Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
- Thread starter
- #21
Mbona Rais wa Misri Sisi ni dikteta na muuaji mkubwa lakini mpaka leo anapewa misaada na heshima zote na Marekani.Uko sahihi kwa asilimia 100! Naweka mkazo pale unaposema Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa kwani Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi. Tumeona barua aliyoandika mwanasheria wa Lissu akimuonya JPM kwa maneno makali kama vile anamuonya mtoto wake. Umetoa mifano ya Venezuela na Bolivia ambazo zilikuwa zikijitutumua kulinda uchumi wao. Vivyo hivyo hata kwa Iraq na Libya. Tukaambiwa viongozi wao ni madikteta. Tunajionea wenyewe 'demokrasia' iliyofuatia kuuawa kwa Saddam Hussein na Moamar Gaddafi. Watanzania tujifunze kutokana na historia hiyo.
Hawa Marekani ni wahuni wakubwa