushindwa kwangu kuwa na majibu ya maswali, hakuoneshi mgogoro wowote na dhana kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mapenzi yote hayupo.

Ila, katika ulimwengu ambao Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, mtu yeyote anatakiwa kuwa na majibu ya swali lolote na ujinga hautakiwi kuwepo.

Kwa sababu, Mungu huyo mwenye neema kuu hawezi kuruhusu viumbe wake watawaliwe na ujinga.

Na ikitokea kuthibitika kwamba kuna ujinga wowote popote, huo ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo angefuta ujinga wote.

Hoja yako ya kuniuliza maswali ambayo unaona nitashindwa kuyajibu, ambayo wewe unaona inathibitisha Mungu yupo, kiukweli ni hoja inayothibitisha Mungu hayupo.

Unaelewa kwamba umetoa hoja inayozidi kuthibitisha Mungu hayupo?
 
Kama angewaogopa wasingetemeshwa uwaziri. Wamerejeshwa kwa mlango wa nyuma baada ya Simba mwenyewe kuitwa kwao.
Jesca Msambatavangu na Sofia Simba walifukuzwa CCM na Magufuli kwa kumuunga mkono Lowassa ndani ya CCM 2015
Hawa akina Nape mbona wana makosa makubwa zaidi na hajawafukuza
 
Wote waliohusika kumsema Magufuli kwenye zile sauti zilizovuja, wote walipotezwa kisiasa kasoro Nape na Makamba

Ngelejea japo hakuwa mshiriki mkubwa na kuwa wa kwanza kuomba msamaha lakini alipotezwa kwenye ubunge baada ya Magufuli kumfadhili mshindani wake

Membe alifukuzwa, Kinana nae akawa suspended kwenye chama(hata hivyo baadae Magufuli alimrudisha licha ya Kinana kutoomba msamaha rasmi),

Lakini Nape na Makamba japo ndio walikuwa viongozi wakuu wa uasi ule, Magufuli aliwaacha wakapita kwenye kura za maoni ndani CCM na majina yao hakuyakata na wakarudi bungeni na sasa ni mawaziri wenye nguvu kwenye serikali ya Samia

Sasa nauliza kwa nini Magufuli alikuwa anaogopa kuwaadhibu hawa watu?

Leo hii wafuasi wa Magufuli wanateseka sana wakiona Nape na Makamba wanavyotesa na kuvimba huku wakiwatupia vijembe
Rubbish of the year,got big credit
 
Makamba ndiye aliyeingilia mfumo wa tume ya uchaguzi na kupunguza kura za Lowasa ili za jiwe zitoshe.

Nape ndiye aliyepiga kampeni mpk akavunja mkono huko vijijini kabisa ili watu wampigie kura jiwe maana by then ccm ilikuwa imekanwa kabisa na watanzania.

In short ,these two guys are smarter by far than jiwe, hence jiwe was haunted by unspeakable fear for them.
Huu ujinga mtakoma nanale?[emoji304]
 
Kama kuna ushahidi wa kutosha kwamba ali-hack kura za EL basi kuna haja gani ya kumjadili mwizi aliyehatarisha usalama wa taifa na anayestahili muda huu kuwa Ukonga?
Kwa hapa Tanzania kipimo cha ujanja na akili ni uwezo/ujasiri wa kuiba .

Ndiyo maana mtu akipata ajira ama uteuzi asipokwapua fedha na kuanza kufanya makubwa mtaani watu wanamsema vibaya. Akiiba ama kukwapua fedha wanamsifia.

Kwahiyo, kwa standards za bongo Makamba ndiye mwenye akili.

In Tanzania, AKILI=WIZI
 
Jesca Msambatavangu na Sofia Simba walifukuzwa CCM na Magufuli kwa kumuunga mkono Lowassa ndani ya CCM 2015
Hawa akina Nape mbona wana makosa makubwa zaidi na hajawafukuza
Mie sijui. Waulize maCCM wenyewe watakupa jibu sahihi. Every case has its own merits.
 
Kwa jinsi tunavyoelezwa alivyokuwa Magufuli basi nilitegemea kuona akiagiza Makamba na January wauliwe au watekwe.
 
Wote waliohusika kumsema Magufuli kwenye zile sauti zilizovuja, wote walipotezwa kisiasa kasoro Nape na Makamba

Ngelejea japo hakuwa mshiriki mkubwa na kuwa wa kwanza kuomba msamaha lakini alipotezwa kwenye ubunge baada ya Magufuli kumfadhili mshindani wake

Membe alifukuzwa, Kinana nae akawa suspended kwenye chama(hata hivyo baadae Magufuli alimrudisha licha ya Kinana kutoomba msamaha rasmi),

Lakini Nape na Makamba japo ndio walikuwa viongozi wakuu wa uasi ule, Magufuli aliwaacha wakapita kwenye kura za maoni ndani CCM na majina yao hakuyakata na wakarudi bungeni na sasa ni mawaziri wenye nguvu kwenye serikali ya Samia

Sasa nauliza kwa nini Magufuli alikuwa anaogopa kuwaadhibu hawa watu?

Leo hii wafuasi wa Magufuli wanateseka sana wakiona Nape na Makamba wanavyotesa na kuvimba huku wakiwatupia vijembe
Nape , January na Kinana ndio waliosimamia ile ofisi ya masaki , iliyowezesha jiwe kuwa Rais ( kumbuka kwamba hakushinda) , hawa walijua siri yote , Mwingine aliyejua siri hii ni mchungaji Kipilimba
 
All in all yule mwamba kafa kiajabuajabu kapumzika na wazuri hawafi.
Mungu yupo anatuona lakini🙏
 
Alikuwa kiongozi asiyetumia akili kabisa. Full kukurupuka. Alitengeneza chawa kibao kutoka Kanda ya ziwa.

NB haya matatizo anayopambana mayo Samia yalisababishwa na Jiwe
Jadilini mambo yenu ya kitoto bila kumhusisha mkuu wa nchi na kuleta ukanda. Maana hata mada yenyewe ni ya hovyo tu. Mwacheni Magufuli apumzike mnasambaza sumu mbaya katika taifa. #Mhe. Rais Dk. Samia alishasema tangu anaapishwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.🙏🙏🙏
 
Napiga miluzi.
Ni Maraisi wawili Tanzania ndio walioona mbali, hususan, kutumia na kuongeza nguvu kwa Vijana ambao ndio Taifa la Kesho kwa kutoa elimu,tena buree, kwa kuwachagua katika nyadhifa ambazo zilikuwa zikionekana ni za wazee...unganisha nukta Wazee walifanya nini kwa kuwatumia vijana wao...wa damu!! Usaliti ni usaliti ikiwa imejazwa na wivu!

Maraisi hao ni Hayati Raisi J.P.M na Raisi mstaafu, Hayati J.K Nyerere. Waliokuwa na Dira ya Nchi pamoja na Dira ya Afrika kwa ujumla....Halipingiki hili!

Mengine yoote, yakuwa, alikuwa ni mkristo, kwamba aliuwa(haina uthibitisho) n.k n.k hazileti mantiki yeyote...Binadamu ni Binadamu...

....lakini, kwa uhakika kabisa, bao la mkono ndilo pekee alilojua kwamba wao ndio wanajua, hakika kwa kile ambacho alikiamini...na ni, Nguvu za Nchi au Nguvu na uheshimu wa "Sovereign state" Nguvu za Vijana, Nguvu za Elimu ndizo nguzo za kutupaisha huko tuendako basi alikuwa tayari kufanya hilo pamoja na yakuwa Hawa wawili NNauye na J.Makamba tena kwa ushauri wao, kwamba..".there is light at the end of the tunnel " No pun Intended basi dira hiyo inaweza kufikiwa na kusimikwa...na yatatimia

Kifupi hawakuogopa kama viranja wake hawakuoogopa kama binadamu wenzake....malizia mwenyewe lakini hii ni sahihi, Vinginevyo!

Walimsaliti, sasa wanambeza,....mmoja alivunjiwa mti wa korosho na mwingine alikuwa na uchungu wa baba. Mic drop

R.I.P J.P.M

Amani iwafikie.
 
Ben Saanane..Roma...Tundu Lissu yaliwatokea yalikuwa ya kufikirika
We jamaa mkongwe hapa ila mindset zako km muuza magazeti wa kule sumbawanga.
Hao unaowataja Magu anahusiana nao vipi.
Yaani kweli katika hali ilivyo hiyo nchi kabisa kiongozi mwenye dhamana kubwa hivyo akaangaishane na viroboto sijui kwa lipi.
 
Kumbe Tundu Lissu ni kiroboto na upigwaji wake risasi hauhusiki Kwa serikali wala mkuu wa serikali aliekuwepo?....oohho nimekupata
 
Sioni sababu kwanini unawasifu hao waliojipambanua kama walafi wa madaraka, wanaodhani wao na familia zao ndio wenye hati miliki ya kuwa viongozi serikalini hata wakikosea, Magufulu atleast aliwaonesha wao sio kitu.

Kitendo cha Makamba kumchora Magufuli kwa vikatuni twitter kisa alikosa "shavu" alilotarajia kwa sababu anaamini alimuwezesha Magufuli kuingia ikulu, ule ulikuwa ni ubinafsi uliopitiliza.

Na ndio maana kwa sababu ya ubinafsi huo, sasa amejaa kiburi akijiona yeye ndie mwenye nchi, asieguswa hata akiharibu, anavimba kichwa kwa sababu ya kuongozwa na mjinga kwenye serikali yake, asiyejua kupima performance ya watendaji wake sasa anajiona genious.

Kumbe kwa Magufuli aliyekuwa na standard zake, alimuona zero kule wizara ya Muungano aliyompa ndio maana akamtumbua, lakini yeye kwa ujinga wake akadhani ameonewa, hili ndio tatizo la mitoto inayodekezwa na wazazi.
....waeleze umegusa kule kwenye ukweli.
...firigisa tu.
 
Kama kuna ushahidi wa kutosha kwamba ali-hack kura za EL basi kuna haja gani ya kumjadili mwizi aliyehatarisha usalama wa taifa na anayestahili muda huu kuwa Ukonga?
Waulize J .Makamba na Nape wakati anapiga pushapu wao walikuwa mitandaoni....Hawa ndio walikuwa wanahatarisha huo usalama kama sio kuleta machafuko ya kikatiba. Kuna utamu wa kuwa kijana pamoja na ujinga....hawa watakuja jibu haya baadae.

Kweli ukonga inawafaa hawa. au?
 
Jamii forum hayo maua yenu yanazingua. Mpaka pombe zangu zimekata kichwani nikikodoa kuangalia kama ni kweli maua? Au Nina matatizo ya macho?
 
Back
Top Bottom