Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumuulize kikwete. Anawajua vizuri sana hao TECWajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?
Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
... malizia kabisa; na lolote mtakalolifunga duniani na Mbinguni vivyo hivyo na kinyume chake! Let's wait and see kama funguo hizo zitafanya kazi DPW.Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Papa anaketi Kitini pake Mtume Petro
Huu waraka wa bandari uliandaliwa kwa misukumo ya kisiasa, mmoja wa wahusika wakuu Father Kitima ndio aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni za urais za Lissu mwaka 2020.Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?
Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
Gavana Nassir: Hatutakubali Bandari ya Mombasa Ibinafsishwe Kifala fala 😂😂🔥Huu waraka wa bandari uliandaliwa kwa misukumo ya kisiasa, mmoja wa wahusika wakuu Father Kitima ndio aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni za urais za Lissu mwaka 2020.
Unaposambaza waraka kumpinga DP World asiwekeze wakati huna uwezo wa kuzuia serikali hiyo hiyo isitafute wazabuni wengine wa kuendesha bandari zetu ni kwamba umechemka vibaya sana. Hukujua tangu mwanzo serikali inatafuta kipi haswa kwa kumtangaza DP World kuwa ni mmoja wa waendeshaji wa TPA.
Alopewa na aliyepewa na papa PetroPapa Franscis alipewa na nani ?
DP World mapema Novemba wanaanza kazi hapo TPA, ni masuala ya kiuchumi na kuyalazimisha yakaonekana ni ya kijamii ni kuikwaza serikali iliyopo madarakani.'Vatcan ndiyo inayo control dunia, ni kwamba roma empire inatawala dunia kupitia katoliki hakuna mtawa yoyote katika dunia hii anaweza kushindana nao. kupitia jesuit wameweza kuidhibiti dunia yote.
Ya Mombasa yanawahusu Wakenya, ya Tanzania yanatuhusu sisi watanzania.Gavana Nassir: Hatutakubali Bandari ya Mombasa Ibinafsishwe Kifala fala 😂😂🔥
Huwa hawabahatishi kwenye matamko yao, wakitamka ujue wameumiza vichwa!Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?
Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
Wafanyabiashara wa Zanzibar wagomea Ushuru mpya Bandarini 😂😂🔥🐼Ya Mombasa yanawahusu Wakenya, ya Tanzania yanatuhusu sisi watanzania.
Huo mfumo wa TISS ya kanisa umechemka vibaya kwenye suala hili la DP World. Barua za kutangaza zabuni zilipowekwa wazi maana yake DP World ni mmoja tu wa waendeshaji wa TPA akishirikiana na bandari inayomkodisha.Hao watu achana nao kabisa hawafai. Mapadre wao wote ni wasomi wabobevu kwenye kila fani. Na akili zao hazijavurugwa na mambo ya ndoa kwahiyo inakuwa balaa zaidi. Pia Roma Catholic wana mifumo yao kama serikali. TISS yao inaitwa Jesuit. RC ni viwango vingine kabisa huwezi fananisha na KKKT, TAG au madhehebu mengine.
Unaweza ukadhibitisha kuwa father kitima alikuwa meneja kampeini wa lissu?Huu waraka wa bandari uliandaliwa kwa misukumo ya kisiasa, mmoja wa wahusika wakuu Father Kitima ndio aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni za urais za Lissu mwaka 2020.
Unaposambaza waraka kumpinga DP World asiwekeze wakati huna uwezo wa kuzuia serikali hiyo hiyo isitafute wazabuni wengine wa kuendesha bandari zetu ni kwamba umechemka vibaya sana. Hukujua tangu mwanzo serikali inatafuta kipi haswa kwa kumtangaza DP World kuwa ni mmoja wa waendeshaji wa TPA.
Nakupa habari za TISS ambazo huwezi kuzipata vijiweni. Huo ndio ukweli wenyewe, ni mwanasiasa mwenye kuvaa kofia mbili, ya uanasiasa na ya uchungaji.Unaweza ukadhibitisha kuwa father kitima alikuwa meneja kampeini wa lissu?