ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Mleta mada pia angalia huko Mara kwa wajaluo na makabila mengine. Ukimchukua mjaluo na weusi wake, then ukamlinganisha na mkurya ambaye kwa asilimia kubwa sio mweusi, jiulize nini hasa kinamfanya mjaluo kuwa mweusi tititi na mkurya kuwa na complexion ya tofauti.
Utajua there's a reason behind, labda tufuatilie origins za watu, hizo mnasema dna zao, wametoka wapi na huko kuna watu wenye asili gani...
Utajua there's a reason behind, labda tufuatilie origins za watu, hizo mnasema dna zao, wametoka wapi na huko kuna watu wenye asili gani...