Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Inasikitisha sana kuona maeneo mazuri kama Mbezi beach badala ya kuboreshwa na kuendelezwa, yanatelekezwa, yanapuuzwa, yanachakarishwa na kuachwa yajifie tu na kugeuka Buguruni mpya.
Hivi unakuta mzee alikuwa fisadi fulani,au alipewa mchongo kwenye siasa kama Makonda au Mwigulu akaiba akapita kushoto.

Unaingia utawala mpya, Hana connection. Watoto hawana cha kupewa, wanabaki na nyumba tu bila mishe yoyote.

Hapo wanapangisha hata elfu 50, kwa mwezi na kujenga vibanda ili waishi.

Maisha hayo, yako Sinza, Kurasini, masaki, Msasani, upanga etc

Kawaida tu
 
Dar Inanuka sana, inanuka vinyesi katika chemba na uozo wa majalala

Aidha, feri na maeneo ya karibu kunanuka sana shombo na uozo wa samaki
 
kweli kabisa...ila sijui alifanya kisa gani kiasi cha kutupwa nje ya system kabisa. kama ni ufisadi mbona viongozi karibia wote wamefisadi miradi mingi tu ya serikali...

ila huyu mwamba dah...serikali ilijua kumkomesha​
Ile scandal twin tower na wengine wanasema mambo kuwachapia madem [emoji1]
Ila unaambiwa jamaa alikuwa mchapakazi kazini saa moja kamili ashaingia ofisini

Ila kwa huko ifakara hajafanya lolote kabisa

Ova
 
Mkuu ufafanuzi, Mbweni kuna nini? Na kwann mgonjwa wa moyo asifike??
Kuna mtaa Mbweni yuko Mama mkubwa huyu, Konda boy, Hapi, Nape. Ule mtaa barabara imepigwa lami na taa full. Pili masikini wote wamehamishwa kwa kupenda au kutokupenda. Kuna huku kwenye nyumba za Lugumi hadi kwa marehemu Kijazi yaani kwa moto haswa
 
Asante,watoto wadogo hawawezi kuelewa maana unaweza kuelezea kitu humu watu wakafikiri unapiga fix

Alafu huko root ya kwenda mbezi kimara ilikuwa hakuna

Ova
Sahihi mkuuu wangu haswa wamenona goba Leo Ina lami wanaweza kuona chai kuwaambia kulikuwa na Defender 110 mbili
 
Miaka hiyo huko mashuwa wengi walikuwa na mashamba
Miaka hiyo bado madogo nakumbuka
Tulipakiwaga na yule p.bomani kwenye ule mrange wake akatupeleka
Shambani kwake lilikuwa bonge la eneo mifugo,mabwawa ya samaki nk

Ova
Naam mkuu chuma ya bomani na ikumbuka Alikuwa anakuja nayo sana parokiani kawe paleee Alikuwa anapaki karibu na MH mzee mwandu , huku goba nilikuwa nakuja tunaita shamba home tulikuwa na eneo huku by that time wazee walinunua laki ,pia tulikuwa na ruti za kuja na paroko huku vigangi goba ,makongo juuu tukija tunabeba na maembe ng'ong'oo maana tunatoka shamba
 
Sio kweli,katika sehemu ambazo zimepoteza ushawishi ni masaki.masaki kuna jina kubwa lakini uhalisia ni tofauti.majengo ya kizamanu na hayashtui.
Lakini mbezi bado ni ya moto,ina jina linaendana na uhalisia,kumetulia na kumekaa kishua.

Japo kwa sasa,sehemu ambayo inakoroma ni mbweni,kule kama una ugonjwa wa moyo sikushauri ufike.
mkuu nimecheka kama mnjinga. eti kama una ugonjwa wa moyo unashauri watu wasifike

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kama kunduchi huko hatari napo
Watu wana madude huko way back
Afadhali kunduchi ya sshv imechangamka zamani huko kulikuwa na uvamizi sana majumbani

Ova
Kunduchi noma sana miaka hiyo RTS ilikuwa kunduchi hapo shule ya jeshi Kwa ajili ya pori imagine kozi ya jwtz Ina gongwa hapo now kulivyo town watoto wa 2000 hawawez elewa
 
Naam mkuu chuma ya bomani na ikumbuka Alikuwa anakuja nayo sana parokiani kawe paleee Alikuwa anapaki karibu na MH mzee mwandu , huku goba nilikuwa nakuja tunaita shamba home tulikuwa na eneo huku by that time wazee walinunua laki ,pia tulikuwa na ruti za kuja na paroko huku vigangi goba ,makongo juuu tukija tunabeba na maembe ng'ong'oo maana tunatoka shamba
Si mchezo nchi imetoka mbali sana

Goba kuna kijiji fulani bado wanaishi kizamani najaribu kukumbk jina lake
Ila hapo kuna wakushi sana jamaa hapo nasikia wakuda sana [emoji1]

Ova
 
Naam mkuu chuma ya bomani na ikumbuka Alikuwa anakuja nayo sana parokiani kawe paleee Alikuwa anapaki karibu na MH mzee mwandu , huku goba nilikuwa nakuja tunaita shamba home tulikuwa na eneo huku by that time wazee walinunua laki ,pia tulikuwa na ruti za kuja na paroko huku vigangi goba ,makongo juuu tukija tunabeba na maembe ng'ong'oo maana tunatoka shamba
Mzee Paul b ashanipakia sana kwenye range lake,mzee wang naye alikuwaga
Na shamba huko kubwa
Sema alikuja liuzaga mzee naye alikuwa mhuni [emoji1] baharia tena
Sema nlikuwa napuyanga naye sana kwenye pilika zake

Ova
 
Back
Top Bottom