Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Okay! MUNGU alitangulia kuumba Malaika ili wamsifu na kuabudu.
Kupitia Andiko Mkuu..
Kwamba Walianza kuumbwa Malaika Baadae Mungu..
Biblia Inaanza na neno Bereshit' (Hapo Mwanzo w kitu chochote)..

Means hakukuwa na Kitu chochote na Ndo Maana Roho ya Mungu Ilitulia Juu ya Vilindi vya Maji
 
But wenyr Maandiko ya Biblia Wanasema Ni stiry za kweli..
Maana Biblia Imetoka kwao na Wana Talmud na Zohar wayahudi wanasema kuwa Vitabu vyao vyote Viko Sahihi ila Biblia ya wakristo haiko sahihi
 
"Maana Roho ya Mungu Ilitulia Juu ya Vilindi vya Maji"
👆
Huo mstari huwa unanipa nguvu sana ya pale ninapoutimia kwenye Maombi.
Unaonesha Ukuu wa MUNGU
 
Somehow this sound convincing but bado kuna mahala nashawishika kuamini kuna tafsiri haziko sawa sawa, linguistic complication, na hiz ni relative concepts kutokana na uelewa lakini pia language translation.

Mfano hii phrase ya
Ufunuo wa Yohana 2:28
"Nami nitampa ile nyota ya asubuhi."
"And I will give him the morning star"

Wewe umeitafsiri as "they will become the morning star" wakat wengine tutabaki na direct translation ya "they will be given..."

"to be given" doesnt specifically mean "to become"
 
But wenyr Maandiko ya Biblia Wanasema Ni stiry za kweli..
Maana Biblia Imetoka kwao na Wana Talmud na Zohar wayahudi wanasema kuwa Vitabu vyao vyote Viko Sahihi ila Biblia ya wakristo haiko sahihi
Yah ingawa ndio hivyo hawawez kututhibitishia kwa facts tuamini na sisi pia haruwez kuwakatalia kwa vithibitisho inabaki kila mtu na kile anachokiamini
 
Nimedanganya nini?.
Nadhani tujifunze kusoma vitu kwa ufahamu na asili yake.
Hato mabano uliyoweka si maneno ya Quran.
Mimi nimesoma Quran yenyewe kavu,imesema" aliyekuwa adui wa Jibril ndiye aliyeishusha quran".
Wewe umeleta andiko na kupachika maneno.
So,hadi sasa hujaonyesha kile unakiita uongo.
 
Sijasema They Will become The morning star Nimesema Watapewa Morning star..

Lets assume kitu..
Hivi kwa mfano Nikikupa Mwanga Nitasema kuwa umekuwa mwanga au Umemulikiwa na mwanga niliokupa??

If He will give them Morning star means The Morning star(Lucifer) isn't a Person its Something like Cheo hivi na Sio Mtu kama yaani Becoming..
Sijui kama unanielewa Mtumishi
 
Yah ingawa ndio hivyo hawawez kututhibitishia kwa facts tuamini na sisi pia haruwez kuwakatalia kwa vithibitisho inabaki kila mtu na kile anachokiamini
Umewahi Kuwasikiliza?
Mimi nimewahi kuwa Judaism So I know Jews Na wanachokiamini na Wanawachukia Sana wakristo na wanawatupia lawama fulani na Wanawachukia zaidi Waislamu kwa Kuleta Miungu ya Kigeni...
 
Kuna mahala kwenye post za nyuma uliiweke ika sound hivyo kwa wale wanaookolewa.
 
Umewahi Kuwasikiliza?
Mimi nimewahi kuwa Judaism So I know Jews Na wanachokiamini na Wanawachukia Sana wakristo na wanawatupia lawama fulani na Wanawachukia zaidi Waislamu kwa Kuleta Miungu ya Kigeni...
Hao watu ni watata tu kwaasili hata sio watu wa kuwachukulia serious.. sasa mtu ambaye mpaka leo anasema anasubiri ujio wa Masia huyo ni mzima kweli?
Sijawajui sana kwakwel hawa watu, hata dini yako siifaham sana
 
Lakini kwanini uwaone kuwa wana shida kuamini kwamba Masiah bado hajaja?
Unamuamini Joseph smith na Mormons??
Au unamuamini Mtume Muhamadi??
Na kama huwaamini kwanini??

Tuanze na hapo
 
Lakini kwanini uwaone kuwa wana shida kuamini kwamba Masiah bado hajaja?
Kwa kutazama prophecy walikua na kila sababu ya kuamin ndiye waliyemngoja.
Unamuamini Joseph smith na Mormons??
Au unamuamini Mtume Muhamadi??
Na kama huwaamini kwanini??

Tuanze na hapo
I dont even know them. I keep my focus to the one n only prophecised! 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…