mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wakat mwingine haya maisha hayana mwenyewe aisedakika za mwisho alidata vibaya...aliza kila kitu na mbaya zaidi hata msiba wake haukuwa officially...alizikwa kama mtu wa kawaida...!
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakat mwingine haya maisha hayana mwenyewe aisedakika za mwisho alidata vibaya...aliza kila kitu na mbaya zaidi hata msiba wake haukuwa officially...alizikwa kama mtu wa kawaida...!
Wakat mwingine haya maisha hayana mwenyewe aise
Ova
Hivi unakuta mzee alikuwa fisadi fulani,au alipewa mchongo kwenye siasa kama Makonda au Mwigulu akaiba akapita kushoto.Inasikitisha sana kuona maeneo mazuri kama Mbezi beach badala ya kuboreshwa na kuendelezwa, yanatelekezwa, yanapuuzwa, yanachakarishwa na kuachwa yajifie tu na kugeuka Buguruni mpya.
Mhh mbona bei ya kawaida sanaGoba Kulangwa na Tegeta A bado kuna maeneo.
Kulangwa viwanja milion 30+.
Tegeta A milion 8, 9, 10
HongeraMhh mbona bei ya kawaida sana
Ile scandal twin tower na wengine wanasema mambo kuwachapia madem [emoji1]kweli kabisa...ila sijui alifanya kisa gani kiasi cha kutupwa nje ya system kabisa. kama ni ufisadi mbona viongozi karibia wote wamefisadi miradi mingi tu ya serikali...
ila huyu mwamba dah...serikali ilijua kumkomesha
Kuna mtaa Mbweni yuko Mama mkubwa huyu, Konda boy, Hapi, Nape. Ule mtaa barabara imepigwa lami na taa full. Pili masikini wote wamehamishwa kwa kupenda au kutokupenda. Kuna huku kwenye nyumba za Lugumi hadi kwa marehemu Kijazi yaani kwa moto haswaMkuu ufafanuzi, Mbweni kuna nini? Na kwann mgonjwa wa moyo asifike??
Sahihi mkuuu wangu haswa wamenona goba Leo Ina lami wanaweza kuona chai kuwaambia kulikuwa na Defender 110 mbiliAsante,watoto wadogo hawawezi kuelewa maana unaweza kuelezea kitu humu watu wakafikiri unapiga fix
Alafu huko root ya kwenda mbezi kimara ilikuwa hakuna
Ova
Naam mkuu chuma ya bomani na ikumbuka Alikuwa anakuja nayo sana parokiani kawe paleee Alikuwa anapaki karibu na MH mzee mwandu , huku goba nilikuwa nakuja tunaita shamba home tulikuwa na eneo huku by that time wazee walinunua laki ,pia tulikuwa na ruti za kuja na paroko huku vigangi goba ,makongo juuu tukija tunabeba na maembe ng'ong'oo maana tunatoka shambaMiaka hiyo huko mashuwa wengi walikuwa na mashamba
Miaka hiyo bado madogo nakumbuka
Tulipakiwaga na yule p.bomani kwenye ule mrange wake akatupeleka
Shambani kwake lilikuwa bonge la eneo mifugo,mabwawa ya samaki nk
Ova
mkuu nimecheka kama mnjinga. eti kama una ugonjwa wa moyo unashauri watu wasifikeSio kweli,katika sehemu ambazo zimepoteza ushawishi ni masaki.masaki kuna jina kubwa lakini uhalisia ni tofauti.majengo ya kizamanu na hayashtui.
Lakini mbezi bado ni ya moto,ina jina linaendana na uhalisia,kumetulia na kumekaa kishua.
Japo kwa sasa,sehemu ambayo inakoroma ni mbweni,kule kama una ugonjwa wa moyo sikushauri ufike.
Kunduchi noma sana miaka hiyo RTS ilikuwa kunduchi hapo shule ya jeshi Kwa ajili ya pori imagine kozi ya jwtz Ina gongwa hapo now kulivyo town watoto wa 2000 hawawez elewaKama kunduchi huko hatari napo
Watu wana madude huko way back
Afadhali kunduchi ya sshv imechangamka zamani huko kulikuwa na uvamizi sana majumbani
Ova
Hata madale si habaUnakuta mtaa mzima una majumba ya mil 300 Hadi 600...
Kiwanja tu kinauzwa mil 150 kuendelea
Si mchezo nchi imetoka mbali sanaNaam mkuu chuma ya bomani na ikumbuka Alikuwa anakuja nayo sana parokiani kawe paleee Alikuwa anapaki karibu na MH mzee mwandu , huku goba nilikuwa nakuja tunaita shamba home tulikuwa na eneo huku by that time wazee walinunua laki ,pia tulikuwa na ruti za kuja na paroko huku vigangi goba ,makongo juuu tukija tunabeba na maembe ng'ong'oo maana tunatoka shamba
Ahaaaa itakuwa huuu ukanda wa bwawani kama unaenda makongo kibururuniSi mchezo nchi imetoka mbali sana
Goba kuna kijiji fulani bado wanaishi kizamani najaribu kukumbk jina lake
Ila hapo kuna wakushi sana jamaa hapo nasikia wakuda sana [emoji1]
Ova
Mzee Paul b ashanipakia sana kwenye range lake,mzee wang naye alikuwagaNaam mkuu chuma ya bomani na ikumbuka Alikuwa anakuja nayo sana parokiani kawe paleee Alikuwa anapaki karibu na MH mzee mwandu , huku goba nilikuwa nakuja tunaita shamba home tulikuwa na eneo huku by that time wazee walinunua laki ,pia tulikuwa na ruti za kuja na paroko huku vigangi goba ,makongo juuu tukija tunabeba na maembe ng'ong'oo maana tunatoka shamba
Hapo noma sanaAhaaaa itakuwa huuu ukanda wa bwawani kama unaenda makongo kibururuni