Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

Hao wanyonge ni mkusanyiko wa watu wa Chato, wapumbavu, wale aliowapa laini za kutengeneza fedha na wasio na kisomo
 
Wanyonge ndio akina nani?
 
[emoji419]
[emoji116]
 
Atakua ndio wale mbayuwayu wakiitwa wanyonge wanapiga makofi, wakiambiwa nchi yao ni dona kantri wanakenua. Yaani ni zwazwa flani hivi.
Jamaa sijui alikuwa mtu wa namna gani! Alianza kugawa Hela mfano kule Kinondoni kwa bwana Mashaushi,akagawa pipi na maandazi na akaenda bandarini kugawa mapapai,baadaye akayasingizia kwamba yana Corona.
 
Kwani Muasisi wa Taifa, kina B Mkapa, Nauye, Sokoine, Maalim Seif, Kolimba ongeza na wewe si walikuwa viongozi mbona hawasemwi popote imekuwa ya Magu Jiwe tuu! Tafakari aliwatendaje waTanzania ndio maana hata aliyemrithi anapangua gear box japo kwingineko anaharibu kwa kuwachekea!
"Ukicheka na nyani shambani utavuna mabua".

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Nimeongelea makundi yaliyosemwa kumpinga marehemu na ni desturi ya kifo sie waliobaki kuwa na radhi juu ya waliokufa badala ya kuchukua nafasi ya Mungu.

Mabaya yaachwe tutafute namna ya kuyaboresha yale mazuri aliyoyaacha kwani kama ni ubaya hayupo aliye malaika na maandiko yanatuonya kufanya hivyo
 
Anachukiwa na watu wote, na wanyonge wanamchukia zaidi
 
kama wanyonge wanampenda basi alitumia ignorance yao kuwapiga propaganda
 
Kwahiyo hao wanyonge hawana chama?
 
We mpumbavu wanyonge ndio akina nani?
 
Hao wote ni wezi wa kalamu hivyo sio rahisi kumpenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…