Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

Trump anasema wamemuua Sheikh al Baghdadi, wewe unasema amestaafu kwa hiyo wewe unajua kuliko Trump?
Kama ndivyo leta proof
Huyo ni mzee wa cherry picking, half truths, straw man na red herring fallacies katika haya mambo ya deen.
 
Sababu hao Mahasimu wake kwa ujumla wao sio Waislamu.

Hapo adui wao mkubwa ni UISLAMU. Kwahiyo wanawatumia Waislamu WAJINGA wasio kuwa na elimu sahihi ya dini, kuuchafua UISLAMU.
 


Dhahabu unayoingelea wewe imesafishwa tayari, kutoka Gold ore mpaka kupata hio iliosafishwa inategemea na mgodi sometime tani moja unapata gram 5 tu ya dhahabu safi. So kupata tani laki 2 ya dhahabu safi ni mamia ya mamilioni ya dhahabu hayo. Refer issue ya makinikia ya Magu.

Mfano mwengine huo Uganda ina Tani milioni 31 ya dhahabu

 
Nani kakumbia Allah hajui lugha zote nenda kapime akili zako dogo mirembe
 
Kutoka link yako

Trump insisted over and over Thursday that he had meant literally that Obama founded the terrorist organization.

"I call President Obama and Hillary Clinton the founders of ISIS. They are the founders,” Trump said at a National Association of Home Builders event in Miami Thursday morning.

"He is the founder in a true sense," he said in the Florida rally Thursday night.

And when pressed to clarify in interviews Thursday, Trump insisted he had said what he meant.

"No, I meant he's the founder of ISIS. I do," he told conservative radio host Hugh Hewitt Thursday when pressed on whether he actually meant that Obama created the vacuum that led to ISIS.

"I meant exactly that. He's the founder of ISIS," he told the Miami NBC affiliate Thursday night when asked what he meant by the comment.

Less than 24 hours later, he tweeted out that the media was not getting his “sarcasm” and then repeated it later.

"Obviously I'm being sarcastic,” he said, “but not that sarcastic to be honest with you.”
Ukisoma between the line hajakanusha.

Na nakupa ushahidi kabisa wa kuanzia silaha na namna Obama alivyosaidia ISIS.

1. Kutoka Guardian Uingereza

2. Explanation ya Ilichoandika Guardian


Hapo unaelezewa kwa uwazi wakati Gadafi amepinduliwa Libya silaha zikachukuliwa na Serikali ya Obama wakapelekewa Isis, Mi16 na Cia wakiwa wanafahamu na kubariki

Na kupigilia msumari ni huu Uchunguzi wa Dilyana ambaye ni mwandishi wa Habari za Kiuchunguzi wa Bulgaria ambaye alitrace namna silaha zinavyotoka Viwanda vya Usa mpaka zinafika Al Qaeda Syria


Ushahidi kama huo unachomoka wapi?
 
Ushahidi kama huo unachomoka wapi?
Hivi unajua huyo huyo Obama ndiye ali oversee mauaji ya mkulungwa wa al-Qaeda Osama bin Laden?

Na kama ni kweli kuwa US ndo huanzisha, kumiliki na kuendesha hayo magenge ya magaidi, ni kwanini wanaotumikia huo uhalifu, mauaji, nk kupitia kujilipua na kujitoa mhanga huku wakitaja jina la "mungu" wao ni Kobaz tu??

Na ni kwanini mipango yote ya hayo maovu, uhalifu na mauaji hupangwa ndani ya misikitini??

Dogo, acheni huo uongo, tafuteni mambo ya maana ya kufanya
 
Anaesema Alqaeda imeanzishwa na USA haijui wala kuitambua Al Qaeda ... kunautofauti kat ya kuanzisha makundi na kusambaza silaha cha zaidi USA..RUSSIA ndio wasambaza silaha dunia
ukiongelea nchi kama ecuador ama venezuela za hapo south america Hizo nchii ni zao walizinyonya kama wanavyotunyonya Sisi hawaitaji magaidi kutunyonyaa maana hatujakata kunyonywa
 
Mtu kafanya tafiti zake, Dilyana amepeka hio report hadi Bunge la Ulaya imesomwa, wewe umeipinga na nini hio report? Trust me bro evidence, huna hata evidence moja kupangua hoja zake.

Una uhakika Osama kauli wa zaidi ya tu ya Maneno ya serikali ya Obama? Mpaka leo hata maiti hakuna unaambiwa tu katupwa baharini.
 
Una uhakika Osama kauli wa zaidi ya tu ya Maneno ya serikali ya Obama? Mpaka leo hata maiti hakuna unaambiwa tu katupwa baharini.
Kwa hiyo Osama hakuuawa?
Wewe unajua alipo, uliwahi kumuona baada ya kutangazwa kuuawa?
Trust me bro evidence, huna hata evidence moja kupangua hoja zake.
Nimekupa evidence nyingi ila naona wewe ni either slow learner au hutaki kuambiwa ukweli.
 
Sababu hao Mahasimu wake kwa ujumla wao sio Waislamu.

Hapo adui wao mkubwa ni UISLAMU. Kwahiyo wanawatumia Waislamu WAJINGA wasio kuwa na elimu sahihi ya dini, kuuchafua UISLAMU.
Wao hawana shida na uislam wao wanashida na rasilimali tu
 
Sio Allah Akbar ni Allahu Akbar tatizo kenge kazoewa kuimba kanisani hawezi kutamka Allahu Akbar, ukiwa mkanisa huwezi kutamka sawa sawa lazima ukosee tu.
Sasa ajue kutamka kiufasaha yeye muarabu au kapitia madrasa kujifunza lugha ya allah? Yaani ka 'U' tu ndio kakufanye ushike jambia?
 
Sasa ajue kutamka kiufasaha yeye muarabu au kapitia madrasa kujifunza lugha ya allah? Yaani ka 'U' tu ndio kakufanye ushike jambia?
Uislam hautaki ujinga ukikosea.rekebisha ulicho kosea we huoni nyie mlimfananisha Mungu na Yesu hahaha Yesu atabaki kuwa Ntume wa Mungu hawezi kufanana na Mungu hata siku moja. Mungu ni level ingine sio kufananishwa na mtoto wa Mariam
 
Kwasababu waislam wengi hawana elimu na ni watu wa mihemuko
Kwa yanayoendelea makanisani siku hizi bado utaona waislamu tu ndio hawana elimu? Wale wafuasi wa yule mama anayejiita mungu sio waislamu wale ila kinachoendelea pale bado wewe umeshikilia waislamu tu ndio hawana elimu?
 
Sikuja kuleta amani,nimeleta upanga. Na amani ni neno la shetani?Ikiwa upanga ni neno la Mungu?
 
Sikuja kuleta amani,nimeleta upanga. Na amani ni neno la shetani?Ikiwa upanga ni neno la Mungu?
Kamuulize shekh mazinge atakupa jibu, maana hata yeye qnajua vizuri jibu la swali lako...ukienda kwa wavuta bangi na walevi walio kubuu ukawaletea neno la haki kuwaonya na ulevi na bangi ujue ilo neno unalo lipeleka upo uwezekano wa asilimia 90% kuondoa amani kwa sababu watu waovu wanachukia mema ....ukiwa rais mwadilifu basi jua duniani amani yako inapotea kwa sababu waovu awapendi watu wahadilifu..maandiko yanasema nuru ushindana na giza siku zote hivyo hakuna AMANI BAINA YA NURU NA GIZA na Neno la Mungu ni nuru limetumwa duniani kuliko na Giza sasa amani itatoka wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…