The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mimi naona mreno ndo alifanikiwa sana kuliko mfaransa japo alitawala mataifa machache Africa Cape Verde, Guinea Bissau, Angola na Msimbiji.Mfaransa alifanikiwa Sana kwenye assimilation policy
Wanawaoa MakafrAfrika ya Magharibi wengi wamefuata ile dini ya mnyaanzi ambayo mwanamke anatunzwa ndani no school sasa unapokuwa raisi unahitaji mke msomi mwenye exposure ya kimataifa
Alikutana na mkewe Slyvia Bongo akiwa sio Rais.Ali Bongo wa Gabon naye wife mzungu
Even cape verde ni mreno si uliona pisi zao zilivo fire AfconMimi naona mreno ndo alifanikiwa sana kuliko mfaransa japo alitawala mataifa machache Africa Guinea Bissau, Angola na Msimbiji.
Ukuangalia hayo mataifa ureno ametawala yani hadi majina yao yote ni ya kireno ukiachia mbali lugha.
Kaka marais wengi haiwagi accidentally kuwa marais ni gemu inayokuwa planned muda mrefu na wanaoplan mle ndani ya deepstate kunakuwa na mapandiki ya kimagharibiAlikutana na mkewe Slyvia Bongo akiwa sio Rais.
Wazungu siyo kama Waarabu ama Wahindi ambao wamejazana TZ na ndo wametufanya tuwe wajinga kama tulivo.Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu
Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa
Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu
Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu
Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
Nadhani hii makala haijakamilika, heading inasema Marais wengi, na humu wametajwa wawili tu, tena kwa kutumia neno 'inasadikika'.Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu
Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa
Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu
Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu
Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information
Walifanya nini kilicho sababisha wakawa "blackmailed "?Walikuwa blackmailed ili wawaoe hao wazungu ambao ni maspy wa nchi hizo za Ulaya magharibi...kwa ajili ya kumonitor nyendo za Marais ama viongozi wa nchi hizo lengo wasije kuhathiri interests za nchi za Ulaya Magharibi.
Wananchi wa Africa Magharibi asilimia kubwa wanapenda kwenda Ufaransa na ufaransa kwao ni kama Abiria wanatoka Mbezi mwisho kwenda Kariakoo kwa kupanda mwendokasi, Sisi Watanzania hatuna utamaduni wa kwenda Ulaya na Mtanzania akienda Ulaya ana pelekwa na Serikali.Uzalendo hadi kwenye mapenzi?
Swali la kujiuliza wanawaoa wakiwa washakuwa marais?
Mifano ya kuwa blackmailed kwa Marais ipo kadhaaWalifanya nini kilicho sababisha wakawa "blackmailed "?
'Assimilation policy' ya Ufaransa kwa makoloni yake bado ina nguvuNi kweli. West Africa na hasa nchi zilizotawaliwa na Mfaransa zina marais wanaopenda sana kuoa Wazungu. Senegal wamewahi kuwa na marais 4 na wawili kati yao walikuwa na wake wazungu. Inawezekana ni mitego ya Wafaransa ili kuwatawala zaidi hawa jamaa zetu wa Francophone
Kuna uwezekano walipata elimu na pengine walisoma nao katika nchi za hao wake zao wakati wa ujana wao na hatimae kuonana wakati huo.Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu
Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua Rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa
Juzi tena wakati IVORY COST wanatwaa ubingwa pale jukwaani nikaona Rais akiwavisha medali wachezaji pia firstlady alikuwa ni mzungu.
Je ni kukosa uzalendo? Au ndio mapenzi ni upofu.
Na hii vipi kwenye usalama wa nchi hasa zile sensitive information.
Jiongeze basi au Jimbo lipo full occupied teacher Madam/ Madam teacher?Ni kweli mkuu😒
Ndiyo mkuu,nipo na mutu ya kinshasaJiongeze basi au Jimbo lipo full occupied teacher Madam/ Madam teacher?
Madam teacher Mimi sio wa kunifanyia hivyo umeona nilivyoonyesha interest since some days ago!Ndiyo mkuu,nipo na mutu ya kinshasa