Kwanini Mawakili wengi binafsi wanashangilia na kukimbilia kusimamia kesi za wanaodaiwa kutukana au kuikosoa Serikali?

Mimi nilikurupuka mkuu, liweke sawa tujifunze
Kushughulikia ni kufanyia kazi. Ni kazi gani sasa ambayo waziri Ndumbaro atawafanyia, hiyo ni siri yake
 
Ndio sehemu pekee ya kutengenezea cv ili kupata kiki na kujitangaza kibiashara itajilipa kupitia jina unadhani kibatara kapiga ngapi kumchomoa yule mama muuaji si chini ya b moja baada ya kujenga jina kupitia kesi za chadema na lisu
 
Twitter kule kuna watu wengi wanaojitambua na wachache wapumbavu kama wewe. Jf nowadays imejaa wapumbavu wengi kuliko werevu. Wenzio kule twitter wanazungumzia juu ya kitita kipya cha NHIF ambacho kinagusa maisha ya watanzania wengi ila ukija huku unakutana na wapumbavu wanajadili kuwa saivi viongozi wengi wa serikali wanavaa sare za CCM mtaani kwa sababu ya JPM, si uchizi huu?
 
Reactions: Lax
Zamani siku hizi imejaa ngono kama telegram
 
Acha nikuache unahaki ya kuandika na kudhihaki. Ningekudhihaaki ungejiona uchi, ila acha nipite hujui chchte wewe. Uwe na siku njema.
Joined feb 3 2024🚮
 
Tanzania mtu akiwa anatukana na kudhalilisha watu,anaonekana shujaa kwa baadhi ya wajinga wanaenda mbali zaidi na kusema ni Uhuru, tunatengeneza kizazi cha ovyo sana kwa kisingizio cha Uhuru. Yaani utukane matusi usingizie uhuru?

Acha kuongea upuuzi, mbona hatujaona ukilalamikia kuwa viongozi wanapofanya matukio mabaya kama kuwatumbukizia vijana chupa za soda makalioni na kuachiwa ni matumizi mabaya ya uhuru?
Au unasubiri mtu aandike matusi kwa huyo atendaye hivyo ili useme anatukana kiongozi?
Hatutengenezi kizazi cha hovyo bali kipo tayari kizazi cha viongozi wa hovyo ambao pengine hawatukanwi bali wanapewa lugha wanayostahili.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Saa nyengine mnaandika utumbo bila kufikiria. Sasa ulitaka kesi za wanaoikosoa Serikali zisimamiwe na mawakili wa serikali dhidi ya serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…