UWAKANdilo dhehebu pekee duniani linalomiliki nchi ............na wasomi wa kutosha ......achana na rasimali watu na vitu........tumsifu yesu kristu.............wanaume katoriki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UWAKANdilo dhehebu pekee duniani linalomiliki nchi ............na wasomi wa kutosha ......achana na rasimali watu na vitu........tumsifu yesu kristu.............wanaume katoriki.
Acha uzembe na wewe! Mdada mzima unashindwa hata kugugo?Papa Franscis alipewa na nani ?
Huko Tanzania nasikia wana shule zao mbili hatari sana.Vatcan ndiyo inayo control dunia, ni kwamba roma empire inatawala dunia kupitia katoliki hakuna mtawa yoyote katika dunia hii anaweza kushindana nao. kupitia jesuit wameweza kuidhibiti dunia yote.
hao wote nimagumashi chini ya mrija wa bandari na sasa inaenda kukatika dili linakufa polepole kisha ruzuku pia ziondolewe ama na madhehebu mengine yapewe yajiendeleze hata wasio na dini wapewe wana haki ya kupewaWanaotoka matamko ni watu waliopiga kitabu na Dr kweli sio za kimagumashi
Mbona wamebaunsi issue ya dp word? Samia kawapuuza na wamedhalulika sanaWajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?
Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
Kati ya Roman Catholic na Roman Empire ni kipi kilitangulia? Ustaarabu wa wamisri, wachina na wengi wengineo walikuwa washindani tu wa ushawishi wa kikatoliki ulioanzishwa na mwanafunzi mmoja wa Jesus.Siasa gani walizo anzisha RC duniani wakati RC yenyewe imechipukia chini ya Roman Empire dunia haikua ulaya magharibi pekee wamisri wapo toka kitambo, wachina na wengine wengi.
Yesu. Soma mathayo 16. 14. Papa maana yake mwamba au babaHuo upapa alipewa na nani ?
... unwakumbuka Net Group Solutions ya SA waliokabidhiwa Tanesco enzi za Mkapa na tukaaminishwa wangekuwa muarobaini wa umeme nchini?Huo mfumo wa TISS ya kanisa umechemka vibaya kwenye suala hili la DP World. Barua za kutangaza zabuni zilipowekwa wazi maana yake DP World ni mmoja tu wa waendeshaji wa TPA akishirikiana na bandari inayomkodisha.
Unapoandaa waraka kabisa kupinga uwekezaji hapo bandarini linakuja swali moja muhimu, na hao wanaoalikwa kwa hizo tender nyingine na wao wataandaliwa waraka wa kupingwa uwekezaji wao pale TPA?.
Father Kitima anakuja na hoja nyepesi ya kutaka wazalendo ndio waendeshe hiyo bandari, hao wazalendo wanaopigiwa debe wanashindwa kusimamia suala la umeme wa megawatt 4000 tu wa nchi hii wataweza kweli kushusha na kupakia meli zinazobeba makontena 10,000 pale TPA?.
Kuongea haya mambo ni kazi nyepesi sana lakini utendaji wake ndio unaotofautisha wazalendo na makampuni ya kigeni yenye uzoefu mkubwa.
Umeshindwa kutoa majibu, vizuri.
Usilazimishe, mwamba maana yake ni kepha. Hakuna sehemu yoyote ile Yesu amemwita Petro baba. Calling Peter the first Pope is an excessive anachronistic misnomer and an age-old lie.Yesu. Soma mathayo 16. 14. Papa maana yake mwamba au baba
Naona huu upagani wa kutukana ndicho mnachofundishwa kwenye kipaimara. Hakuna sehemu Yesu amemwita Petro Papa, it's an age-old lie and excessive anachronism.Acha uzembe na wewe! Mdada mzima unashindwa hata kugugo?
Hana kosa, amesababisha mtafaruku mkubwa kwenye jamii, wasio na uelewa wengi wameingia kwenye mjadala wa masuala yanayowazidi kimo kwa kigezo cha uzalendo.Unadhani alitenda kosa?
Ilitangulia Roman empire ndio ukafuata ukatoliki ndani yake kama dini ya serikali ndio the reason kubwa ya kuitwa R.CKati ya Roman Catholic na Roman Empire ni kipi kilitangulia? Ustaarabu wa wamisri, wachina na wengi wengineo walikuwa washindani tu wa ushawishi wa kikatoliki ulioanzishwa na mwanafunzi mmoja wa Jesus.
Huijui DP World hivyo huna haki ya kufananisha ujinga wa miaka ya nyuma na uendeshaji wa bandari kisasa.... unwakumbuka Net Group Solutions ya SA waliokabidhiwa Tanesco enzi za Mkapa na tukaaminishwa wangekuwa muarobaini wa umeme nchini?
Unakumbuka kampuni fulani la kihindi lilipewa TRC na tukaambiwa ndio mwisho w mtatizo ya usafiri wa reli nchini?
Unakumbuka kampuni fulani liliingia ubia n TTCL kuendesha the so called Celtel na tukaambiwa tutulie matatizo ya TTCL yamepatiwa ufumbuzi wa kudumu?
Unakumbuka sula la gesi ya Mtwara? Unakumbuka tuliambiwa tutaanza ku-export umeme na gesi duniani?
... unkumbuka ... unakumbuka ... unakumbuka? Hii nchi imefanyiwa majaribio mengi sana output zero!
Mtu akitangulia ametangulia, hivi ruzuku zikiondolewa unafikiri kanisa katoliki litateleka, hivi unafahamu awamu ya pili Mali zote ikiwemo mashule yaliyosafishwa yalitakiwa kurudishiwa Mali zao , unafikiri kwanini mpango huu haukufanikiwa?hao wote nimagumashi chini ya mrija wa bandari na sasa inaenda kukatika dili linakufa polepole kisha ruzuku pia ziondolewe ama na madhehebu mengine yapewe yajiendeleze hata wasio na dini wapewe wana haki ya kupewa
Uko sahihiUmeshindwa kutoa majibu, vizuri.