Kwanini Marais wengi Afrika Magharibi wanaoa wanawake wazungu?

Ajabu, kihistoria, watu wa Afrika Magharibi walikuwa wanaongoza kwa kuwachukia Wazungu.

Kuna muasisi wa taifa fulani la Afrika Magharibi (sikumbuki nchi na jina) alioa Mzungu ilihali hakuwapenda.

Jibu lake ni kwamba alitaka kujua ubaya wa Wazungu hadi kwenye uchi wao namna walivyo.
Alikua anafanya tafiti. Safi
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
Kwa sababu na wao wanajihisi ni Wazungu kupitia tamaduni za hasa Ufaransa,kwa namna nyingine ni kuwa uraia pacha unachangia kiasi kikubwa cha muingiliano wa Utamaduni na Wazungu.
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information

Donga:

Hivi maana ya uzalendo ni nini, na inapimwa vipi hasa. Utasemaje kuhusu mwasisi wa Frelimo Eduardo Mondlane ambaye alimuoa Janet Johnson (Mmarekani) na kaunzisha Frelimo, Vipi watu kama akina Agostinno Neto na mkewe Maria Da Silva katika kupigania uhuru wa Angola, Utasemaje pia Jose Dos Santos na mkewe wa kwanza Tatiana Kukanova waliyekuta vijana Urusi......List iko ndefu mno.

Sasa kama uzalendo unapimwa kwa kuoa nchini kwenu, na maybe kabila lako, utasemaje kuhusu Mobutu na wake zake mapacha...Bobi Kadawa na Kosia Kadawa....ambao walimsaidia kuipora Zaire na kuishi kifahari Switzerland, France na kuwa na majumba mengi ulaya? Kama uzalendo tungeuona kwa wake za Mobutu! Utasemaje kuhusu Mugabe, unafahamu tamaa ya mali ya Grace Mugabe, mpaka akataka kuwa Rais! Ndio uzalendo unaoutaka? Au Komredi Zuma, alikuwa na wake wanne, lakini aliwapora wenzake (ANC) Mpaka wakamtaka ajiuzulu Urais.

Donga panua mtazamo wako wa kufikiri kuhusi maana ya Uzalendo! Nchi za Kiafrica zina miaka kama 70 toka tujipatie Uhuru, na Marais wengi naamini walioa nyumbani, kiko wapi leo! Sasa kijana wa leo bado maana ya Uzalendo umeifunga katika maswala ya kuoa ina maana safari yetu bado iko mbali mno mno!

Wazimbabwe mpaka leo wanamkumbuka Sally Mugambe, mke wa kwanza wa Mugabe, alikua kutoka Ghana, alikuwa Mzalendo kuliko Grace mke wa nyumbani.......
 
Inferiority complex
 
Ni huko Francofone,wametumwa hao.Rais anapewa mjengo huko na mke ila mikataba yote aseme YES.
Kesho wanalamba kila kitu toka huko.
 
Uzalendo ni kuipenda asili yako na kutokuwa tiyari kuisaliti kwa manufaa yoyote yale yatakayoweza kuhatarisha asilia hiyo

Kuhusu MOBUTU ...alikuwa kibaraka wa west kwanini nasema hivi ni kwa sababu ya mtindo na mfumo mzima wa maisha yake binafsi na yakiuongozi,Ni yeye ndiye aliyehusika na njama ya kumuua PATRICK LUMUMBA( Ambaye alikuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya Zaire).....ili mfumo wa kibepari kuiba pesa nchini na kwenda kununua mijumba ya kifahari ulaya huku wananchi wake wakiteseka

Na ikumbukwe mobutu aliwekwa madarakani kwa msaada wa CIA

Kuhusu FRELIMO EDUARDO kila mtu anajuwa kazi yake ilikuwa njema hakuna asiyeijua na Alikuwa against wazungu na alifanikiwa kuoa mke mwenye asili ya kimarekani ...Lakini je wajua parcel bomb iliyomripukia mkononi unajua iliripuka nyumbani kwa rafiki yake wa kimarekani alikokwenda kumtembelea.....Connect dots sasa
 
Kiufupi history inatudanganya sana mpaka hapa hakuna nchi Afrika imewahi pewa uhuru wake
Na kama zipo hazizidi hata tatu
 
Uzalendo ni kuipenda asili yako na kutokuwa tiyari kuisaliti kwa manufaa yoyote yale yatakayoweza kuhatarisha asilia hiyo

Kuhusu MOBUTU ...alikuwa kibaraka wa west kwanini nasema hivi ni kwa sababu ya mtindo na mfumo mzima wa maisha yake binafsi na yakiuongozi,Ni yeye ndiye aliyehusika na njama ya kumuua PATRICK LUMUMBA( Ambaye alikuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya Zaire).....ili mfumo wa kibepari kuiba pesa nchini na kwenda kununua mijumba ya kifahari ulaya huku wananchi wake wakiteseka

Na ikumbukwe mobutu aliwekwa madarakani kwa msaada wa CIA

Kuhusu FRELIMO EDUARDO kila mtu anajuwa kazi yake ilikuwa njema hakuna asiyeijua na Alikuwa against wazungu na alifanikiwa kuoa mke mwenye asili ya kimarekani ...Lakini je wajua parcel bomb iliyomripukia mkononi unajua iliripuka nyumbani kwa rafiki yake wa kimarekani alikokwenda kumtembelea.....Connect dots sasa

Donga:

Kumbe una majibu:

"Uzalendo ni kuipenda asili yako na kutokuwa tiyari kuisaliti kwa manufaa yoyote yale yatakayoweza kuhatarisha asilia hiyo"
Mobutu, Zuma, Mugabe na Madikteta wengi Africa wamekua na uzalendo upi Hasa? Hivyo kumbe unaweza kuoa mke Mwafrica na ukaweza kuisaliti nchi yako....Kama alivyofanya Mobutu na Mugabe kunaifanya hoja kuwa obsolete! Haina Mshiko......! Unajua Kwame Nkuruma alioa Mwarabu......alikosa uzalendo? Wako kina Teodora Obiang Nguema na mke wake......walafi wakubwa....Mtoto wake ni mtu wa matanuzi makubwa......Utasemeje....Utasemaje kuhusu utajiri wa Mama Ngina Kenyatta!

Mama Ngina, in Africa billionaires list:

Nearing her ninth decade Ngina Kenyatta is a billionaire with a portfolio which includes investments, banking, media and the dairy industry. “Mama Kenyatta” has a 24.91% share in the Commercial Bank of Africa (CBA) – she also owns shares in Media Max, a media company that owns K24 TV, Kameme Radio, and The People newspaper.

Hawa mafisadi Tanzania au dhana tu kuwa fisadi Tanzania imeletwa kwa kuoa Wazungu? Huna hoja kabisa jamaa yangu.

Hata Mondlane aliichukua Parcel iliyomuua ofisini, na ilitumwa kwa njia ya posta.....Huwezi kusema ni mkewe ndiye aliyemuua.....ingweza kumuulia popote alipofungulia parcel hiyo!
 
Elewa kitu uzalendo ni sio rangi ni asilia ya ndani kwa mtu
Mfano..baadhi unaowataja km kina mobutu sio kabisa wazalendo ni vibaraka waliopandikizwa wenye asili ya kiafrica

Jiulize rais yupi ulaya aliwahi kuoa muafrica?
 
Donga:

Kumbe una majibu:

"Uzalendo ni kuipenda asili yako na kutokuwa tiyari kuisaliti kwa manufaa yoyote yale yatakayoweza kuhatarisha asilia hiyo"
Mobutu, Zuma, Mugabe na Madikteta wengi Africa wamekua na uzalendo upi Hasa? Hivyo kumbe unaweza kuoa mke Mwafrica na ukaweza kuisaliti nchi yako....Kama alivyofanya Mobutu na Mugabe kunaifanya hoja kuwa obsolete! Haina Mshiko......! Unajua Kwame Nkuruma alioa Mwarabu......alikosa uzalendo? Wako kina Teodora Obiang Nguema na mke wake......walafi wakubwa....Mtoto wake ni mtu wa matanuzi makubwa......Utasemeje....Utasemaje kuhusu utajiri wa Mama Ngina Kenyatta!

Mama Ngina, in Africa billionaires list:

Nearing her ninth decade Ngina Kenyatta is a billionaire with a portfolio which includes investments, banking, media and the dairy industry. “Mama Kenyatta” has a 24.91% share in the Commercial Bank of Africa (CBA) – she also owns shares in Media Max, a media company that owns K24 TV, Kameme Radio, and The People newspaper.

Hawa mafisadi Tanzania au dhana tu kuwa fisadi Tanzania imeletwa kwa kuoa Wazungu? Huna hoja kabisa jamaa yangu.

Hata Mondlane aliichukua Parcel iliyomuua ofisini, na ilitumwa kwa njia ya posta.....Huwezi kusema ni mkewe ndiye aliyemuua.....ingweza kumuulia popote alipofungulia parcel hiyo!

Angalia mafisadi wa Africa......Huyu mkewe si mzungu......lakini angalia anavyokomba nchi yake.....

French trial reveals vast wealth of Equatorial Guinean president's son​

Teodorin Obiang, accused of plundering $115m, owns luxury properties, yachts, cars – and Michael Jackson’s crystal glove
The son of Equatorial Guinea’s leader is due to go on trial for corruption and money laundering in a landmark case in France.

Obiang, the 47-year-old vice-president of the oil-rich but impoverished African country, faces an array of legal cases across Europe as authorities on the continent investigate the sources of his vast wealth and uncover new and even more extravagant ways that he spent some of it.

US officials have already forced Obiang to forfeit property after accusing him of “shamelessly” looting his country. In a settlement, Obiang agreed to hand over more than $30m (£24.5m) worth of properties, including a vast villa in Malibu, California, and a dozen luxury cars.

Obiang, however, managed to keep his $38m private jet and collection of Michael Jackson memorabilia, which includes a crystal-studded glove.

1708214054769.png
 
View attachment 2907473
Ndio maana nimekwambia hao wengi ni vibaraka
So ili wawamonitor vizuri huwekewa mke mzungu

Akienda against wanamla kichwa ...wazungu wanawaogopa sana waafrica wenye uzalendo na maono

Refer mandela, lumumba,frelimo n.k
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
Nchi za Africa magharibi kuna muingiliano mkubwa Kati Yao na wazungu. Watu wa Africa magharibi wameoa wazungu Sana compared na sehemu nyingine za Africa.
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
Wanaoa kabla au baada ya kupata urais, ni muhimu tukajua
 
Back
Top Bottom