SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Mungu awabariki sana wale watu aisee. Mzungu hata mbegu yake hakunyimi. Blacks wamezaa sana na wazungu. Sasa nenda Saudi Arabia au China uone kama utapata mke huko..race zote, wazungu ndio race bora halafu ndo zinafuata race nyengine
Mnoo, alafu eti ndio rafiki zetu (wajamaa)..Hiyo ni kweli Chinese ni wabaguzi sana
anashangazambona unajitiliza huruma za kipuuzi kwamba kua mweusi ni ticket ya msaada kutoka uarabun na china.
Huruma au ndio reality?? Katika mabara yote, bara lipi ni poorest??..mbona unajitiliza huruma za kipuuzi kwamba kua mweusi ni ticket ya msaada kutoka uarabun na china.
Sisi tunaishi kwa reality ila wewe unashangaa. Nchi yako iliwahi kuwapa msaada Marekani au Uingereza??..anashangaza
mbona watu wamezaa na wachina na hao waarabu??? wewe kweli unataka mke au demu wa kugongaga? kama demu kweli kwa wazungu utapata ila hao wachina na waarabu bado wana mtazamo wa kinyakyusa, kugongana hovyo kwa mwanamke kwao ni umalaya, hawagawi hovyoMungu awabariki sana wale watu aisee. Mzungu hata mbegu yake hakunyimi. Blacks wamezaa sana na wazungu. Sasa nenda Saudi Arabia au China uone kama utapata mke huko..
Taja waziri mweusi huko China au Middle East??..mbona watu wamezaa na wachina na hao waarabu??? wewe kweli unataka mke au demu wa kugongaga? kama demu kweli kwa wazungu utapata ila hao wachina na waarabu bado wana mtazamo wa kinyakyusa, kugongana hovyo kwa mwanamke kwao ni umalaya, hawagawi hovyo
Hawagawi kwa mweusi ila wenyewe kwa wenyewe wanapeana..mbona watu wamezaa na wachina na hao waarabu??? wewe kweli unataka mke au demu wa kugongaga? kama demu kweli kwa wazungu utapata ila hao wachina na waarabu bado wana mtazamo wa kinyakyusa, kugongana hovyo kwa mwanamke kwao ni umalaya, hawagawi hovyo
Utakuwa una wadada wazuri na weupe sana mkuu. Nakuja PM..Naunga mkono hoja kama mtu nilie shea race ya kiafrika upande wa baba na ya watega mabomu upande wa mama πππ
Halafu wa kisha wa Asili wanawabdilisha na jinsia kabisa wanaume wanakuwa wanawake.(1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu.
(2) Baada ya kimbunga na maafa kule Haiti, wazungu walichukua idadi kubwa sana ya watoto kuwapeleka Ulaya na Marekani kama watoto wao.
(3) Ni mtu gani mweusi aliwahi kuwa kiongozi wa kisiasa China au nchi yoyote ya Kiarabu??
Siku hizi nimekuwa mvivu sana wa kuandika, ila all in all, GOD BLESS AMERICAN.
~ SIPENDI SIASA ~
sasa wewe itabidi tukae mbali nawewe haswa ukifungua turbo ya upande wa mama utatufanya tuwe akina kasongo!..π€£Naunga mkono hoja kama mtu nilie shea race ya kiafrika upande wa baba na ya watega mabomu upande wa mama πππ
Kiongozi gani ni mweusi huko middle east na china mkuu??Halafu wa kisha wa Asili wanawabdilisha na jinsia kabisa wanaume wanakuwa wanawake.
Hakuna Taifa Duniani ambalo limechukua watu weusi, likawafanyia asimmiliation na kutengeneza jamii ya watu weusi Wenye hela zaidi kuliko Waarabu.
Oman na Saudia kuna Watu weusi ambao hawana njaa wala hawahitaji kuwa adopted ili wawe relevant.
Ni Arabuni pekee utakuta viongozi weusi Wanaongoza bila kuwa mafisadi na kuongeza nchi zenye matrilioni ya utajiri.
Hovyo sana wale jamaa..Waarabu ndio race katili na ya ajabu kuliko zote duniani.