Kwanini Marais wengi Afrika Magharibi wanaoa wanawake wazungu?

Kwanini Marais wengi Afrika Magharibi wanaoa wanawake wazungu?

Mfaransa alifanikiwa Sana kwenye assimilation policy
Mimi naona mreno ndo alifanikiwa sana kuliko mfaransa japo alitawala mataifa machache Africa Cape Verde, Guinea Bissau, Angola na Msimbiji.

Ukiangalia hayo mataifa ureno ametawala yani hadi majina yao yote ni ya kireno ukiachia mbali lugha.
 
Afrika ya Magharibi wengi wamefuata ile dini ya mnyaanzi ambayo mwanamke anatunzwa ndani no school sasa unapokuwa raisi unahitaji mke msomi mwenye exposure ya kimataifa
Wanawaoa Makafr
 
Mimi naona mreno ndo alifanikiwa sana kuliko mfaransa japo alitawala mataifa machache Africa Guinea Bissau, Angola na Msimbiji.

Ukuangalia hayo mataifa ureno ametawala yani hadi majina yao yote ni ya kireno ukiachia mbali lugha.
Even cape verde ni mreno si uliona pisi zao zilivo fire Afcon

Halaf nimegundua haya mambo mpaka kwenye mpira
Capeverde wachezaji wengi wadogo wanaenda academy za ureno

Pia congo ivo ivo ubelijiji

The same africa magharibi wengi wanaenda ufaransa

Hii pia nahisi ilimpa sammata urahisi kutoka congo mpaka genk pia kwa navohisi
 
Alikutana na mkewe Slyvia Bongo akiwa sio Rais.
Kaka marais wengi haiwagi accidentally kuwa marais ni gemu inayokuwa planned muda mrefu na wanaoplan mle ndani ya deepstate kunakuwa na mapandiki ya kimagharibi

Anaweza kuwa walikutana akiwa kwenye nyazifa za juu serikalini...ila sio akiwa empty set

Wengine pia wakienda masomoni schoralship kule ndio hushawishiwa kuwa vibaraka na kuoa wazungu wakirudi huanza malengo yao
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
Wazungu siyo kama Waarabu ama Wahindi ambao wamejazana TZ na ndo wametufanya tuwe wajinga kama tulivo.

Kwa nchi zilizokuwa Makoloni ya Ufaransa ama Belgium ama Ureno, kuna raia wengi wa kizungu ambao kama mnaelewana lugha ni rahisi tu kuanzisha mahusiano na hatimaye ndoa unlike Waarabu ama Wahindi.

Pia middle class katika nchi hizi either wamesoma Ulaya au wana uraia wa Ufaransa, ni rahisi kukutana na mchuchu wa kizungu na kuoa
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
Nadhani hii makala haijakamilika, heading inasema Marais wengi, na humu wametajwa wawili tu, tena kwa kutumia neno 'inasadikika'.

Ni muhimu baada ya kupata hoja, basi ukajipa muda wa kuiandaa kwa kukusanya taarifa za uhakika kabla ya kuwasilisha hapa jukwaani.

Inapendeza wakati wa kujenga hoja ukawa na majina ya Marais na hao wake zao za Kizungu, na nchi za Wazungu walikotoka.

Pia, idadi ya Marais wenye wake wa Kizungu na wale wasio na wake wa Kizungu. Kisha uweke maoni yako kwa kufungua mjadala.

Ova
 
Walikuwa blackmailed ili wawaoe hao wazungu ambao ni maspy wa nchi hizo za Ulaya magharibi...kwa ajili ya kumonitor nyendo za Marais ama viongozi wa nchi hizo lengo wasije kuhathiri interests za nchi za Ulaya Magharibi.
Walifanya nini kilicho sababisha wakawa "blackmailed "?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Uzalendo hadi kwenye mapenzi?

Swali la kujiuliza wanawaoa wakiwa washakuwa marais?
Wananchi wa Africa Magharibi asilimia kubwa wanapenda kwenda Ufaransa na ufaransa kwao ni kama Abiria wanatoka Mbezi mwisho kwenda Kariakoo kwa kupanda mwendokasi, Sisi Watanzania hatuna utamaduni wa kwenda Ulaya na Mtanzania akienda Ulaya ana pelekwa na Serikali.
 
Ni kweli. West Africa na hasa nchi zilizotawaliwa na Mfaransa zina marais wanaopenda sana kuoa Wazungu. Senegal wamewahi kuwa na marais 4 na wawili kati yao walikuwa na wake wazungu. Inawezekana ni mitego ya Wafaransa ili kuwatawala zaidi hawa jamaa zetu wa Francophone
'Assimilation policy' ya Ufaransa kwa makoloni yake bado ina nguvu
 
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu

Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua Rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa

Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona Rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu.

Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu.

Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information.
Kuna uwezekano walipata elimu na pengine walisoma nao katika nchi za hao wake zao wakati wa ujana wao na hatimae kuonana wakati huo.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo mkuu,nipo na mutu ya kinshasa
Madam teacher Mimi sio wa kunifanyia hivyo umeona nilivyoonyesha interest since some days ago!

Ok sawa basi nifanyie connection mujarabu huko mbeya ili nije nichukue jiko . Ni imani yangu kuwa hutoniangusha and likely ukawa part of the established family/ family friend.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwako 🙏🙏
 
Back
Top Bottom