Sioni sababu kwanini unawasifu hao waliojipambanua kama walafi wa madaraka, wanaodhani wao na familia zao ndio wenye hati miliki ya kuwa viongozi serikalini hata wakikosea, Magufulu atleast aliwaonesha wao sio kitu.
Kitendo cha Makamba kumchora Magufuli kwa vikatuni twitter kisa alikosa "shavu" alilotarajia kwa sababu anaamini alimuwezesha Magufuli kuingia ikulu, ule ulikuwa ni ubinafsi uliopitiliza.
Na ndio maana kwa sababu ya ubinafsi huo, sasa amejaa kiburi akijiona yeye ndie mwenye nchi, asieguswa hata akiharibu, anavimba kichwa kwa sababu ya kuongozwa na mjinga kwenye serikali yake, asiyejua kupima performance ya watendaji wake sasa anajiona genious.
Kumbe kwa Magufuli aliyekuwa na standard zake, alimuona zero kule wizara ya Muungano aliyompa ndio maana akamtumbua, lakini yeye kwa ujinga wake akadhani ameonewa, hili ndio tatizo la mitoto inayodekezwa na wazazi.