Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

Kanisa la Roman Catholic ndio mbuyu na waanzilishi wa siasa na ushawishi, hata kabla ya kuanza kwa ugawanywaji wa nchi na Serikali za Dunia hii. Unaweza usiwasikilize na kuwapotezea kwa sasa lakini habari ndiyo hiyo!.
 
Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?

Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?

Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
Kumuulize kikwete. Anawajua vizuri sana hao TEC
 
Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?

Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?

Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
Huu waraka wa bandari uliandaliwa kwa misukumo ya kisiasa, mmoja wa wahusika wakuu Father Kitima ndio aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni za urais za Lissu mwaka 2020.

Unaposambaza waraka kumpinga DP World asiwekeze wakati huna uwezo wa kuzuia serikali hiyo hiyo isitafute wazabuni wengine wa kuendesha bandari zetu ni kwamba umechemka vibaya sana. Hukujua tangu mwanzo serikali inatafuta kipi haswa kwa kumtangaza DP World kuwa ni mmoja wa waendeshaji wa TPA.
 
Gavana Nassir: Hatutakubali Bandari ya Mombasa Ibinafsishwe Kifala fala 😂😂🔥
 
Hao watu achana nao kabisa hawafai. Mapadre wao wote ni wasomi wabobevu kwenye kila fani. Na akili zao hazijavurugwa na mambo ya ndoa kwahiyo inakuwa balaa zaidi. Pia Roma Catholic wana mifumo yao kama serikali. TISS yao inaitwa Jesuit. RC ni viwango vingine kabisa huwezi fananisha na KKKT, TAG au madhehebu mengine.
 
Vatcan ndiyo inayo control dunia, ni kwamba roma empire inatawala dunia kupitia katoliki hakuna mtawa yoyote katika dunia hii anaweza kushindana nao. kupitia jesuit wameweza kuidhibiti dunia yote.
DP World mapema Novemba wanaanza kazi hapo TPA, ni masuala ya kiuchumi na kuyalazimisha yakaonekana ni ya kijamii ni kuikwaza serikali iliyopo madarakani.'

Kanisa limekosea sana kuja na huu waraka bila ya kuelewa kina cha suala zima la uendeshaji wa bandari kina urefu gani.
 
Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?

Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?

Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
Huwa hawabahatishi kwenye matamko yao, wakitamka ujue wameumiza vichwa!
 
Hao watu achana nao kabisa hawafai. Mapadre wao wote ni wasomi wabobevu kwenye kila fani. Na akili zao hazijavurugwa na mambo ya ndoa kwahiyo inakuwa balaa zaidi. Pia Roma Catholic wana mifumo yao kama serikali. TISS yao inaitwa Jesuit. RC ni viwango vingine kabisa huwezi fananisha na KKKT, TAG au madhehebu mengine.
Huo mfumo wa TISS ya kanisa umechemka vibaya kwenye suala hili la DP World. Barua za kutangaza zabuni zilipowekwa wazi maana yake DP World ni mmoja tu wa waendeshaji wa TPA akishirikiana na bandari inayomkodisha.

Unapoandaa waraka kabisa kupinga uwekezaji hapo bandarini linakuja swali moja muhimu, na hao wanaoalikwa kwa hizo tender nyingine na wao wataandaliwa waraka wa kupingwa uwekezaji wao pale TPA?.

Father Kitima anakuja na hoja nyepesi ya kutaka wazalendo ndio waendeshe hiyo bandari, hao wazalendo wanaopigiwa debe wanashindwa kusimamia suala la umeme wa megawatt 4000 tu wa nchi hii wataweza kweli kushusha na kupakia meli zinazobeba makontena 10,000 pale TPA?.

Kuongea haya mambo ni kazi nyepesi sana lakini utendaji wake ndio unaotofautisha wazalendo na makampuni ya kigeni yenye uzoefu mkubwa.
 
Huu waraka wa bandari uliandaliwa kwa misukumo ya kisiasa, mmoja wa wahusika wakuu Father Kitima ndio aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni za urais za Lissu mwaka 2020.

Unaposambaza waraka kumpinga DP World asiwekeze wakati huna uwezo wa kuzuia serikali hiyo hiyo isitafute wazabuni wengine wa kuendesha bandari zetu ni kwamba umechemka vibaya sana. Hukujua tangu mwanzo serikali inatafuta kipi haswa kwa kumtangaza DP World kuwa ni mmoja wa waendeshaji wa TPA.
Unaweza ukadhibitisha kuwa father kitima alikuwa meneja kampeini wa lissu?
 
B137DA3E-FB09-41A0-8F85-D1EE8EBC36C1.jpeg
 
Back
Top Bottom