Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

Vatcan ndiyo inayo control dunia, ni kwamba roma empire inatawala dunia kupitia katoliki hakuna mtawa yoyote katika dunia hii anaweza kushindana nao. kupitia jesuit wameweza kuidhibiti dunia yote.
Huko Tanzania nasikia wana shule zao mbili hatari sana.

Nilidokezwa eti moja ipo paleee ukipita Kigongo-Sambusa kuelezea njia ya Mabibo uko utaipita ipo Mkono wa kulia chakula imejengwa Kwa tofali za kuchoma!

Nasikia eneo hilo wanapitia makomandoo Wenye sura ya upole wengine utakutana nao wamevaa makanzuri ya rangi ya ugolo wakitembea peku!

Hii Dunia ina mambo mengi sana
R.I.P Mzee wa dakika ya samanini na tisa!
 
Hao ndio moja ya chanzo cha umasikini Africa na kwingine ambako wameachiwa ushawishi na kufanya shughuli zao za kimafia.

Roman ni mfumo unaondesha modern slavery system kwa kubrainwash akili za mataifa masikini huku wao wakijenga ufalme wao duniani ambao utaishi milele.
 
Wanaotoka matamko ni watu waliopiga kitabu na Dr kweli sio za kimagumashi
hao wote nimagumashi chini ya mrija wa bandari na sasa inaenda kukatika dili linakufa polepole kisha ruzuku pia ziondolewe ama na madhehebu mengine yapewe yajiendeleze hata wasio na dini wapewe wana haki ya kupewa
 
Mbona wamebaunsi issue ya dp word? Samia kawapuuza na wamedhalulika sana
 
Siasa gani walizo anzisha RC duniani wakati RC yenyewe imechipukia chini ya Roman Empire dunia haikua ulaya magharibi pekee wamisri wapo toka kitambo, wachina na wengine wengi.
Kati ya Roman Catholic na Roman Empire ni kipi kilitangulia? Ustaarabu wa wamisri, wachina na wengi wengineo walikuwa washindani tu wa ushawishi wa kikatoliki ulioanzishwa na mwanafunzi mmoja wa Jesus.
 
... unwakumbuka Net Group Solutions ya SA waliokabidhiwa Tanesco enzi za Mkapa na tukaaminishwa wangekuwa muarobaini wa umeme nchini?

Unakumbuka kampuni fulani la kihindi lilipewa TRC na tukaambiwa ndio mwisho w mtatizo ya usafiri wa reli nchini?

Unakumbuka kampuni fulani liliingia ubia n TTCL kuendesha the so called Celtel na tukaambiwa tutulie matatizo ya TTCL yamepatiwa ufumbuzi wa kudumu?

Unakumbuka sula la gesi ya Mtwara? Unakumbuka tuliambiwa tutaanza ku-export umeme na gesi duniani?

... unkumbuka ... unakumbuka ... unakumbuka? Hii nchi imefanyiwa majaribio mengi sana output zero!
 
hapo vipi ......
Your browser is not able to display this video.
 
Acha uzembe na wewe! Mdada mzima unashindwa hata kugugo?
Naona huu upagani wa kutukana ndicho mnachofundishwa kwenye kipaimara. Hakuna sehemu Yesu amemwita Petro Papa, it's an age-old lie and excessive anachronism.
 
Unadhani alitenda kosa?
Hana kosa, amesababisha mtafaruku mkubwa kwenye jamii, wasio na uelewa wengi wameingia kwenye mjadala wa masuala yanayowazidi kimo kwa kigezo cha uzalendo.

Hakuna tena mkataba wa bandari kati ya serikali na mwendeshaji utakaokwenda kuvuja.
 
Kati ya Roman Catholic na Roman Empire ni kipi kilitangulia? Ustaarabu wa wamisri, wachina na wengi wengineo walikuwa washindani tu wa ushawishi wa kikatoliki ulioanzishwa na mwanafunzi mmoja wa Jesus.
Ilitangulia Roman empire ndio ukafuata ukatoliki ndani yake kama dini ya serikali ndio the reason kubwa ya kuitwa R.C

We dogo bwana unafurahisha una zungumzia ustaarabu wa Egpty iliyo kuwepo kabla hata ya huyo Yesu anaye zungumzwa kuwepo, China dynasties na ustaarabu wake zipo kale kwa maelfu ya miaka kabla hata ya huyo Yesu anaye zungumzwa.

Au unafikiri dunia imeanza baada ya habari za huyo Yesu miaka 2000 iliyopita ?
 
Huijui DP World hivyo huna haki ya kufananisha ujinga wa miaka ya nyuma na uendeshaji wa bandari kisasa.

Usikariri maisha yaliyopita utaishia kuumiza tu nafsi yako.
 
hao wote nimagumashi chini ya mrija wa bandari na sasa inaenda kukatika dili linakufa polepole kisha ruzuku pia ziondolewe ama na madhehebu mengine yapewe yajiendeleze hata wasio na dini wapewe wana haki ya kupewa
Mtu akitangulia ametangulia, hivi ruzuku zikiondolewa unafikiri kanisa katoliki litateleka, hivi unafahamu awamu ya pili Mali zote ikiwemo mashule yaliyosafishwa yalitakiwa kurudishiwa Mali zao , unafikiri kwanini mpango huu haukufanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…