Uchaguzi 2020 Kwanini Marais wanaoangalia maslahi ya nchi zao hawatakiwi na Marekani?

Mbona Rais wa Misri Sisi ni dikteta na muuaji mkubwa lakini mpaka leo anapewa misaada na heshima zote na Marekani.
Hawa Marekani ni wahuni wakubwa
 
Wazungu kwa ujumla wao hawampendi kiongozi mweusi mdadisi na mwenye kujiamini kwamba yeye ni tajiri na anayo haki ya maisha mazuri.

Mungu hawezi kukupa rasilimali alizotupa halafu tuendelee kuishi kwa kujikomba kwa mataifa mengine.
Upo sahihi japo pia si wazungu wote.
Tatizo ni sisi viongozi weusi tukipata madaraka akili zetu huehuka na kujiona miungu.
Mtu anapost kibonzo cha happy birthday - anaswekwa ndani.
Mtu akikosoa jambo- jela
Mkosoaji anawindwa kuliko jambazi. Watu wanaishi kwa hofu nchini mwao.

Kweli tulinde mali zetu lakini tusinyanyasane.
Tuheshimu katiba na sheria zetu.

(Hapo ukute hata majibu haya tu tayari naanza kuwindwa)
 
Kama yupi kwa mfano
 
Vipi unakichinjio cha ZEC?? Kama huna unawashwa nini sasa!
 
Hana Cha uzalendo wowote,
Utaki wapinzani wafsnye kampeni,unawaksmsta,unawapiga msbomu,Kama ni mzalendo uoga wa nini,ruhusu demokrasia tuone Umaarufu wako.
Huyu ni mwizi Kama wengine,mtoto wa dada yupo hazina,shemeji kapewa Tenda ya airport,
Mtoto wake ananunua plot kwa 6billioni.
 

Huyo wa kwanza upande wa kushoto unamjua ni waziri wa serikali ya inchi gani?
 

Attachments

  • images.jpeg.jpg
    41.4 KB · Views: 1
They coded name as spam hapo wanamtafutia tu Lisu kura ya huruma.
 
Hakuna kiumbe kisichokuwa na kasoro na uhakika baada ya uchaguzi mkuu mheshimiwa Rais Magufuli ataangalia hayo makosa. But still Rais Magufuli anafaa kuendelea kuongoza kwa miaka mingine 5
 
Kuangalia maslahi ya nchi ni hadi uue raia wa nchi yako na kunywa damu yao?

Marais wote wajinga ndo huwa wanakimbilia kudai wanalinda maslahi ya nchi zao... inajulikana wazi vichaa kama hawa wakiachwa bila kudhibitwa wanaweza kufika mahali wakaanza kuua watu kwa halaiki, Sasa waachwe tu waue?
 
Umeleta uzi wenye afya, ndiyo maana wenye akili tumetulia tu na kumuacha kibaraka ajitape maneno yote
 
Watu wapoteze maisha, wengine wapigwe risasi, wengine wapotee wasijulikane walipo, halafu wewe unaleta habari ya rasilimali.

Mbona hizo rasilimali mzungu amekuwa akichukua miaka yote kwa mikataba mibovu mliyosaini nao, amka usingizini, wachawi ni nyie wenyewe.
 
Katika vitu wanavyo kosea Mabeberu na vibaraka wao ni kujaribu ku mtisha kwa namna yoyote JPM. Kumtishia JPM ni kupiga rangi upepo,JPM ni chuma Cha pua.
Unamaanisha JPM huyu huyu ambae serikali yake ilikurupuka Jumapili na kutoa Press Conference kumkana Bashite aliyeanza kupambana na ushoga Dar es salaam, au unamzungumzia JPM yupi hasa?!

Au hapa napo inabidi ukumbushwe Serikali ya JPM ilifikia hatua hiyo ya kuufyata na kuwaacha mashoga waendelee kula raha zao baada ya hao hao Mabeberu kutoa tamko dhidi ya kampeni hiyo ya Bashite?!


Yaani Wafuasi wa Jiwe na Lumumba ni kama watoto ndani ya nyumba wanaodhani Baba yao ni Superman flani hivi anayeweza kupambana na yeyote na kumshinda!!!
 
Huna akili pumbavu wewe,upo Chadema na shule hujaenda,pumbavu kabisa,utakuwa shoga wewe.
Hujui kifungu 154(1)(c) kinazuia ushoga. Alafu serikali itoe tangazo kama hilo?
Pumbavu kama wewe hutakiwi Chadema.
Dadangu mbona unaibuka from nowhere na kuanza kumtusi mtu ambae hata kukufahamu hakufahamu?!

Ni kwamba huyo niliyemjibu ni mume wako kwahiyo imekuuma kuona mumeo anapewa dozi, au una stress za kuachika na kwahiyo unaamua kudandia kila mwanaume anayepita mbele yako?!

Stop it bitch, you're not and you'll never be my type kwahiyo acha shobo, kima wewe!!!
 
Huna lolote Ulijaa chuki tu Na Kamwe Chukizenu hazita fanikiwa
Mungu kamwe hashindwi na Mijitu yenye Chuki na Husda
Magufuli Yupo mpaka 2025 na Tanzania ipo salama Chini yake
 
Hakuna kiumbe kisichokuwa na kasoro na uhakika baada ya uchaguzi mkuu mheshimiwa Rais Magufuli ataangalia hayo makosa. But still Rais Magufuli anafaa kuendelea kuongoza kwa miaka mingine 5
Kama kweli ataweza kuyarekebisha hayo atakuwa ni best President.
Japo alitakiwa aanze kwenye mchakato huu wa uchaguzi, hawa wateule wake wanavurunda sana mchakato wa uchaguzi na yeye ndiye rais , nadhani anaweza fanya jambo kutuliza munkali wa maofisa wa tume ya uchaguzi.
Pamoja tuistawishe amani ya nchi yetu.
 
Marekani apatani na madikteta nchi zote hizo ni za kidikteta.Madikteta uleta Vita duniani,Vita uzalishaji wakimbizi,na kuipa dunia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi ikiwemo USA.
Mzee wa visasi ni uncivilized and uneducated thus utumia nguvu badala ya akili hata kwenye reasoning issues.
 
Marekani apatani na madikteta nchi zote hizo ni za kidikteta.Madikteta uleta Vita duniani,Vita uzalishaji wakimbizi,na kuipa dunia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi ikiwemo USA.

Mzee wa visasi ni uncivilized and uneducated thus utumia nguvu badala ya akili hata kwenye reasoning issues.
 
Marekani apatani na madikteta nchi zote hizo ni za kidikteta.Madikteta uleta Vita duniani,Vita uzalishaji wakimbizi,na kuipa dunia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi ikiwemo USA.

Mzee wa visasi ni uncivilized and uneducated thus utumia nguvu badala ya akili hata kwenye reasoning issues.
 
Hujui hata Rais Donald Trump wa Marekani ni Dictator pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…