Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Yale ya watumishi 😁😁😁 , anko magu alivyoingia aliyapiga stop kuendelea.

Halafu kama ulivyosema , wabongo wengi mfumo wa apartments hizo huwa wanaona kama hostel au kota 😁
Hamna ni muundo tu mbona zipo nyingine kama pale ananasif zimekaa poa watu wana gombania zile za morocco nazo 🔥🔥🔥
 
Thread ya watoto wa mjini sio sisi tulioingia dar kikwete anaingia madarakani

Either ways, Ila Dar kuna sehemu unapita hadi unajiuliza hivi hawa waliojenga ni watanzania hawa hawa naopishana nao kuna wale watu wa nje ndio wanashusha haya matusi
Kama kunduchi huko hatari napo
Watu wana madude huko way back
Afadhali kunduchi ya sshv imechangamka zamani huko kulikuwa na uvamizi sana majumbani

Ova
 
Hivi na goba wizi umeisha maana nilimtembelea mtu kama mwaka na nusu uliopita. alikuwa analalamika sana
Utakuwa umepungua

Ule si ulikuwa makaz mapya,makaz mapya lazima watu wapigwe mshindo
Mbezi beach watu walivamiwa sana walipohamiaga
Kunduchi nayo ilikuwa worse maana nyumba zilikuwa za kuhesabu ...alafu kule kila mtu yuko kwake hakuna maduka
Ukienda kule ambapo sahv kna roodies kule ilikuwa poriiiii tupu shambaa
Mashuwa huko wazee sahv wanasema bora ilivyo sasa angalau kuna movement
Ukienda mitaa ya silversand huko kuna madon miaka hiyoo walikuwa wanaishi

Ova
 
Zile sijawahi kuingia ila sidhani kama sehemu za kupumzikia zitakosekana
Siku wana zitambulisha walisema kuna hoteli imechukua baadhi ya floor
Hoteli iko ndy

Sema dah huu mtaa wa ursino,regent wachina walipowekeza unanuka sana
Mauchaf yao

Ova
20231216_111204.jpg
 
Back
Top Bottom