GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
Kuvurugwa ni kulazimisha neno mwamba na papa viwe kitu kimoja. Nyie majamaa ni maongo sana.Watu mmevurugwa ahahahaha Samia kaza buti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuvurugwa ni kulazimisha neno mwamba na papa viwe kitu kimoja. Nyie majamaa ni maongo sana.Watu mmevurugwa ahahahaha Samia kaza buti
Si wanafiki!Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?
Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
Nakubaliana na wewe kwamba ni taasisi kongwe, lakini nakataa kulazimishwa kwamba hii taasisi ilikuwepo kipindi cha Yesu na mitume hali tunafahamu fika kwamba ilianzishwa na Wakristo walioishi Roma mnamo karne ya tatu.Mkuu taasisi yeyote huanza hukua na kutanuka. Hivyo kukua huko lazima kuna muundo wa uongozi na taratibu za kumpata kiongozi huyo. Hivyo hata biblia inatuelekeza maswala ya mamlaka.
Kubwa katika kukua huko na utoaji wa vyeo mbalimbali kusiwatoe kwenye lengo la msingi, kuchunga kondoo na kanisa limedumu zaidi 2000yrs kufanya hivyo. Ni taasisi kongwe
Kumbe unakubali kuwa Roman Catholic na Roman Empire ni kitu kimoja na hivyo matamko yanayotolewa na RC yana uzito kwa tawala zote Duniani kwa kuwa wana mtaji wa wafuasi!. 🤔Tawi la Roman empire ndio hiyo RC nani alikumbia ili sambaratika yote ?
We sio mkatoliki kinankuima nini sasaNakubaliana na wewe kwamba ni taasisi kongwe, lakini nakataa kulazimishwa kwamba hii taasisi ilikuwepo kipindi cha Yesu na mitume hali tunafahamu fika kwamba ilianzishwa na Wakristo walioishi Roma mnamo karne ya tatu.
Kupotosha historia ni kudhulumu utu. Karne chache zilizopita Kanisa lako lilihusika kuwaaminisha waumini wake kwamba wakazi wa Afrika ni washenzi wasio na ustaarabu.We sio mkatoliki kinankuima nini sasa
Dogo unasoma na kuelewa nacho andika ?Kumbe unakubali kuwa Roman Catholic na Roman Empire ni kitu kimoja na hivyo matamko yanayotolewa na RC yana uzito kwa tawala zote Duniani kwa kuwa wana mtaji wa wafuasi!. 🤔
Jibu hoja!!... Achana na tabia ya kudogosha hata usiowajua. 😳Dogo unasoma na kuelewa nacho andika ?
Vimeumana imani haina uthibitisho ni vyema kutemana nao.Kupotosha historia ni kudhulumu utu. Karne chache zilizopita Kanisa lako lilihusika kuwaaminisha waumini wake kwamba wakazi wa Afrika ni washenzi wasio na ustaarabu.
Hoja gani unayotaka nikujibu ambayo hujaelewa ?Jibu hoja!!... Achana na tabia ya kudogosha hata usiowajua. 😳
.Vimeumana imani haina uthibitisho ni vyema kutemana nao.
Duniani kuna Mungu au hakuna Mungu ? Hii haina tofauti na hicho unacho uliza kwao
Na atakayekuwa meneja wa Kampeni za Mama 2025 atakuwa nani? Una akili wewe?Huu waraka wa bandari uliandaliwa kwa misukumo ya kisiasa, mmoja wa wahusika wakuu Father Kitima ndio aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni za urais za Lissu mwaka 2020.
Unaposambaza waraka kumpinga DP World asiwekeze wakati huna uwezo wa kuzuia serikali hiyo hiyo isitafute wazabuni wengine wa kuendesha bandari zetu ni kwamba umechemka vibaya sana. Hukujua tangu mwanzo serikali inatafuta kipi haswa kwa kumtangaza DP World kuwa ni mmoja wa waendeshaji wa TPA.
Kwako labda- wamesema uache uzinzi umeacha?Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?
Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
RC wana sala nyingi za ajabu ajabu. Nyerere alikuwa anaelekea kupewa utakatifu sijui huo mpango umeishia wapi RC bhana
Kama RC ni tawi la Roman Empire, unataka kusema kuwa Roman Empire ipo? na iko wapi katika ulimwengu wa sasa?Tawi la Roman empire ndio hiyo RC nani alikumbia ili sambaratika yote ?
Una elewa maana "kusambaratika yote", "tawi" mbona unakuwa kama mjinga kwa maswali ya ajabu ajabuKama RC ni tawi la Roman Empire, unataka kusema kuwa Roman Empire ipo? na iko wapi katika ulimwengu wa sasa?
nawezaje kupata histolia zaidi ya hili uliloliandikaVatcan ndiyo inayo control dunia, ni kwamba roma empire inatawala dunia kupitia katoliki hakuna mtawa yoyote katika dunia hii anaweza kushindana nao. kupitia jesuit wameweza kuidhibiti dunia yote.
Sasa si ujibu tu maswali hayo yanayohusu tawi?... haya ya ujinga yanatoka wapi ? Roman Empire iko wapi sasa?Una elewa maana "kusambaratika yote", "tawi" mbona unakuwa kama mjinga kwa maswali ya ajabu ajabu
Hapa tunapoteza muda kama huwezi kusoma na kuelewa navyo kuandikia itakuwa kazi bure. Soma upya navyo kuandikiaSasa si ujibu tu maswali hayo yanayohusu tawi?... haya ya ujinga yanatoka wapi ? Roman Empire iko wapi sasa?
Sidhani kama kuna muda unaopotea hapa, uelewa wako ukiuweka hapa itakuwa faida kwa wengine. Inawezekana unauelewa zaidi kwenye hili, unapungukiwa nini kushusha facts kama unazo zaidi ya mchango uliokwisha kutoa?Hapa tunapoteza muda kama huwezi kusoma na kuelewa navyo kuandikia itakuwa kazi bure. Soma upya navyo kuandikia