SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
(1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu.
(2) Baada ya kimbunga na maafa kule Haiti, wazungu walichukua idadi kubwa sana ya watoto kuwapeleka Ulaya na Marekani kama watoto wao.
(3) Ni mtu gani mweusi aliwahi kuwa kiongozi wa kisiasa China au nchi yoyote ya Kiarabu??
Siku hizi nimekuwa mvivu sana wa kuandika, ila all in all, GOD BLESS AMERICA.
~ SIPENDI SIASA ~