Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

πŸ˜‚
 
Naendelea kusoma comment
 
Kerege au
 
Mzee Paul b ashanipakia sana kwenye range lake,mzee wang naye alikuwaga
Na shamba huko kubwa
Sema alikuja liuzaga mzee naye alikuwa mhuni [emoji1] baharia tena
Sema nlikuwa napuyanga naye sana kwenye pilika zake

Ova
Ahaaaa saf San mzeee walau umekaa na wazeee ..,.. mzeee kipind Niko church boy tulikuwa tunaenda sana ibada kwake
 
Ile scandal twin tower na wengine wanasema mambo kuwachapia madem [emoji1]
Ila unaambiwa jamaa alikuwa mchapakazi kazini saa moja kamili ashaingia ofisini

Ila kwa huko ifakara hajafanya lolote kabisa

Ova
kwa nchi yetu ninavyo ijua hiyo twin tower asinge weza kula peke yake pesa ya serikali mtu mmoja hawezi kuichomoa peke yake.


hapo itakuwa hilo jambo la pili hilo la kuchapa madem za watu🀣🀣🀣🀣😭😭😭

kuna kigogo mmoja nasikia alisema atamshughulikia...na kweli ameweza🀣🀣🀣 maana alimpoteza kabisa kwenye Ramani... kisha Mungu akafanya yake​
 
Ukisikia pepo ya dunia ndio hiyo ya huyo jamaa wa round about kama unaelekea kwa mama.

Watu wanaishi ndugu yangu, wengi tunawashindikiza tu bila kujua tutafika lini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaweza kuhisi mtu anaanzisha mradi wa kufuga kuku, kumbe mwenzako anapiga hesabu ya kupangisha watu na kila mwezi anavuta elf 25 kwa kila chumba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani Mbweni mpaka Mbezi Beach karibu sawa na Mbezi Beach mpaka mjini.

Huku kunatakiwa kuanzishiwe mji wake, watu wawe wanaenda mjini mara moja kwa wiki.

Lakini hapo kwa umbali wa miji mikubwa si mbali sana, basi mji wetu tu
Barabara zenyewe njia za nyoka. Sehemu ya kutumia dakika 30 unatumia masaa mawili.

Ndiomaana Dar inaonekana kubwa hatari, na wakati ni ya kawaida tu haina ukubwa wowote ukilinganisha hata na mikoa midogo tu ya Tanzania.
 
Aisee
Wabongo watavuruga tu, hakuna mipango miji
Yaani siamini mpaka leo Masaki imevurugwa vile?
Mtu akibahatika kupata chaka la kuchoma mahindi, na parking mbili tatu za bodaboda basi heshima ya Mbweni itayeyuka kama donge la chumvi ndani ya maji.
 
Mtu akibahatika kupata chaka la kuchoma mahindi, na parking mbili tatu za bodaboda basi heshima ya Mbweni itayeyuka kama donge la chumvi ndani ya maji.
Na wale wa viduka vya hardware huku pembeni wanauza pombe.....
Kwisha habari yake....🀣🀣
 
Miradi yote hiyo ilikuwa inflated kwanza kipindi ambacho Avic inajengwa, siamini Kigamboni ilikuwa occupied kiasi cha kwenda kujenga mbali hivyo na hata ule mradi mwingine wa dege
Lakini bado karibu sana mjini kwa kutumia daraja...labda bongo idadi ya wenye hela sio kama nigeria au kenya
Ukiona wanaija na wakenya wanavyoshangaa youtube kwa jinsi kulivyopendeza na bei ya nyumba za huko Avic town na kumetelekezwa...
Wanasema ingekuwa kwao, bei ingekuwa mara tatu na zamani kungeshajaa wenye hela zao...
 
Na wale wa viduka vya hardware huku pembeni wanauza pombe.....
Kwisha habari yake....🀣🀣
Hao jamaa huwa hawakwepeki, muda si mrefu watalivamia hilo eneo.

Mwanzo watajifanya kuzuga kwa kufanya usafi kila jioni baada ya kumaliza kazi. Kisha wakishazoea eneo tu wataanza kuwa hawafagii na wakifagia taka wanatupia mitaroni. Basi kazi kwisha, Mbweni inageuka vingunguti ya kishua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…