Kwanini matajiri wa China na Arab hawaasili (Adoption) watoto weusi kama Wazungu? Daah, God bless America

Hiyo ni kweli Chinese ni wabaguzi sana
Brother you're super brainwashed...iweje wazungu wawe bora katika hili wakati sie watu weusi huwa tunakaa na watu baki miaka na miaka kwenye nyumba zetu na hakuna tatizo lolote!? Au kisa wazungu wana ngozi nyeupe ndio maana unawashobokea?
 
Sijashobokea mzungu Ila mzungu ana humanity compared to Chinese🇨🇳
 
Hakuna mtu ana humanity hapa duniani km mtu mweusi. Ndio maana africa unaweza kwenda popote ukaomba msaada wa chakula na maradhi ukapewa coz hospitality kwa waafrica ni culture yetu
 
Ndio maana nimekwambia wanapokezana, inategemea na mwaka na mwaka, na Dangote Yupo ndani ya Africa, hakuna mweusi Ulaya, Marekani ama popote pale nje ya Africa tajiri kumshinda Al Amoud.

Na mulivyo wabaguzi mbona wamarekani ambao wame mix Weusi na uzungu bado muna wa adress kama weusi ila walioachanganya uarabu na weusi sio weusi?
Wanapokezana vipi wakati dangote kwa miaka 13 mfululizo ni the richest black person (pure black)? alafu huyo al amoud ni multi racial sio kama mimi (pure black) huyo sio mwenzetu kabisa ana kwao na hatujivunii yeye
 
(1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu.

(2) Baada ya kimbunga na maafa kule Haiti, wazungu walichukua idadi kubwa sana ya watoto kuwapeleka Ulaya na Marekani kama watoto wao.

(3) Ni mtu gani mweusi aliwahi kuwa kiongozi wa kisiasa China au nchi yoyote ya Kiarabu??

Siku hizi nimekuwa mvivu sana wa kuandika, ila all in all, GOD BLESS AMERICA.

~ SIPENDI SIASA ~
Dogo ishi maisha yako usipende kuwa adopted nchi za watu, mbona maisha mazuri tu hapa Tanzania? Sasa unalilia kuwa adopted Uchina ili iweje, unataka nini kwa mfano, utafilwa wewee, shauri yako.
 
Hakuna mtu ana humanity hapa duniani km mtu mweusi. Ndio maana africa unaweza kwenda popote ukaomba msaada wa chakula na maradhi ukapewa coz hospitality kwa waafrica ni culture yetu
True na hii ndiyo iliyotuponza mpka kutawaliwa na wazungu na kuteswa na Waarab.
 
Wanapokezana vipi wakati dangote kwa miaka 13 mfululizo ni the richest black person (pure black)? alafu huyo al amoud ni multi racial sio kama mimi (pure black) huyo sio mwenzetu kabisa ana kwao na hatujivunii yeye
Ubaguzi unaanza hapo huyu pure black huyu mu Ethiopia etc, Al. Amoud kazaliwa Ethiopia na hajawahi kuacha ku invest kwao, mpaka Raisi wa Ethiopia aliiingililia kati kuhusu Figisu yake na Salman 2017. Na si kweli miaka 13 mfululizo Dangote kuwa Tajiri fanya homework yako

Dogo ishi maisha yako usipende kuwa adopted nchi za watu, mbona maisha mazuri tu hapa Tanzania? Sasa unalilia kuwa adopted Uchina ili iweje, unataka nini kwa mfano, utafilwa wewee, shauri yako.
Kum@ la mama yako. Utafilwa wewe, baba yako, mama yako na ukoo wenu wooote kum@ kibuyu wewe. Mkvndv wa mama yao na wako imeoza..

Welcome to my ignore list..
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
(1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu.

(2) Baada ya kimbunga na maafa kule Haiti, wazungu walichukua idadi kubwa sana ya watoto kuwapeleka Ulaya na Marekani kama watoto wao.

(3) Ni mtu gani mweusi aliwahi kuwa kiongozi wa kisiasa China au nchi yoyote ya Kiarabu??

Siku hizi nimekuwa mvivu sana wa kuandika, ila all in all, GOD BLESS AMERICA.

~ SIPENDI SIASA ~
Anza na nyie weusi. Mmeasili wangapi?
 
Back
Top Bottom