Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Lushoto sio pwani.
Ni milimani kuliko hata Mbeya. Kinachofanya wanawake wa Mbeya ni weusi ni kwamba DNA Yao haina amplification of non toxic matter. Hata uki sex nao Hali hiyo unai feel.
Hebu dadavua unafeel what ukisex nao sijaelewa.
 
Nadhani ni suala la ki genetics (vinasaba) zaidi. Wamalila, Wasfwa na Wanyakyusa ni weusi sana na wana miili mikubwa.
Mimi nlikua na gf ana asili ya huko, wakati namdate 2014 alikua 22 yrs old mwembamba tu wa kawaida. Sasa hivi ni mnene mpaka ninamuogopa. Nawaza hivi yule angekuwa ndo mke wangu zama hizi ningewaambia nini watu? Maana kwa urefu alio nao plus mwili dahhh
 
Ndio maana hakuna unyanyasaji kwa wanawake mbeya .
Niwapole na wavumilivu ila,ukimzingua zinapigwa na anakudunda.
 
Mleta mada anataka sababu za kisayansi sion sababu ya kutokwa na povu, kwani kuwa mweusi ni vibaya??
 
Ndio maana hakuna unyanyasaji kwa wanawake mbeya .
Niwapole na wavumilivu ila,ukimzingua zinapigwa na anakudunda.
Wanyakyusa ni wakarimu wake kwa waume. Unyanyasaji wa kijinsia ni matokeo ya mila mbovu za baadhi ya makabila.
 

Genetics mzee , wale wasambaa weupe ni wa ukoo wa Kilindi wanaitwa wakilindi kwenye lineage ya Mbega na kina Kimweri wa Vuga
Inasemekana Mbega baba yake alikua mweupe akitokea kisimani Pemba akavuka moja Kwa moja mpaka Kilindi akaacha mbegu wilayani kilindi kule kwa wanguu/wazigua …. Baadae Mbega alipozaliwa akasafiri mpaka milima ya usanbaa maeneo ya vuga anbapo ndioo aliposambaza mbegu nyeupe kwa kina Kimweri nawasambaa wote weupe
 
Ni kweli hiyo historia niliwahi kuisikia ila natamani kujua ilikuwa karne ya ngapi maana ili kizazi chote cha wasambaa wawe vile huo mchakato unahitaji miaka takribani mia sita ili na kuendelea
 
Ni kweli hiyo historia niliwahi kuisikia ila natamani kujua ilikuwa karne ya ngapi maana ili kizazi chote cha wasambaa wawe vile huo mchakato unahitaji miaka takribani mia sita ili na kuendelea
Wasambaa Nina hakina 60% ni weupe nenda lushoto uone weusi wachache sana kuna mpaka maalbino kibao kila kona
 
Hilo halina ubishi mkuu lushoto weusi wakuhesabu
Kuna jamaa chuo mpaka wanamkana wanamuita msambaa mweusi kwamba sio msambaa wenzie weupe kibao πŸ˜…πŸ˜…

Mwambie afuatilie hao wakina shelukindo kama wazungu jamaa
 
Vipi milima ya usambara, upareni, uluguru, milima ya meru nk.?

Kuna factor nyingine hujaigusia hapo nayo ni humidity. Naomba uielezee hiyo pia mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…