Kwanini Marais wengi Afrika Magharibi wanaoa wanawake wazungu?

Donga:

Kumbe una majibu:

"Uzalendo ni kuipenda asili yako na kutokuwa tiyari kuisaliti kwa manufaa yoyote yale yatakayoweza kuhatarisha asilia hiyo"
Mobutu, Zuma, Mugabe na Madikteta wengi Africa wamekua na uzalendo upi Hasa? Hivyo kumbe unaweza kuoa mke Mwafrica na ukaweza kuisaliti nchi yako....Kama alivyofanya Mobutu na Mugabe kunaifanya hoja kuwa obsolete! Haina Mshiko......! Unajua Kwame Nkuruma alioa Mwarabu......alikosa uzalendo? Wako kina Teodora Obiang Nguema na mke wake......walafi wakubwa....Mtoto wake ni mtu wa matanuzi makubwa......Utasemeje....Utasemaje kuhusu utajiri wa Mama Ngina Kenyatta!

Mama Ngina, in Africa billionaires list:

Nearing her ninth decade Ngina Kenyatta is a billionaire with a portfolio which includes investments, banking, media and the dairy industry. “Mama Kenyatta” has a 24.91% share in the Commercial Bank of Africa (CBA) – she also owns shares in Media Max, a media company that owns K24 TV, Kameme Radio, and The People newspaper.

Hawa mafisadi Tanzania au dhana tu kuwa fisadi Tanzania imeletwa kwa kuoa Wazungu? Huna hoja kabisa jamaa yangu.

Hata Mondlane aliichukua Parcel iliyomuua ofisini, na ilitumwa kwa njia ya posta.....Huwezi kusema ni mkewe ndiye aliyemuua.....ingweza kumuulia popote alipofungulia parcel hiyo!
CC Mwalimu
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
Hiyo ni colonial mentality hasa assimilation policy ya Mkoloni mfaransa.Wanaglorify white supremacy ili nao wafanane na wazungu.
 
Ladies mkiona kaka zetu wazuri hapa bongo wanazingua msiupe moyo maumivu, vuka kabisa bara maana kazi ya moyo ni kusukuma damu sio kuutesa.
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
Assimilation policy effects
 
Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu
Walikuwa blackmailed ili wawaoe hao wazungu ambao ni maspy wa nchi hizo za Ulaya magharibi...kwa ajili ya kumonitor nyendo za Marais ama viongozi wa nchi hizo lengo wasije kuhathiri interests za nchi za Ulaya Magharibi.
 
Hayo ni madhara ya sera za kikoloni. Hasa ile waliyoitumia wafaransa. Ndiyo maana hilo linaonekana ktk makoloni ya kifaransa
 
sasa unapokuwa raisi unahitaji mke msomi mwenye exposure ya kimataifa
Mama Salma Kikwee na mama Janeth Magufuli, walimu wa mwandiko darasa la 3 shule ya msingi Mbuyuni wana exposure ya kimataifa?
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
1. Umesema ''marais wengi wa Afrika Magharibi'' wakati umetoa mfano wa marais wawili tu.
2. Kuoa mwanamke wa kigeni siyo kukosa uzalendo na hii inaonyesha hujui maana ya uzalendo.
 
Kuna senegal na taifa jingine nimesahau
 
Walikuwa blackmailed ili wawaoe hao wazungu ambao ni maspy wa nchi hizo za Ulaya magharibi...kwa ajili ya kumonitor nyendo za Marais ama viongozi wa nchi hizo lengo wasije kuhathiri interests za nchi za Ulaya Magharibi.
Hili jibu linaweza kuwa ndio jibu bora kabisa
 
Wanaoa kabla au baada ya kupata urais, ni muhimu tukajua
Hata km bado ila kwenye siasa hakuna cha bahati mbaya kila tukio asilimia kubwa ni planned

Ni rahisi kujua mtu flan atafika juu nyazifa flan kutokana na mtindo wa siasa zake na kukubalika

Ndio maana mtu anaweza kujiattach for future wife
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
Ali Bongo wa Gabon naye wife mzungu
 
Back
Top Bottom