Kwanini Marais wengi Afrika Magharibi wanaoa wanawake wazungu?

CC Mwalimu
 
Hiyo ni colonial mentality hasa assimilation policy ya Mkoloni mfaransa.Wanaglorify white supremacy ili nao wafanane na wazungu.
 
Ladies mkiona kaka zetu wazuri hapa bongo wanazingua msiupe moyo maumivu, vuka kabisa bara maana kazi ya moyo ni kusukuma damu sio kuutesa.
 
Assimilation policy effects
 
Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu
Walikuwa blackmailed ili wawaoe hao wazungu ambao ni maspy wa nchi hizo za Ulaya magharibi...kwa ajili ya kumonitor nyendo za Marais ama viongozi wa nchi hizo lengo wasije kuhathiri interests za nchi za Ulaya Magharibi.
 
Hayo ni madhara ya sera za kikoloni. Hasa ile waliyoitumia wafaransa. Ndiyo maana hilo linaonekana ktk makoloni ya kifaransa
 
sasa unapokuwa raisi unahitaji mke msomi mwenye exposure ya kimataifa
Mama Salma Kikwee na mama Janeth Magufuli, walimu wa mwandiko darasa la 3 shule ya msingi Mbuyuni wana exposure ya kimataifa?
 
1. Umesema ''marais wengi wa Afrika Magharibi'' wakati umetoa mfano wa marais wawili tu.
2. Kuoa mwanamke wa kigeni siyo kukosa uzalendo na hii inaonyesha hujui maana ya uzalendo.
 
1. Umesema ''marais wengi wa Afrika Magharibi'' wakati umetoa mfano wa marais wawili tu.
2. Kuoa mwanamke wa kigeni siyo kukosa uzalendo na hii inaonyesha hujui maana ya uzalendo.
Kuna senegal na taifa jingine nimesahau
 
Walikuwa blackmailed ili wawaoe hao wazungu ambao ni maspy wa nchi hizo za Ulaya magharibi...kwa ajili ya kumonitor nyendo za Marais ama viongozi wa nchi hizo lengo wasije kuhathiri interests za nchi za Ulaya Magharibi.
Hili jibu linaweza kuwa ndio jibu bora kabisa
 
Wanaoa kabla au baada ya kupata urais, ni muhimu tukajua
Hata km bado ila kwenye siasa hakuna cha bahati mbaya kila tukio asilimia kubwa ni planned

Ni rahisi kujua mtu flan atafika juu nyazifa flan kutokana na mtindo wa siasa zake na kukubalika

Ndio maana mtu anaweza kujiattach for future wife
 
Ali Bongo wa Gabon naye wife mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…