Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Mleta mada pia angalia huko Mara kwa wajaluo na makabila mengine. Ukimchukua mjaluo na weusi wake, then ukamlinganisha na mkurya ambaye kwa asilimia kubwa sio mweusi, jiulize nini hasa kinamfanya mjaluo kuwa mweusi tititi na mkurya kuwa na complexion ya tofauti.

Utajua there's a reason behind, labda tufuatilie origins za watu, hizo mnasema dna zao, wametoka wapi na huko kuna watu wenye asili gani...
 
Lushoto sio pwani.
Ni milimani kuliko hata Mbeya. Kinachofanya wanawake wa Mbeya ni weusi ni kwamba DNA Yao haina amplification of non toxic matter. Hata uki sex nao Hali hiyo unai feel.

Mie sio mwanasayansi tunajibu kinadharia kulingana na uelewa tu mkuu. Ni kweli Lushoto milimani lakini Bado Iko Tanga, mambo ya humidity na vinasaba yanachangia sana kwenye rangi, muonekano mfano urefu, ufupi, unene, wembamba na hata sauti za baadhi ya makabila. Mfano watu wengi wa Arusha ni weupe, Hali kadhalika Singida wanyaturu, Wambulu/ Wairaki japo wembamba wengi. Njoo Wadada wa Bukova hata awe mwembamba juu, miguu Yao utasema wanadingizia au wameazima.

Kuna sababu nyingi zaidi ya baridi kama alivyoleta muulisa swali. Tuendelee kufuatilia mjadala ili kuelimika zaidi.
 
Niko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.

Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika. Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.

Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe?

Na Ulaya je wasemeje?

Tupeni sababu za kisayansi.
Watu weupe!!,kama wazungu?!!hakuna kitu kama hicho Afrika,kama Obama,au Deputy president wa US,madame Kamala,Richa ya kuchangsnya damu,lakini Bado wanatambulika kama weusi,iweje wewe na nywele za kipilipili useme unaweza kuwa mweupe!?
Afrika Kuna light skin,maji ya kunde,Hawa wapo kila sehemu,Musoma,Kilimanjaro,BK,Iringa,hata watu wenye weusi kama mpingo wapo mikoa yote hata huko Singida,na manyara
 
Nimemkumbuka Mbwaga Mwakagali jamaa ni mweusi mkaa kuanzia ngozi, kucha, nyayo, viganja, hadi nyama za ndani za mdomoni najua yumo humu Jf
Kwa hiyo huyo home boy mwaisa mtu mbadi ana mdomo mama black mamba
 
Mikoa ya mbeya iringa inaitwa nyanda za juu kusini.. ukipima kutoka usawa wa bahari inaenda mpaka 2000m.. sasa imagine uko dar halaf upande gorofa lenye urefu wa kilomita 2 kwenda juu. Hilo jua lake si mcjezo na barid kali.. kwahyo ngozi inalinda mwili dhidi ya miozn ya jua kutengeneza kitu inaitwa melanin ambayo ndo rang yenyew nyeus sasa.. ndio mana watu waishio along ikweta ni weus sana sabab ya jua.. na ndomana huyo huyo mweus tii akiondoka maeneo hayo kwa muda akija ambako jua si kal.. utaona anaanza kungaa flani... Hilo ndo jibu sahih.. ishu si barid
Sasa vip watu wa musoma itakuaje
 
Mbeya na Morogoro mikoa Bora kabisa ya kuishi Kwa Hali ya hewa na upatikanaji wa mahitaji ya kijamii.
Ukishindwa kuiishi mbeya hakuna mkoa utaweza,vyakula tele,maisha mepesi
 
Tatizo la Mbeya siyo baridi. Baridi haileti weusi. Tatizo ni jua. Jua la Mbeya linachoma kama juu wameweka magnifying lens.

Linachoma namna hiyo. Sehemu kama Dar, humidity inasaidia sana kupunguza uchomaji wa jua.

Inaonekana Mbeya humidity ipo chini. Ukienda sehemu kama Kyela karibu na ziwa utakuta watu si weusi sana.
Ha ha kyela ni balaa

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Mbeya bwana....eti Bernard Morrison na Steven Wasila wanawaona ni maji ya kunde. Nilicheka sana Mwakyembe aliponipa hii habari.
 
Niko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.

Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika. Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.

Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe?

Na Ulaya je wasemeje?

Tupeni sababu za kisayansi.
Weusi kwa sababu ni waafrika. Waafrika wote weusi, wazungu wote weupe.
 
Niko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.

Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika. Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.

Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe?

Na Ulaya je wasemeje?

Tupeni sababu za kisayansi.

Watu weupe wapo ulaya.
 
Back
Top Bottom