Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

Mtu akitangulia ametangulia, hivi ruzuku zikiondolewa unafikiri kanisa katoliki litateleka, hivi unafahamu awamu ya pili Mali zote ikiwemo mashule yaliyosafishwa yalitakiwa kurudishiwa Mali zao , unafikiri kwanini mpango huu haukufanikiwa?
hiyo ruzuku ikiondolewa hakuna atayeweza kuukemea ama waraka dhidi ya serikali nilazima wataisumbua serikali maana yenyewe ndio imewapa nguvu
 
Wapi Yesu alimwambia Petro kwamba wewe ndiyo Papa ?
Wapi Yesu alizungumzia padri, askofu, shemasi, etc. Cheo ni jina tu kubwa ni ile function aliyopewa...chunga kondoo wangu.

Ndio maana ya kofia na fimbo wapewazo viongozi wote wa kanisa wakawe wachungaji wema
 
Soma bibilia" wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu" ndio siku petro alikabidhiwa ukuu wa kanisa.

Sema jingine
Askofu wa kanisa la Jerusalem hakuwa Petro bali Yohana. Hivyo kulazimisha kwamba Petro ndiyo alikuwa askofu na Papa wa kwanza ni uongo ambao hauendani na historia.
 
We need to crake down that idea, dunia ni ya watu wote tunahitaji zaidi usawa and equal power to all communities!
Sasa wengine kutwa kucha mnatoa matamko mwishowe walishazoea. Mfano askofu mwamakula Huwa anadhalilisha hiyo taasisi. Hawa wengine ni wasomi, matamko yanajadiliwa na kupitishwa na wataalamu wa mambo hayo ndani ya kanisa. Sio kukurupuka
 
Wapi Yesu alizungumzia padri, askofu, shemasi, etc. Cheo ni jina tu kubwa ni ile function aliyopewa...chunga kondoo wangu.

Ndio maana ya kofia na fimbo wapewazo viongozi wote wa kanisa wakawe wachungaji wema
Yesu hakuzungumzia vyeo kabisa, alizungumzia utumishi kwa wafuasi. Hivi vyeo mmevileta ninyi wenyewe kwa kufuata tamaduni na siasa za warumi, kina Calixtus.

Mnachokifanya wakatoliki hakina tofuati na kile wanafanya waislamu kulazimisha kwamba kila nabii wa agano la kale akiwemo Musa ni waislamu, huku ukweli tunafahamu Uislamu ulianzishwa na bwana Mohamed kule Mecca mwaka 610.
 
Hilo kanisa inabidi waumini wasitoe sadaka, badala yake waumini wapewe pesa kila wanapohudhuria ibada. Walishapiga pesa nyingi hapo zamani enzi ya kuuza hati za neema."induligence"

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
We need to crake down that idea, dunia ni ya watu wote tunahitaji zaidi usawa and equal power to all communities!
Kama kuna watu wanaweza ku'raise' voices kwa masilahi ya wote kwa nini uone ni sahihi 'to crackdown that idea'? What's your justification?
 
Ilitangulia Roman empire ndio ukafuata ukatoliki ndani yake kama dini ya serikali ndio the reason kubwa ya kuitwa R.C
Roman Empire si ilikuja kusambaratika?... Kinyume chake Roman Catholic kama kanisa si lipo hadi siku ya leo na lina makao yake Vatican? ...Si ndio lililorithi na kuhifadhi mila desturi ushawishi kwenye ulimwengu wa leo? ....
 
Back
Top Bottom