stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Wazungu wa Magharibi ni very open minded
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana roho mbaya sana hao Wachina na Waarabu..Mleta uzi unasumbuliwa na kutojiamini na weusi wako. Sisi tunaongoza kwa kujibagua. Kama wachina na waarabu hawataki tuoane nao tuwaache walivyo ni haki yao.
Wanafuata mila zao.Wana roho mbaya sana hao Wachina na Waarabu..
Wana Mila za uchoyo na ubinafsi tofauti na Europeans..Wanafuata mila zao.
Acha tabia ya kupenda dezo.Wana Mila za uchoyo na ubinafsi tofauti na Europeans..
Uchoyo sio uungwana..Acha tabia ya kupenda dezo.
Wacha weee!Naunga mkono hoja kama mtu nilie shea race ya kiafrika upande wa baba na ya watega mabomu upande wa mama 😁😁😁
Chun chin chaaTaja waziri mweusi huko China au Middle East??..
Noma sana mkuu wangu..Chun chin chaa
Brother you're super brainwashed...iweje wazungu wawe bora katika hili wakati sie watu weusi huwa tunakaa na watu baki miaka na miaka kwenye nyumba zetu na hakuna tatizo lolote!? Au kisa wazungu wana ngozi nyeupe ndio maana unawashobokea?Hiyo ni kweli Chinese ni wabaguzi sana
Sijashobokea mzungu Ila mzungu ana humanity compared to Chinese🇨🇳Brother you're super brainwashed...iweje wazungu wawe bora katika hili wakati sie watu weusi huwa tunakaa na watu baki miaka na miaka kwenye nyumba zetu na hakuna tatizo lolote!? Au kisa wazungu wana ngozi nyeupe ndio maana unawashobokea?
Hakuna mtu ana humanity hapa duniani km mtu mweusi. Ndio maana africa unaweza kwenda popote ukaomba msaada wa chakula na maradhi ukapewa coz hospitality kwa waafrica ni culture yetuSijashobokea mzungu Ila mzungu ana humanity compared to Chinese🇨🇳
Wanapokezana vipi wakati dangote kwa miaka 13 mfululizo ni the richest black person (pure black)? alafu huyo al amoud ni multi racial sio kama mimi (pure black) huyo sio mwenzetu kabisa ana kwao na hatujivunii yeyeNdio maana nimekwambia wanapokezana, inategemea na mwaka na mwaka, na Dangote Yupo ndani ya Africa, hakuna mweusi Ulaya, Marekani ama popote pale nje ya Africa tajiri kumshinda Al Amoud.
Na mulivyo wabaguzi mbona wamarekani ambao wame mix Weusi na uzungu bado muna wa adress kama weusi ila walioachanganya uarabu na weusi sio weusi?
Dogo ishi maisha yako usipende kuwa adopted nchi za watu, mbona maisha mazuri tu hapa Tanzania? Sasa unalilia kuwa adopted Uchina ili iweje, unataka nini kwa mfano, utafilwa wewee, shauri yako.(1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu.
(2) Baada ya kimbunga na maafa kule Haiti, wazungu walichukua idadi kubwa sana ya watoto kuwapeleka Ulaya na Marekani kama watoto wao.
(3) Ni mtu gani mweusi aliwahi kuwa kiongozi wa kisiasa China au nchi yoyote ya Kiarabu??
Siku hizi nimekuwa mvivu sana wa kuandika, ila all in all, GOD BLESS AMERICA.
~ SIPENDI SIASA ~
True na hii ndiyo iliyotuponza mpka kutawaliwa na wazungu na kuteswa na Waarab.Hakuna mtu ana humanity hapa duniani km mtu mweusi. Ndio maana africa unaweza kwenda popote ukaomba msaada wa chakula na maradhi ukapewa coz hospitality kwa waafrica ni culture yetu
Ubaguzi unaanza hapo huyu pure black huyu mu Ethiopia etc, Al. Amoud kazaliwa Ethiopia na hajawahi kuacha ku invest kwao, mpaka Raisi wa Ethiopia aliiingililia kati kuhusu Figisu yake na Salman 2017. Na si kweli miaka 13 mfululizo Dangote kuwa Tajiri fanya homework yakoWanapokezana vipi wakati dangote kwa miaka 13 mfululizo ni the richest black person (pure black)? alafu huyo al amoud ni multi racial sio kama mimi (pure black) huyo sio mwenzetu kabisa ana kwao na hatujivunii yeye
Kum@ la mama yako. Utafilwa wewe, baba yako, mama yako na ukoo wenu wooote kum@ kibuyu wewe. Mkvndv wa mama yao na wako imeoza..Dogo ishi maisha yako usipende kuwa adopted nchi za watu, mbona maisha mazuri tu hapa Tanzania? Sasa unalilia kuwa adopted Uchina ili iweje, unataka nini kwa mfano, utafilwa wewee, shauri yako.
Anza na nyie weusi. Mmeasili wangapi?(1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu.
(2) Baada ya kimbunga na maafa kule Haiti, wazungu walichukua idadi kubwa sana ya watoto kuwapeleka Ulaya na Marekani kama watoto wao.
(3) Ni mtu gani mweusi aliwahi kuwa kiongozi wa kisiasa China au nchi yoyote ya Kiarabu??
Siku hizi nimekuwa mvivu sana wa kuandika, ila all in all, GOD BLESS AMERICA.
~ SIPENDI SIASA ~