Mambo mawili au zaidi yanaweza kuwa kweli kwa pamoja. China haina demokrasia(achana na ujinga wa kusema demokrasia ya Magharibi, hakuna demokrasia ya Mashariki, Kusini au Kaskazini), China haina uhuru wa maono wala vyombo huru vya habari , ni kweli pia China inawalazimisha Waislamu wa China kufuata taratibu za kichina zaidi kuliko za Kiarabu. Hizi zote ni fact sio masuala la kubishaniwa. Ni kweli pia Marekani inafanya biashara na kila taifa duniani hata maadui zake kama Cuba na Russia mpaka sasa hivi.Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka.
Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi, kiuchumi na kisiasa.
Wanasubiri tu Trump abariki muswada huo kwa kumwaga wino Tanzania ishughulikiwe.
Kwa miongo kadhaa media na wachambuzi wa Magharibi wakiongozwa na Marekani wamekuwa wakiiaminisha dunia kuwa China haina Demokrasia, uhuru wa maoni, wala uhuru wa vyombo vya habari hakuna.
Na kama haitoshi wanasema kuwa Serikali ya China huwa inawanyanyasa, kuwatesa na kuwaua jamii ya Waislamu iliyopo Xinjiang.
Mbona hao Marekani bado wanafanya biashara za billions of dollars na China?
Nchi ambayo haifuati Demokrasia ya Magharibi na wanadai inaua Waislamu Xinjiang?
Wamuondoe Xi na chama cha CPC basi tuone au waondoe economic cooperation na China.
Lakini ndio kwanza wiki 2 zilizopita Trump alienda kutafuta deals China. Dunia ina unafiki sana, inataka akili sana ku-deal na Marekani na nchi za Magharibi.
By the way hapa ni mahali Watanzania waondoe uCCM, uCHADEMA, uhanarakati, na Pro-U.S mentality panataka akili sana. Kwa sehemu muswada ulisema:
Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania, including cooperation that could undermine democratic institutions and U.S. interests in the region.
Hizo interests za Marekani ni zipi?
XiMoja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka.

Kwa hiyo viongozi ndio wanaocooperate kiuchumi na China?Kwenye huo MUSWADA hawaweki vikwazo kwa nchi.
Target ya Vikwazo ni kwa Viongozi wa CCM, JESHI na serikali.
Unaijua vizuri Historia ya Tanzania? Kabla ya kuja kwa wakoloni jamii za kale zilikuwana mfumo gani wa kiutawala?Historia yetu sisi haiwezi kutengewa na demokrasia, Nyerere aliipata hii nchi kupitia uchaguzi wa kidemokrasia uliosamimwa na Wakoloni, Alivikuta vyama vingi akavufuta na baadaye wakavirudisha tena, makubaliano yetu sisi ni uongozi up upatikane kupitia uchaguzi huru na haki, China na Gulf states za Uarabuni wao hawajawahi kuwa na demokrasia, labda pia hawahiitaji lakini sisi tunahiitaji kulingana na historia yetu.
Ni vigumu sana kuwa na udikteta kwenye Taifa lenye Wakristo wengi.
China haiendi Afrika kama mlezi wa kisiasa bali kama mshirika wa biasharaMahusiano ni kwamba inaonekana China inapata kirahisi deals za kuvuna rasilimali Africa kwa sababu serikali ya China haidai uwajibikaji wowote kutoka kwa serikali za Africa kuhusiana na raia. Yani kama kuna madini maalumu kijiji fulani serikali ya Africa hata ikiua kijiji kizima ili kuwapa kampuni ya kichina kuchimba serikali ya China haitahoji au kusema chochote na pia hakuna mwanaharakati wa kichina wa kusema chochote tofauti na ilivyo kwa US.
Imehusikaje hapo?Pamoja na Pro-China mentality
China haina demokrasia(achana na ujinga wa kusema demokrasia ya Magharibi, hakuna demokrasia ya Mashariki, Kusini au Kaskazini)
Kuna vyombo vingi vya habari nchini China vinavyofanya kazi, na vinaweza kuripoti mambo ya kijamii, uchumi, ajali, rushwa za chini, na masuala ya huduma za ummaChina haina uhuru wa maono wala vyombo huru vya habari
ni kweli pia China inawalazimisha Waislamu wa China kufuata taratibu za kichina zaidi kuliko za Kiarabu.
Si kweliila Africa kampuni za kichina ni halali kutoa rushwa na kushirikiana na viongozi mafisadi.
Ni kwamba hujui chochote, ndiyo maana unajiandikia hovyo hovyo tu![][/][]Hizo interests za Marekani ni zipi?[/]
Kwa nini bado wanaendelea kuwa na economic cooperation na China?China imewahi kuwekewa vikwazo vingi sana
🚮 🚮 🚮Ni kwamba hujui chochote, ndiyo maana unajiandikia hovyo hovyo tu!
Haya ndiyo matatizo ya elimu yetu siku hizi.
Na huyu unaweza kukuta ni mwalimu huko mashuleni, na yeye anafundisha vijana mambo asiyokuwa nayo ufahamu wowote.
Ni kujipigia tu mradi liende!
Kwa hiyo huo mswada wa maseneta hao wa Marekani hautufai kwa sababu ya hiyo mikataba unayoizungumzia wewe?Si kweli
Mbona kampuni za Magharibi zinapewa mikataba ya ytafunaji wa rasilimali za Afrika huku serikali za Afrika zikiambulia asilimia ndogo ya mapato?
Achana na propaganda za Magharibi, nchi za Magharibi furaha yao ni kuona China haifanikiwi kiuchumi na kijamiiChina amewahi kuwekewa Vikwazo kwenye mauaji ya Tianamen 1989, amewahi kuwekewa 2019 kuhusu Hong Kong, kwani hamuoni? Lakini Mchina anasimama anaanza kubisha na kujadili na mchina anaogopa sana uchumi wake usihathirike kwa sababu bila ya kuuza nje Ulaya au Marekani hawewezi kutoboa.
Sitanii. Ni kwamba hujui kitu katika hayo uliyoyaandika hapo.🚮 🚮 🚮
Taja sehemu nilipoteteaSitanii. Ni kwamba hujui kitu katika hayo uliyoyaandika hapo.
Pengine ni njia to ya kupitia ili kutetea uovu unaofanywa na Samia Tanzania.
Maana sasa ni wazi kazi yenu ni kupindisha tu kila jambo, kama anavyofanya Kombo.
Mnayo kazi ngumu sana.
Kwa hiyo hizi ni habari mpya kwako ambazo unataka kuwashirikisha waTanzania wazijue; na wakijuwa wakubali kuwa hao wamarekani kupitia kwa maseneta wao wanatumia njia hizo hizo kuvuruga hali ya Tanzania chini ya Samia?Achana na propaganda za Magharibi, nchi za Magharibi furaha yao ni kuona China haifanikiwi kiuchumi na kijamii
Tukio la Tiananmen lilikuwa nyuma ya CIA na mashirika ya Marekani yanayodai ya kidemokrasia kutaka kuihujumu China
Walianza kwa kuwashinikiza wanafunzi wafanye maandamano na kuigomea serikali yao
Na hii ni mbinu ambayo Marekani imekuwa ikiitumia kwa miaka mingi kuchochea maandamano, color revolution na kisha kupandikiza viongozi vibaraka.
Jambo la kushukuru CPC ilisimama imara dhidi ya vitendo hivyo na hakuna ukandamizaji wowote uliotokea
Media za Magharibi huwa zinapotosha kuwa kuna mauaji ya wanafunzi yalitokea siku hiyo na hii ni kwa sababu walifeli jaribio hilo
Ndio maana sikuzote China imekuwa ikisema tukio hilo ni tukio la machafuko yaliyodhibitiwa ili kulinda utulivu wa taifa, si kama tukio la ukandamizaji wa demokrasia
Kilichotokea Tiananmen mwaka 1989 ndicho kilitaka kitokeee Hong Kong 2019, script ni ileile Marekani ilitaka kuwatumia wanafunzi wakiongozwa na Joshua Wong kuleta machafuko
Ila walidhihitiwa leo Hong Kong iko salama
EEEeeennHEEeeeee!Taja sehemu nilipotetea
Suala la Xinjiang ni upotoshaji, China ilishawaalika delegates kutoka U.N na nchi za Kiislamu waende kufanya uchunguzi huru kama kweli madai ya kuwa Waislamu wa Xinjiang wanaonewaKuhusu suala la Waislam wa Xinjiang Province wachina walifanya kazi kubwa sana kuongea na UN, USA, Ulaya na kote huko, mara ya Mwisho unakumbuka Mkuu wa UN human righ yule mama wa Chile aliachia ngazi kwa sababu ya suala hili. Baada ya kuzulu China na kuangalia kule Xinnjiang alikataa kutoa report. Ikazikwa akaachia ngazi.