Kwanini Marekani wana economic cooperation with China? Dunia ina unafiki sana

Yani watu waache kufanya biashara zao za mabilioni ya dola kwa sababu kuna manyani yanauana yenyewe kwa yenyewe shitholeni?

Can you come to your senses kijana?
Umeelewa kilichoandikwa kwenye uzi?
 
Wachina na wamarekani wanatazama $$$ zipo wapi? Hayo yenu mtavuna kama mlivyopanda hayawahusu, sio kazi yao kushughulilia kumlinda partner kwa ujinga wake, na hamnaga general partnership, zote ni specific, hamna mtambuka, km ni kijeshi, economic, education, social, kiutamaduni nk. itabaki hivyo, mengine mtashughulikiwa na kama kuna fursa watafanya biashara na nyie na msipotaka watafanya na wengine, who cares...
 
Oo, kumbe ni hivyo basi tuendele hivi hivi , kila mtu atumie nguvu zake kupata anacho kitaka.
 
China inanyonga MAFISADI na inajali wananchi wake.

Tanzania kuna genge ambalo linageuzia SILAHA za KIVITA wananchi wake. Kuwa hivyo, ni very VULNERABLE na haiwezi kupambana hata na Kagame.

Hao wananchi ambao hata hawajazika usitegemee watapigana vita upande wako.

Marekani ni MNAFIKI, ila anapata nguvu kwasababu wewe mwenyewe ni ZWAZWA.

Wananchi wako mwenyewe hawako upande wako, sasa unataje Marekani awe upande wako??
 
Na Tanzania pia ikiwa sovereign state ina haki ya kulinda economic interests zake na mataifa mengine bila third party country kuiingilia
UTU, HAKI ZA BINADAMU havina MIPAKA.


Wakati Tanzania ina-TRAIN wanaharakati wa SADC, inavunja uhusiano wa Kidiplomasia na Israel na Morooco hizo nchi zao zilikuwa SOVEREIGNTY.

Hata kwako ukianza kuua watoto wako, kuwashindisha NJAA na kuwatesa, huwezi kusema usiingiliwe kwakuwa ni watoto wako.

Utakuwa ume-run MENTAL RETARDATION.
 
Level yetu ya kutuniana kifua ni kina Kenya, Rwanda sio Marekani au China, mbona baba huwa anarudi saa sita usiku namimi leo narudi saa sita.

The big issue ni kutenda haki. Kwani Marekani anapokuambia usiteke, usiue wananchi wako anakosea wapi, anaposema fanyeni uchaguzi wa haki anakosea wapi hata kama kwake hafanyi, do your rights leave his lefts, nje ya hapo tutaendelea kuyalaumu mataifa makubwa yanapojitengenezea njia ili yafanye biashara zao vizuri.
 
Toka tunapata Uhuru tumekuwa tunasaidiwa na wazungu Hadi matundu ya choo, pia sio hivyo Tu Hadi budget ya nchi yetu tunasaidiwa Kwa asilimia 50 ....mikataba mingi tumeingia na wazungu hasa ya Haki za kibinadanu na democracy matters.

Unawezaje kuifananisha china na TANZANIA juu ya siasa ya uchumi? Ukitaka kutunisha msuli na wazungu jitegemee Kwanza Kiuchumi
Xi Jinping
 
Huyu jamaa anatoa mifano iliyokufa kabisaa!!! China na TANZANIA wapi na wapi..
 
Na sera ya China ni win-win economic cooperation bila kuingilia internal affairs ya trade partner
Kabla ya kuanza kuwalaumu wamarekani Anza kuwalaumu viongozi wako wa CCM ambao wanaiba pesa hapa TANZANIA na kwenda kuficha USA na ulaya hata wakiugua wanakimbilia hukohuko USA kutibiwa , Acha kufananisha TANZANIA na china weweeee
 
Raia wa hizo nchi za Kiarabu na China wanaitaka demokrasia kama ambavyo Raia wa Tanzania wanavyoitaka?
 
Oo, kumbe ni hivyo basi tuendele hivi hivi , kila mtu atumie nguvu zake kupata anacho kitaka.
Mpaka sasa swali langu halijajibiwa, inasemwa kuwa Tanzania inaundermine demokrasia

Basi kwa nini Marekani iingilie economic cooperation kati ya Tanzania na China?

Kuna uhusiano gani kati ya mambo hayo mawili?
 
Mpaka sasa swali langu halijajibiwa, inasemwa kuwa Tanzania inaundermine demokrasia

Basi kwa nini Marekani iingilie economic cooperation kati ya Tanzania na China?

Kuna uhusiano gani kati ya mambo hayo mawili?
Imani yako ipo kwenye maelezo yako haya, sasa mtu akujibu nini wakati wewe mwenye unamajibu yako

"Nchi ngapi hazina demokrasia na zipo zinasemwa zinaundermine democracy?

Kuna demokrasia ya Magharibi UAE, Qatar, Saudi Arabia, Kuwait n.k?

Mbona hatusikii Marekani ikienda huko kutathmini uhusiano wao na nchi hizo?

Mwaka jana Trump alienda Middle East akasaini mikataba ya kibiashara ya billions of dollars na nchi zisizo za Kidemokrasia na trade partner wao mkubwa ni China"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…